Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
😂😂 hawa wamezoea michezo hii au sio!Mwambie akacheze na wale simba wa kule serengeti
Serengeti mbali sana. Hapo hapo alipo wafungulie tu mlango aingie au simba atoke! Dah!Mwambie akacheze na wale Simba wa kule Serengeti
Hii ndio namna tundulisu anavyomchezea mbowe.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
View attachment 3199451
Huko siyo kuchza na simbaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
View attachment 3199451
Yuko fitMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
View attachment 3199451
Mnona Simna yupo kwenye wavuMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
View attachment 3199451