VIDEO: RC Chalamila akicheza na Simba bila uoga, unaweza kujaribu?

VIDEO: RC Chalamila akicheza na Simba bila uoga, unaweza kujaribu?

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
View attachment 3199451
We itakuwa mkewe au mtoto wake. Yaani kukimbia kimbia kama taahira kwa simba aliye kwenye cage we unasema anacheza naye? Nyie wanawake mnakuwa amused na vitu vya kitoto sana.
 
Back
Top Bottom