City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,785
- 8,347
Learning never stops... Aren't you a learner?Ur still a learner
Learning never stops... Aren't you a learner?Ur still a learner
Ilikua mwaka gani??Yesu alipokemea mapepo akaamuru yaende kwa nguruwe alikuwa mbinguni?
Anno DominiIlikua mwaka gani??
You are a learner in this matter.Learning never stops... Aren't you a learner?
, 🤣🤣🤣🤣🤣Anno Domini
AiseeIlikua mwaka gani??
Una hakika na hili jibu lako??Anno Domini
Hakika ndugu "mtata"Una hakika na hili jibu lako??
Sawa, vizuriHakika ndugu "mtata"
Sio Tupac tu hata Jayz anatumia sana falsafa za lucifer kwenye mziki wake yani Satan is his mentor,refer Wimbo wake na mr Hudson "Forever young",kwenye Quraan kuna aya inayozungumzia kisa cha ibilisi/lucifer kumshawishi hawa na adamu kula tunda fulani la peponi ili wasife waishi milele yani "to live forever "na wakashawishika kweli wakala,Jayz anaelezea kuishi Milele kupitia ushawishi uleule wa lucifer kwa baba yetu Adam kupitia Wimbo wake huo wa "forever young baadhi ya mashairi yanasomeka hivi nanukuu "so we livin life like a video"(video ni kitu ambacho kimesharekodiwa tayari/kimeshasemwa,anaendelea anasema "Forever young I want to be forever young,do you really want to live forever,forever and ever!"?.Jayz Bado anaendeleza legacy za boss wake kwa maelekezo maalum.
I'm not a student in this case. Your assumptions can stay with you.You are a learner in this matter.
You are also a learner in the art and science of learning
The art and science of learning teaches that when you go to listen to a person who tells you a new thing then you have to go as a student and not as a teacher.
Wewe una front like a teacher and not like a student.
Hapo ndipo kosa lako lilipo
You ego is as bigger as Mount KilimanjaroI'm not a student in this case. Your assumptions can stay with you.
I know exactly what I'm writing about, and this of discussion is nothing new to me. If it is to you, enjoy your class.
🤣🤣🤣🤣🤣Mbona mistari ya mwisho mwishoni hamuiweki ..nikiweka hapa nawezanpigwa ban ya miaka 😂..nafikiri hapo Sasa pepo sjui ndio lilikua kwenye level yake ya juu kabisa...
But kwa kesi ya Tupac ni tofauti na issue ya Jay Z. Jay Z is a devil worshiper but Pac was attacked and possessed by a spiritual being when he was in the studio recording the song Hit Em Up. Huyo spiritual being ndie haswa alie kuwa akiongea kupitia midomo na sauti ya Tupac Shakur kwenye Wimbo Hit Em Up. Ni kama tu Petro alivyo vamiwa na kuwa possessed na shetani ni kisha shetani kuongea kupitia midomo na sauti ya Petro kama ilivyo andikwa kwenye kitabu cha Mathew 16: 23.Sio Tupac tu hata Jayz anatumia sana falsafa za lucifer kwenye mziki wake yani Satan is his mentor,refer Wimbo wake na mr Hudson "Forever young",kwenye Quraan kuna aya inayozungumzia kisa cha ibilisi/lucifer kumshawishi hawa na adamu kula tunda fulani la peponi ili wasife waishi milele yani "to live forever "na wakashawishika kweli wakala,Jayz anaelezea kuishi Milele kupitia ushawishi uleule wa lucifer kwa baba yetu Adam kupitia Wimbo wake huo wa "forever young baadhi ya mashairi yanasomeka hivi nanukuu "so we livin life like a video"(video ni kitu ambacho kimesharekodiwa tayari/kimeshasemwa,anaendelea anasema "Forever young I want to be forever young,do you really want to live forever,forever and ever!"?.Jayz Bado anaendeleza legacy za boss wake kwa maelekezo maalum.
Duh wewe una uhakika gani kwamba wewe ndo upo sahihi?It won't make any sense. Huwezi kuchanganya mambo ya dhahania kama mapepo na mambo ya uhalisia kama mtu kurekodi wimbo unaohusu maisha yake.
Tupac hahitaji mapepo kuandika na kuimba ngoma kama hit em up.. hao wanasema hivyo ni watu ambao hawajaskiliza Ngoma zake nyingi zingine.. like alilolifanya mule kwake ni kawaida tu.
Hiyo haihitaji u-intellectual wowote kuona uhalisia.