Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Jamaa hasemi ni ushetani Ila anasema wakati Tupac yupo studio anarekodi Hit Em Up alikuwa possessed by a spiritual being ambae ndie haswa aliekuwa anaongea kwenye wimbo huo. How and why? And the proof? Malibu yapo kwenye kitabu.

Jamaa anasema Tupac mwenyewe baadae aligundua kwamba alikuwa possessed kwenye Hit Em Up and he told his fans to stop listening to Hit Em Up Ila kabla hamjamuelewa wakamuua
Nitake radhi please mkuu. Yani mimi nisijue vitu hivyo unavyo visema mkuu? Everybody know that, jamaa kavizungumzia from a spiritual perspective.

Haya unajua baada ya Tupac kupigwa risasi tano hiyo mwaka 94 Moja Kati ya effects zake alitolewa pumbu Moja?
 
Hapo Sasa Nimekuelewa Na Kama Ni Hivyo nakubaliana Naye kwa 100%
Ila nimeona Kuna mtu kasema Kuwa ni Devilish ndo nilikuwa Najibu kuwa Huwezi kujua Aina ya Possesion kwenye Spiritual Realm
 
Nitake radhi please mkuu. Yani mimi nisijue vitu hivyo unavyo visema mkuu? Everybody know that, jamaa kavizungumzia from a spiritual perspective.

Haya unajua baada ya Tupac kupigwa risasi tano hiyo mwaka 94 Moja Kati ya effects zake alitolewa pumbu Moja?
Njoo tuzungumzie music wa pac nyimbo zake za Changes,Dear mama na nyinginezo risasi aliyopigwa ni moja tu kati ya zile tano na ndio iliyomvunja mguu ukawa unaona anatembea kama gangster fulani kumbe ni kwa sababu ya hilo tatizo na wahuni wengi hata USA wakawa wanaiga mitembeo ya Pac wimbo unaandaliwa unakuja kusema mashetani huo wimbo unapigwa ulikua wapi mazee wakati Kanda yake ilianza kuuzwa Tsh 1200 mpaka Tsh 1500..
 
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
I'm a self-made millionaire
Thug livin', out of prison, pistols in the air haha
Biggie, remember when I used to let you sleep on the couch
And beg a bitch to let you sleep in the house?
Now it's all about Versace, you copied my style
Five shots couldn't drop me, I took it and smiled
Now I'm back to set the record straight
With my AK, I'm still the thug that you love to hate
Motherfucker, I'll hit 'em up
 
And he was paranoid
And may be because of tough/difficult childhood he may have develop another personality ( Dissociative identity disorder ) na hivyo mnavyosema kuwa possessed huenda ilikuwa ni personality yake nyingine
 
Naona Wadau kwenye Kona zenu mnavyo support huu Uzi unaohusu Majini....!

Then kesho mtakuja kubishana kwenye Uzi unaohusu Mungu, mkisema Mungu hayupo, ni Ujanja wa Mtu mweupe kututawala n.k.....!
 
You are the true daughter of your father.

Hakika wewe ni mwanamke mwenye akili kubwa na hekimahekima ya hali ya juu Sana.

Unafikiri vizuri kuwashinda hata baadhi ya wanaume walio komenti humu.

Na ulicho kiongea ni kweli kabisa hata kwenye bible kimeandikwa kwenye kitabu cha MATHEW 16:23 kuna maneno Petro aliyaongea, Yesu kwa sababu ni master akajua anaeongea Yule sio Petro ila ni shetani amempanda Petro anaongea na Yesu kupitia sauti na midomo ya Petro.

Yesu akamkemea Petro akimuita Petro shetani

Huyu Bwana Mwandishi na yeye ni Master. Kupitia taaluma yake na experience yake amegundua kwamba kwenye wimbo Hit Em Up Yule hakuwa Tupac ila pepo akizungumza kupitia Tupac , ndio maana sasa ametoa kitabu ambacho anakitoa bure kabisa kwa njia ya video ili kuprove hoja zake pasi na Shaka yoyote pamoja na kueleza maana ya hayo maneno ya huyo kiumbe.

Wenye hekima na akili kama wewe mtapata faida kwa sababu wewe ni aina ya watu wanao penda kujifunza vitu vipya.

Big up sana mkuu. I am so impressed by your thinking.

Ungekua mke wangu Leo ningekupa zawadi ya kulala na Mimi kitanda kimoja
Hahahahah asante sana mkuu kwakuliona hilo nashukuru sana
 
Back
Top Bottom