Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Fateema njo udili na watu wako huku aisee me naenda zangu kulala. Your people are so boring. Hawataki kujifunza vitu vipya.

Ciao
🙌🙌🙌🙌
 

Attachments

  • Screenshot_2025-04-24-19-36-06-345.jpg
    Screenshot_2025-04-24-19-36-06-345.jpg
    375.6 KB · Views: 22
Fateema njo udili na watu wako huku aisee me naenda zangu kulala. Your people are so boring. Hawataki kujifunza vitu vipya.

Ciao
🙌🙌🙌🙌
Pole Sana mkuu for the experience. Watu wengine sio waelewa kabisa.
 
Asante kwa swali zuri mkuu.

1. Tupac mwenyewe anasema hakuandika Hit Em Up. He said " It just popped up when we was in the studio".


2. Eid I mean anasema walipokuwa studio Tupac was acting very strangely and very strange things happened in the studio even the engineers were buffed cause it had never happened before. Anasema alihisi kabisa kwamba something spiritual was going in the studio. Akasema Tupac was spiritual that night. Alipoulizwa je anadhani ilikuwa ni ishara ya kuwepo kwa nguvu ama viumbe wa kiroho Ndani ya studio akajibu ndio.


3. Tupac mwenyewe wiki tatu baada ya Hit Em Up kutoka aligundua kwamba hakuwa yeye kwenye WIMBO Hit Em Up but a spiritual being na alikwenda public kulisema hilo, hata wewe ulimsikia akisema ukitazama video za jamaa utajithibitishia mwenyewe beyond reasonable. Pac alivyo ona watu hawajamuelewa kwamba Yule si yeye alipanga kusisititza tena kwa mara ya pili kwa Lugha ya uwazi lakini kabla hajafanta hivyo wakamuua
Mkuu kama ikikupendeza tunaomba source hapo namba 3.
 
Eid I Mean, member wa Outlaw ambao walishirikishwa kwenye wimbo " Hit Em Up" anasema anaamini Siku hiyo Tupac studio hakuwa peke yake. Kuna vitu vilitokea studio ambavyo hata ma injinia siku hiyo walishangazwa. Yeye pia ana amini kulikuwa na spiritual beings studio wakiwa wanarekodi, na hao spiritual beings wana husika Moja kwa Moja na energy plus verse za Tupac kwenye Hit Em Up.
Watu na imani zenu. Vipi yule genius wa Tanzania yeye anasemaje?
 
You claim to be a player,but I fuc your wife.kwa huo wimbo huu mstari huwa naukubali,Kuna snich boya flani nilimfanyia hivi.
 
Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac.

Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok.

Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho.

Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za watu, vitu, wanyama, viumbe wa kiroho na matukio mbalimbali.

Anasema ameya study maisha na muziki wa Tupac Shakur na Notorious BIG kwa much wa miaka 20 na ame u study wimbo " Hit Em Up" Kwa miaka 20 na kupitia taaluma yake ya " Sayansi na Sanaa ya Lugha za Kiroho " Pamoja na " Sayansi na Sanaa ya Kusoma Sauti za Ndani" amegundua kwamba, mwaka 96 wakati Tupac yupo busy studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up", Tupac alikuwa amepandwa na pepo na kwamba pepo huyo ndie alie kuwa akiongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia Sauti ya Tupac.



Anasema kupitia taaluma yake ya Sanaa na Sayansi ya Lugha za kiroho, pamoja na Sanaa na Sayansi ya Sauti za Ndani, amethibitisha pasi na Shaka yoyote ile ( Proving beyond any reasonable doubt) kwamba wakati Tupac Shakur anarekodi wimbo " Hit Em Up" alikuwa amepandwa na pepo na kwamba ukiyaondoa maneno 25 pekee, maneno yote kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Ndani ta wimbo Hit Em Up, ni maneno ya pepo huyo kupitia kinywa na midomo ya Tupac.

Vile vile anasema anatoa tafsiri ya kina la kila neno kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Shakur Ndani ya wimbo Hit Em Up.

Na katika kuonyesha kwamba anajiamini kwenye hoja yake anaachia kitabu ambacho kitakuwa katika mfumo wa video ambazo atazipost kupitia You Tube Channel yake.

Kule Tik tok amesema hizo video za kitabu chake ambacho amekipa jina " Spiritual Aspect of the Song Hit Em Up" Ataanza kuziachia rasmi tatehe 16 June 2025 ambayo tarehe 16 June ni birthday ya Tupac.


To what extent do u agree with him?

Nieambatanisha na video 👇👇👇


View: https://youtube.com/watch?v=iElmWms5ICs&si=ZzNZOeUlzVAeULlA

Kwanini unakubali kutekwa akili na Mpumbavu mmoja kisa yye anasema hiv na ww unakubali kweli ww umemaliza hata Darasa la Saba vyema... Kwahiyo mi nikikwambia naweza kumsikiliza paka akilia au ndege utasema kweli tupilia mbali
 
Wabongo ama sijui niseme binadamu wengi sio watu wakuchambua mambo aisee! Watu wanaongelea kama vile mna m-diss 2pac ama mna m-prove kwamba hakua bora!
HIvi watu huwa wanashindwa kuchananua neno moja moja bila kuipa maana sentensi nzima? Mimi binafsi sijataka hata kujua nini ni nini ila nmezingatia maelezo na yamenifikirisha mana kuna muda hata sisi binadamu huwa tunapandwa na hizo pepo bila kujua unajikuta kuna mambo unaongea kwa akili ya kawaida unaona kabisa hapana huu ufikiri kuna muda kama uliongezeka zaidi. Sema watu wengi hatufatilii hivi vitu
 
Kwanini unakubali kutekwa akili na Mpumbavu mmoja kisa yye anasema hiv na ww unakubali kweli ww umemaliza hata Darasa la Saba vyema... Kwahiyo mi nikikwambia naweza kumsikiliza paka akilia au ndege utasema kweli tupilia mbali
I am a critical thinker. Naheshimu mawazo ya mtu kama ninavyo yaheshimu mawazo yako.

A critical thinker always changes his mind when faced with better arguments
 
Back
Top Bottom