Sio Tupac tu hata Jayz anatumia sana falsafa za lucifer kwenye mziki wake yani Satan is his mentor,refer Wimbo wake na mr Hudson "Forever young",kwenye Quraan kuna aya inayozungumzia kisa cha ibilisi/lucifer kumshawishi hawa na adamu kula tunda fulani la peponi ili wasife waishi milele yani "to live forever "na wakashawishika kweli wakala,Jayz anaelezea kuishi Milele kupitia ushawishi uleule wa lucifer kwa baba yetu Adam kupitia Wimbo wake huo wa "forever young baadhi ya mashairi yanasomeka hivi nanukuu "so we livin life like a video"(video ni kitu ambacho kimesharekodiwa tayari/kimeshasemwa,anaendelea anasema "Forever young I want to be forever young,do you really want to live forever,forever and ever!"?.Jayz Bado anaendeleza legacy za boss wake kwa maelekezo maalum.