LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Una connection na spiritual worldInawezekana ule mmea ndani yake una roho za kipepo za kutosha, angalia hata maisha ya vijana wa Arusha
Una connection na spiritual worldInawezekana ule mmea ndani yake una roho za kipepo za kutosha, angalia hata maisha ya vijana wa Arusha
FactTupac amekufa mwaka 1996, kitabu kimetoka mwaka 2025. Vitu viwili tofauti
Wanasema bangi zina connection na ulimwengu wa rohoZile ni bangi tu alikuwa amevuta
Kwa hiyo uliowataja ndio washiriki mada. Basi sahwa
Subiri video za jamaa ndio mpango mzima. Akiweka You Tube ntakutag linkBado sijelewa labda niutafute huo wimbo..au mwenye lyrics atuwekee hapa
Nenda TikTok huko ni videos nyingi sana. Ila kasema ataanvideo ikowap sasa
FactKumbe
Wimbo inaitwa Hit Em Up meaning anaitwa TupacBado sijelewa labda niutafute huo wimbo..au mwenye lyrics atuwekee hapa
The fact kwamba hadi vitabu vinaandikwa kuhusu nyimbo zake inaprove kwamba Pac was genius so jamaa alieandika kuhusu Pac ana utendea haki ukuu wa TupacPac was a Musical genius, nothing more nothing less. Pac is one of the greatest rapper to ever happen huku planet earth...
Sio kweliUkishaona neno "KIROHO" au "ROHO" ujue tu hapo kuna ulaghai.
Yes he was, ... you have to listen to his Music to understand this. Pac is on the same class with MJ, Robert and the likes...Yes Pac was controversial but he was one of a kind...You have be musical to understand this guy, try to listen to his interviews and you will get a glimpse of what I am talking about you will see how visionary he was.Tupac was genius? How?