Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Game ya music ni win win situation.
Devil anafaidika na msanii uanapoiharibu jamii na msanii ufaidika na devil kwa kupata umaarufu, umaarufu ndio unaleta pesa.
Thus wasanii wote Wana maantena ya kuwaconnect na mapepo mapete,mikufu,hereni,nk.ma sign ya kuvuta nguvu.
Hii kwa jicho la kiroho
100% Fact.

Jamaa anasema " The war against Tupac and Biggie Smalls was not carnal. It was spiritual. It was being fought from the realm of the spirits and not from the streets. "

Kwenye video zake jamaa ameelezea vizuri sana.
 
Hakuwa Ameongea Pepo wala Shetani Ila Tupac Alikuwa Ametap Into Spiritual Realm Kipindi anaandika Hiyo nyimbo..

Means Kweli hayakuwa Maneno Yake ila Hakuwa Shetani Pia ila Uhakika Ni kwamba Hayakuwa Maneno yake ila Ni Kutoka Spiritual Realm

LIKUD
 
Nakubali sana mkuu
 
Amini kwamba he was possessed. J spiritual being ndio alikuwa anazungumza kupitia midomo na sauti ya Tupac. Ukitazama video za jamaa ndio utaelewa vizuri zaidi. Jamaa kataja mpaka jina la huyo spirit na katoa sababu
Naomba Link ya Video boss..
Nikiiona naweza Kusema Kitu
 
Am learning something here
 
Ur still a learner bro. Hivyo ulivyo viandika kila mtu anavijua. Jamaa anavijua Mara Mia kuliko wewe. Vyote hivyo kavielezea from a spiritual perspective. Hata Tupac kwenda jela was a spiritual thing and it has its spiritual meaning and interpretation. Jamaa ka elezea vizuri sana. Wewe subiri kuanzia tarehe 16 June 2025 anaanzia kuachia video rasmi za kitabu chake " Spiritual Aspect of the song Hit Em Up". By now anapost teasers. Ukiona mpaka mbishi kama mimi nimekubali hoja za jamaa basi jua jamaa ana kitu kikubwa sana ndani yake
Fact
 
Hakuwa Ameongea Pepo wala Shetani Ila Tupac Alikuwa Ametap Into Spiritual Realm Kipindi anaandika Hiyo nyimbo..

Means Kweli hayakuwa Maneno Yake ila Hakuwa Shetani Pia ila Uhakika Ni kwamba Hayakuwa Maneno yake ila Ni Kutoka Spiritual Realm
LIKUD
 
Hujui hata kinacho ongelewa mkuu. Ni kama vile hii sio fani yako.
Call the cops when you see Tupac oohh..
Pac alizaliwa New York ndiko aliishi na kina Big baadae Mama yake alivyohamia California akatengeneza bifu na watu wa East Side na wao wakijiita West side na hata nyimbo nyingi zilikua za kuiponda East na kuipaisha West Side ambayo ndio walikuwepo wakina R Kelly,Junior Mafia wale wakina Mobb deep wa East aliwakataa na mwanzilishi wa East ni Eazy E marehemu akiwa na kina Snoopy pamoja na Dr Dre..vijana kama wakina Wu Tang clan walikua neutral kwenye East na West Side..
 
Naomba Link ya Video boss..
Nikiiona naweza Kusema Kitu
Zilikuwa TikTok kwa kiingereza naona alizifuta anasema ataanza kutoa rasmi tarehe 16 June 2025 kupitia You Tube, anatoa series ya hicho kitabu chake in video form na anasema kina chapters 77.

Hizo alizo kuwa anapost ni teasers tu yani. Ila pia kasema kabla ya hiyo tarehe 16 June ( ambayo ni birthday ya Tupac) atakuwa anapost videos mbalimbali kuhusu hicho kitabu na hoja zake. Atakuwa akipost nitakuwa nazileta hapa hapa kwenye Uzi nakutag
 
Call the cops when you see Tupac oohh..
Pac alizaliwa New York ndiko aliishi na kina Big baadae Mama yake alivyohamia California akatengeneza bifu na watu wa East Side na wao wakijiita West side na hata nyimbo nyingi zilikua za kuiponda East na kuipaisha West Side ambayo ndio walikuwepo wakina R Kelly,Junior Mafia wale wakina Mobb deep wa East aliwakataa na mwanzilishi wa East ni Eazy E marehemu akiwa na kina Snoopy pamoja na Dr Dre..vijana kama wakina Wu Tang clan walikua neutral kwenye East na West Side..
Mkuu hizo information unazo zitoa kila mtu anazijua. Huyu mwamba amekuja na spiritual aspect of it. Hapo ndipo unaposhindwa kuelewa. Kwa sababu we go down to that level hata Hilo Tupac halikua jina lake alipozaliwa alipewa jina lingine. Tupac alikuja kupewa baadae lakini still akiwa bado mtoto...

So vitu vyote unavyo vijua kuhusu Tupac upo sahihi kabisa. Jamaa anayazungumzia maisha ya Tupac na Biggie pamoja na wimbo Hit Em Up from a spiritual perspective.

I hope you understand that.
 
Pac ni kipaji halisi cha music mnavyoongea ni uwezo wenu wa kufikiri upo duni tu yupo kiongozi mmoja aliwahi kusema huyu Pac huu mwimbo wa Dear Mama amendikiwa kwa jinsi anavyomuona muonekano wake sio wa kuwaza kuandika yale madini kuhusu Mama yake..
 
Mkuu wewe ni mgumu sana wa kuelewa ngoja nikutag kwenye comment ya mdada mmoja hapa ameelewa vizuri sana concept ya jamaa
 
Isanga family
Wabongo ama sijui niseme binadamu wengi sio watu wakuchambua mambo aisee! Watu wanaongelea kama vile mna m-diss 2pac ama mna m-prove kwamba hakua bora!
HIvi watu huwa wanashindwa kuchananua neno moja moja bila kuipa maana sentensi nzima? Mimi binafsi sijataka hata kujua nini ni nini ila nmezingatia maelezo na yamenifikirisha mana kuna muda hata sisi binadamu huwa tunapandwa na hizo pepo bila kujua unajikuta kuna mambo unaongea kwa akili ya kawaida unaona kabisa hapana huu ufikiri kuna muda kama uliongezeka zaidi. Sema watu wengi hatufatilii hivi vitu
 
Zilikuwa TikTok kwa kiingereza naona alizifuta anasema ataanza kutoa rasmi tarehe 16 June 2025 kupitia You Tube, anatoa series ya hicho kitabu chake in video form na anasema kina chapters 77.

Hizo alizo kuwa anapost ni teasers tu yani. Ila pia kasema kabla ya hiyo tarehe 16 June ( ambayo ni birthday ya Tupac) atakuwa anapost videos mbalimbali kuhusu hicho kitabu na hoja zake. Atakuwa akipost nitakuwa nazileta hapa hapa kwenye Uzi nakutag
Kiukweli Mimi Ninajua Verse za Tupac (Kwa sababu ni Mfatiliaji wa Muziki) na Sidhani kama Ni Devilish..
Ila Nikiri kwamba Alitap Into Spiritual Realm ambayo Ilimfanya aongee aliyosema..

Kama Kweli wewe Ni mtu wa Kiroho (Spuritual person)..

Utakuwa Unajua Kuwa In the spiritual realm,kupitia Throat Chakra (Vishuddha) ambayo ni energy center inayohusika na communication, self-expression, truth,na divine inspiration kupotia kwa sound and words.

Sasa muda ambapo Chkra hii inakuwa ipened au Inakuwa Vibrated inaweza Kuruhusu mtu ku channel messages from higher dimensions na kuzi express them clearly—through speech, writing, or song...

Sasa nachomisemea Ni kwmba Ukisikiliza Mneno yale utagundua Either kwa Kujua au Kwa kutokujua Tupac alitap into the energy ya Throat chakra na Ghalfa alikuwa channeled na Spiritula Realm into vishuddha Energy centre na yeye Akaanza Kuandika Yale maneno yanayokuja ambayo ni from the upper dimension..

Ila sio Ya Shetani Moja kwa Moja Au Mizimu yanaweza yakawa ni Maneno Yake Mwenyewe Ambayo Bado hayajatokea yA mbelenu au Maneno yaliyotokea Mbeleni au ni Vitu vya Nyuma au ni Vilivyopo...

Nafikiri Kama Ni mtu wa Spiritual Utakuwa Umeelewa
 
Mkuu wewe ni mgumu sana wa kuelewa ngoja nikutag kwenye comment ya mdada mmoja hapa ameelewa vizuri sana concept ya jamaa
Nielewe nini nyinyi hamjui hata nyimbo ilipigwa kwa sababu zipi huu wimbo ulipigwa baada ya Pac kupigwa risasi tano na hiyo moja ikampata ya mguu na kwenye huo wimbo kaimba mshindi ni nani mbona tukiwaona mnakimbia? Wimbo ulitangazwa miezi kadhaa utatoka ninyi leo mnasema spiritual daah mtu kaimba wimbo kuwatukana Bad boys,Junior Mafia,Mobb Deep, Biggie Small pamoja na Puffy leo hii mnasema sijui mizimu aisee mmekua mmezikuta sisi kabla hajatoa tulikua tunafatilia atatoa wewe Likud kwenye Music huku hakuna kitu unajua bhana wimbo anatukana mwanzo mwisho mnakuja na ngonjera zenu kama alivyosema yeye kwenye hit em up..
 
Kiukweli Mimi Ninajua Verse za Tupac (Kwa sababu ni Mfatiliaji wa Muziki) na Sidhani kama Ni Devilish..
Ila Nikiri kwamba Alitap Into Spiritual Realm ambayo Ilimfanya aongee aliyosema..

Kama Kweli wewe Ni mtu wa Kiroho (Spuritual person)..

Utakuwa Unajua Kuwa In the spiritual realm,kupitia Throat Chakra (Vishuddha) ambayo ni energy center inayohusika na communication, self-expression, truth,na divine inspiration kupotia kwa sound and words.

Sasa muda ambapo Chkra hii inakuwa ipened au Inakuwa Vibrated inaweza Kuruhusu mtu ku channel messages from higher dimensions na kuzi express them clearly—through speech, writing, or song...

Sasa nachomisemea Ni kwmba Ukisikiliza Mneno yale utagundua Either kwa Kujua au Kwa kutokujua Tupac alitap into the energy ya Throat chakra na Ghalfa alikuwa channeled na Spiritula Realm into vishuddha Energy centre na yeye Akaanza Kuandika Yale maneno yanayokuja ambayo ni from the upper dimension..

Ila sio Ya Shetani Moja kwa Moja Au Mizimu yanaweza yakawa ni Maneno Yake Mwenyewe Ambayo Bado hayajatokea yA mbelenu au Maneno yaliyotokea Mbeleni au ni Vitu vya Nyuma au ni Vilivyopo...

Nafikiri Kama Ni mtu wa Spiritual Utakuwa Umeelewa
Jamaa hasemi ni ushetani Ila anasema wakati Tupac yupo studio anarekodi Hit Em Up alikuwa possessed by a spiritual being ambae ndie haswa aliekuwa anaongea kwenye wimbo huo. How and why? And the proof? Malibu yapo kwenye kitabu.

Jamaa anasema Tupac mwenyewe baadae aligundua kwamba alikuwa possessed kwenye Hit Em Up and he told his fans to stop listening to Hit Em Up Ila kabla hamjamuelewa wakamuua
 
Back
Top Bottom