Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Aende serengetiMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
View attachment 3199451
Ni wachache sana watakao kuelewa mkuu,Watu wa haki za wanyama, huyu Simba amewekwa kwenye cage ili ateswe kisaikolojia namna hii?
Hivi anapata wapi muda wa kucheza wakati kuna hizi changamoto hazifanyiwi kazi?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
View attachment 3199451
Utoto, huyo anayecheza na simba yuko wapi! Wamfungulie acheze naye kama wafanyavyo wengine.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini Dar es Salaam.
View attachment 3199451
kule atafanywa asusa, kitoweo cha simbaMwambie akacheze na wale Simba wa kule Serengeti
Huyu expert sijui katuonaje,sasa cha kushangaza hapo ni nini?Sasa wewe huwezi nini hapo, kama mnataka tushangae si aingie humo ndani kwenye hiyo cage wakimbizane humo ndani.
Simba kafungiwa kuna shida gani hadi uulize kama sisi tungeweza
Jamaa ametukosea ase.Hii nayo ni mada ya kuleta hapa we RC?
Ni mateso makali sanaWatu wa haki za wanyama, huyu Simba amewekwa kwenye cage ili ateswe kisaikolojia namna hii?