VIDEO: RC Chalamila akicheza na Simba bila uoga, unaweza kujaribu?

VIDEO: RC Chalamila akicheza na Simba bila uoga, unaweza kujaribu?

Kweli binadamu hatuwez ku stand a chance mbele ya simba tuko slow mno
 
naunga mkono kufanya mazoezi na simba mweshimiwa katufundisha kitu kikubwa utalii wa ndani ni pamoja na mazoezi kwajili ya afya zetu watanzania
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
View attachment 3199451
Hivi anapata wapi muda wa kucheza wakati kuna hizi changamoto hazifanyiwi kazi?
👇
 
Dah,
Inaelekea huyo simba ana njaa.
Kwani mlango wa hapo haufunguki kwa remote?!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
View attachment 3199451
Utoto, huyo anayecheza na simba yuko wapi! Wamfungulie acheze naye kama wafanyavyo wengine.
 
Sasa wewe huwezi nini hapo, kama mnataka tushangae si aingie humo ndani kwenye hiyo cage wakimbizane humo ndani.

Simba kafungiwa kuna shida gani hadi uulize kama sisi tungeweza
Huyu expert sijui katuonaje,sasa cha kushangaza hapo ni nini?

Ina maana hata yeye angeshindwa kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom