Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Kutokana na argument mfano nikikwambia jana nilikuwa serengeti nilimwona tembo ana mbawa na alikuwa anapa angani, utaendelea kunisikiliza au utajua huenda ni moshi au dishi limeyumba
Mkuu usiwe mwenye kupenda kuyalimit Mambo kwenye mindset yako utakosa kujifunza vitu vingi.

Wewe ni aina ya watu ambao wana amini " THINGS MUST FIRST MAKE SENSE WITH YOU BEFORE THEY HAPPEN"


Sasa dunia huwa hai operate kwa still hiyo.

When things want to happen, they don't need a permission of your sense they just happen.

Hata kama kwako haimake sense but haizuii Mambo ama jambo kutokea.
 
Mfano wako hauendani. Mfano wako ni invalid.

Jamaa kaongea kuhusu vitu ambavyo vinaonekana.

Amesema ana amini kwamba Tupac alikuwa possessed when he was in the studio recording the song Hit Em Up.

Haya swali? Is spiritual possession possible or not possible?

Can a spiritual being possess a human being and speak through him?

The bible says Yes.

Literatures zinasema Yes.

Experience inasema Yes tunawaona watu wakiwa possessed makanisani na vilingeni.

Was Tupac a human being? Yes he was? Can a human being be possessed by a spiritual being? Yes he can.

Sasa kwa critical thinker kama mimi mtu akija na hoja kama hii siwezi kumpinga moja kwa moja. Nitasubiri mpaka pale nitakapo ona hoja zake ndio nitaenda kuzipinga ama kuzi kubali..
Unaujua ugonjwa wa DID ( Dissociative Identity Dissorder) ni ugonjwa wa unaomfanya mtu anakuwa na pesrsonality zaidi ya moja na anaweza ku switch toka hii kwenda nyingine, inadevelop kwa watu ambao wamekulia kwenye mqzingira magumu au hatarishi, vipi kama 2pac naye alikuwa na huo ugonjwa
 
Mkuu usiwe mwenye kupenda kuyalimit Mambo kwenye mindset yako utakosa kujifunza vitu vingi.

Wewe ni aina ya watu ambao wana amini " THINGS MUST FIRST MAKE SENSE WITH YOU BEFORE THEY HAPPEN"


Sasa dunia huwa hai operate kwa still hiyo.

When things want to happen, they don't need a permission of your sense they just happen.

Hata kama kwako haimake sense but haizuii Mambo ama jambo kutokea.
sawa ila kwa nini pia msichukue na possibilty labda huenda 2pac alikuwa na split persinality, na huyu jamaa anayesema hayo mambo huenda yupo dellusional
 
sawa ila kwa nini pia msichukue na possibilty labda huenda 2pac alikuwa na split persinality, na huyu jamaa anayesema hayo mambo huenda yupo dellusional
Mpaka tutakapo msikia sababu zake. Hoja zake kwenye teasers zake zina make sense. Hata Galilee Galileo aliposema dunia ndo inazunguka jua kuna watu walimuona Yupo delusional.

Ishu ya Tupac kuwa na multiple personalities ameizungumzia pia.
 
ana you tube channel au ni tick tock tu
TikTok ndio zaidi lakini na You Tube Channel amesema ataizindua rasmi tarehe 16 June 2025 ( birthday ya Tupac ) ambayo ndio ataanza kutupia presentation ya chapters zote 77 ya kitabu chake ambayo nadhani itachukua miezi. Akianza kutupia You Tube nitaku tag. Binafsi hoja zake nazikubali mno
 
Unaujua ugonjwa wa DID ( Dissociative Identity Dissorder) ni ugonjwa wa unaomfanya mtu anakuwa na pesrsonality zaidi ya moja na anaweza ku switch toka hii kwenda nyingine, inadevelop kwa watu ambao wamekulia kwenye mqzingira magumu au hatarishi, vipi kama 2pac naye alikuwa na huo ugonjwa
Yes Tupac had multiple personality. He had phases. Huyu jamaa kwenye teasers zake anasema Tupac had a feminine personality too. Very interestingly kuna interview Tupac mwenyewe anasema he was feminine and his reason was because he was raised in a house surrounded by mostly females
 
Unaujua ugonjwa wa DID ( Dissociative Identity Dissorder) ni ugonjwa wa unaomfanya mtu anakuwa na pesrsonality zaidi ya moja na anaweza ku switch toka hii kwenda nyingine, inadevelop kwa watu ambao wamekulia kwenye mqzingira magumu au hatarishi, vipi kama 2pac naye alikuwa na huo ugonjwa
Wacha tusubiri videos ndo zitatupa mwanga halisi Ila hoja zake zinashawishi Sana.
 
Huyo jamaa ndo aliuskiliza wimbo akiwa na wenge
Siku hizi ukiwa na akili mingi unaitwa pepo ndo maana zangu nazitumia kutomber
 
Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac.

Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok.

Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho.

Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za watu, vitu, wanyama, viumbe wa kiroho na matukio mbalimbali.

Anasema ameya study maisha na muziki wa Tupac Shakur na Notorious BIG kwa much wa miaka 20 na ame u study wimbo " Hit Em Up" Kwa miaka 20 na kupitia taaluma yake ya " Sayansi na Sanaa ya Lugha za Kiroho " Pamoja na " Sayansi na Sanaa ya Kusoma Sauti za Ndani" amegundua kwamba, mwaka 96 wakati Tupac yupo busy studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up", Tupac alikuwa amepandwa na pepo na kwamba pepo huyo ndie alie kuwa akiongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia Sauti ya Tupac.



Anasema kupitia taaluma yake ya Sanaa na Sayansi ya Lugha za kiroho, pamoja na Sanaa na Sayansi ya Sauti za Ndani, amethibitisha pasi na Shaka yoyote ile ( Proving beyond any reasonable doubt) kwamba wakati Tupac Shakur anarekodi wimbo " Hit Em Up" alikuwa amepandwa na pepo na kwamba ukiyaondoa maneno 25 pekee, maneno yote kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Ndani ta wimbo Hit Em Up, ni maneno ya pepo huyo kupitia kinywa na midomo ya Tupac.

Vile vile anasema anatoa tafsiri ya kina la kila neno kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Shakur Ndani ya wimbo Hit Em Up.

Na katika kuonyesha kwamba anajiamini kwenye hoja yake anaachia kitabu ambacho kitakuwa katika mfumo wa video ambazo atazipost kupitia You Tube Channel yake.

Kule Tik tok amesema hizo video za kitabu chake ambacho amekipa jina " Spiritual Aspect of the Song Hit Em Up" Ataanza kuziachia rasmi tatehe 16 June 2025 ambayo tarehe 16 June ni birthday ya Tupac.


To what extent do u agree with him?

Nieambatanisha na video ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡


View: https://youtube.com/watch?v=iElmWms5ICs&si=ZzNZOeUlzVAeULlA

Mkuu kumbe unauza vitabu
 
wimbo unaanza kurekodiwa audio halafu inatengenezwa video.
Hapo sasa jamaa amepatolea ufafanuzi vizuri Sana. Anasema.

1. Few weeks baada ya wimbo Hit Em Up kutoka Tupac mwenyewe aligundua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up.

2. So baada ya kugundua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up alikwenda kwenye public ( alifanya wimbo) na kutamka maneno yafuatayo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

I. Aliwaambia mashabiki wake dunia nzima kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up.

II. Ali u cancel wimbo Hit Em Up.

III. Aliwataka ma shabiki wake dunia nzima waucancel Hit Em Up.

Iv. Alitamka waziwazi kwamba anajutia Sauti yake kuhusika kwenye wimbo Hit Em Up.

V. Ali apologize kwa : Biggie Smalls, Faith Evans, Lil Kim, Prodigy of the Mobb Deep, watu wote wenye shida ya sicke cell duniani, mama mzazi wa Biggie, mama yake mzazi ( Afeni Shakur) pamoja na Dada yake wanted share nae mama mzazi ( Sekyiwa Shakur)

Wimbo huo ulipotoka kila mtu aliusikia lakini hawakuelewa Tupac alichokuwa anakisema kwenye wimbo huo. Kabla Tupac hajautolea ufafanuzi, akauwawa. Mwandishi anasema ata ureveal wimbo huo kwenye kitabu chake na kuuthibitishia umma kuhusu hayo anayo yasema.


Sasa swali ulilo uliza ni swali zuri Sana na linaonyesha wewe ni mtu makini na mwenye uelewa wa hali ya juu Sana kwa sababu hata kule TikTok aliulizwa swali hilo akatoa majibu yafuatayo๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡


Aliulizwa kama Tupac mwenyewe anasema aligundua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up na kwamba alijutia Sauti yake kutumika kwenye wimbo Hit Em Up then kwanini alifanya Mambo yafuatayo๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡


1. Ali shoot video ya wimbo Hit Em Up

2. Alifanya live show ya wimbo Hit Em Up kwenye ukumbi uitwao " House of the Blues "?


Majibu ya jamaa sasa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Anasema moja Kati ya Mambo yanayo dhihirisha waziwazi Pasi na Shaka yoyote kwamba Tupac alijutia na aliuchukia Sana wimbo Hit Em Up, ni pamoja na video ya wimbo huo pamoja na live performance ya wimbo huo.


Kivipi na kwanini? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1. I. Facial expression
II. Body language expression ya Tupac Shakur kwenye wimbo Hit Em Up vyote kwa pamoja vinathibitisha Pasi na Shaka yoyote ile kwamba Tupac Shakur alijutia kufanya wimbo Hit Em Up na yeye mwenyewe hakupenda kabisa kuwa ndani ya video ya wimbo Hit Em Up. How and why? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Majibu atayatoa kwenye video presentations za kitabu chake kwa kutoa tafsiri halisi ya facial expression ya Tupac Shakur pamoja na body language expression ya Tupac Shakur kwenye wimbo Hit Em Up kuthibitisha Pasi na shaka yoyote ile kwamba Tupac Shakur alijutia kufanya video ya wimbo Hit Em Up na hakupenda kuwa ndani ya wimbo huo na alijua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up.



2. I. Tupac Shakur facial expression.
II. Tupac Shakur body language expression

III. Tupac Shakur inner voice expression kwenye live performance ya wimbl Hit Em Up at the House of Blues. Vyote kwa pamoja vina thibitisha Pasi na shaka yoyote ile kwamba Tupac alijua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Yo, aliuchukia wimbo Hit Em Up, alijutia Sauti yake kutumika kwenye wimbo Hit Em Up.

How and why? Kwenye kitabu chake jamaa anatumia principles za " The Sacred Art and Science of Spiritual Languages " And " The art and science of sacred voxology" Ku tafsiri na kutoa maana ya facial expression ya Tupac kwenye live performance ya wimbo Hit Em Up at the House of Blues, body language expression ya Tupac Shakur kwenye live performance ya wimbo Hit Em Up at the House of Blues, INNER-VOICE EXPRESSION and INTERPRETATION ya Sauti ya Tupac Shakur kwenye live performance ya wimbo Hit Em Up at the House of Blues,facial expression ya Tupac Shakur kwenye video ya wimbo Hit Em Up, pamoja na body language expression ya Tupac Shakur kwenye video ya wimbo Hit Em Up kuuthibitishia ulimwengu Pasi na shaka yoyote ile kwamba Tupac Shakur mwenyewe aligundua kwamba hakuwa yeye kwenye wimbo Hit Em Up na kwamba alijutia Sauti yake kuwa ndani ya wimbo huo na aliuchukia wimbo huo.

Yote anasema yatakuwa ndani ya kitabu chake
 
Back
Top Bottom