RockZiko nyimbo au ala za mziki Fulani Fulani zikipigwa na ukiwa "high" na "concentration" ikiwa ya juu unaweza kuhisi kama Kuna Hali si ya kawaida chumbani aidha Kuna mtu au watu wamekuzunguka au watu wanatembea sometimes hata kubadilika Kwa Hali ya hewa ghafla tu nk. Mziki au kinachohusiana nacho huwa kinagusa sana ndani na hufunua vitu sometimes visivyopaswa kufunuliwa.
Rock musicWhat?
Sijui kama yuko hai!
Except imaginary stuff.. fictional visions.. especially when no sane humans put in the work to make them a reality.Everything is possible under the sun
U have judged too early. Are u not an intellectual? Kwanini usisubiri atakapo anza kutoa hoja zake? Hiyo aliyo toa ni utangulizi tu hoja zipo kwenye kitabu.Except imaginary stuff.. fictional visions.. especially when no sane humans put in the work to make them a reality.
Umemuuliza swali zuri sana aisee. Unajua nashangaa kuona watu wanapingana na huyo mwandishi wakati yeye amesema anaamini kwamba Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati anarekodi wimbo Hit Em Up na kwamba huyo pepo ndie hasa aliekuwa anaongea kwenye wimbo Hit Em Up kupitia midomo na sauti ya Tupac.U have judged too early. Are u not an intellectual? Kwanini usisubiri atakapo anza kutoa hoja zake? Hiyo aliyo toa ni utangulizi tu hoja zipo kwenye kitabu.
Umeiweka vizuri sana mkuuUmemuuliza swali zuri sana aisee. Unajua nashangaa kuona watu wanapingana na huyo mwandishi wakati yeye amesema anaamini kwamba Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati anarekodi wimbo Hit Em Up na kwamba huyo pepo ndie hasa aliekuwa anaongea kwenye wimbo Hit Em Up kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Kwenye maelezo yake amesema anatoa sababu zake kwanini ana amini anacho kiamini huku wakati huo huo akitoa tafsiri ya kila neno linalotoka kwenye kinywa cha Tupac kwenye wimbo Hit Em Up.
Vizuri ni. Kusubiri kuona hoja zake tuzipime tuone kama zina mashiko au la.
Ulivyo muuliza kama ni intellectual umenikumbusha mwalimu wangu Dokta Lwaitama alitufundisha Critical thinking.
Anasema a critical thinker never says anything is impossible. A critical thinker listens to the arguments first before he gives his opinion.
A critical thinker always changes his views after been presented with better argument.
Kutokana na argument mfano nikikwambia jana nilikuwa serengeti nilimwona tembo ana mbawa na alikuwa anapa angani, utaendelea kunisikiliza au utajua huenda ni moshi au dishi limeyumbaUmemuuliza swali zuri sana aisee. Unajua nashangaa kuona watu wanapingana na huyo mwandishi wakati yeye amesema anaamini kwamba Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati anarekodi wimbo Hit Em Up na kwamba huyo pepo ndie hasa aliekuwa anaongea kwenye wimbo Hit Em Up kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Kwenye maelezo yake amesema anatoa sababu zake kwanini ana amini anacho kiamini huku wakati huo huo akitoa tafsiri ya kila neno linalotoka kwenye kinywa cha Tupac kwenye wimbo Hit Em Up.
Vizuri ni. Kusubiri kuona hoja zake tuzipime tuone kama zina mashiko au la.
Ulivyo muuliza kama ni intellectual umenikumbusha mwalimu wangu Dokta Lwaitama alitufundisha Critical thinking.
Anasema a critical thinker never says anything is impossible. A critical thinker listens to the arguments first before he gives his opinion.
A critical thinker always changes his views after been presented with better argument.
Unajua mkuu kinacho washinda wabongo wengi kuelewa ni neno " Pepo " Pengine Uzi ingekuwa wa kiingereza neno spiritual being labda wangeweza kulielewa.Umemuuliza swali zuri sana aisee. Unajua nashangaa kuona watu wanapingana na huyo mwandishi wakati yeye amesema anaamini kwamba Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati anarekodi wimbo Hit Em Up na kwamba huyo pepo ndie hasa aliekuwa anaongea kwenye wimbo Hit Em Up kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Kwenye maelezo yake amesema anatoa sababu zake kwanini ana amini anacho kiamini huku wakati huo huo akitoa tafsiri ya kila neno linalotoka kwenye kinywa cha Tupac kwenye wimbo Hit Em Up.
Vizuri ni. Kusubiri kuona hoja zake tuzipime tuone kama zina mashiko au la.
Ulivyo muuliza kama ni intellectual umenikumbusha mwalimu wangu Dokta Lwaitama alitufundisha Critical thinking.
Anasema a critical thinker never says anything is impossible. A critical thinker listens to the arguments first before he gives his opinion.
A critical thinker always changes his views after been presented with better argument.
Sahihi kabisa mkuu mimi binafsi mpaka sasa hivi siwezi kusema kama jamaa Yupo sahihi au kama hayupo sahihi nasubiri mpaka nitakapo tazama hizo videos zoteUnajua mkuu kinacho washinda wabongo wengi kuelewa ni neno " Pepo " Pengine Uzi ingekuwa wa kiingereza neno spiritual being labda wangeweza kulielewa.
Halafu kinacho washangaza kingine ni kuhusu Tupac kuvamiwa na kisha kupandwa na pepo akiwa studio anarekodi.
Mbona hata Petro aliwahi kupandwa na pepo tena akiwa pamoja na Yesu?
(Mathew 16 : 23 )
👏👏👏👏👏👏Sahihi kabisa mkuu mimi binafsi mpaka sasa hivi siwezi kusema kama jamaa Yupo sahihi au kama hayupo sahihi nasubiri mpaka nitakapo tazama hizo videos zote
Kutokana na argument mfano nikikwambia jana nilikuwa serengeti nilimwona tembo ana mbawa na alikuwa anapa angani, utaendelea kunisikiliza au utajua huenda ni moshi au dishi limeyumba
Masikini mnawaza kutapeliwa tu siku zoteFursa ziko nyingi kama utaweza kuzitumia.
Huyo jamaa ni tapeli tu kama matepeli wengine.