PreGE2025 Video: RC wa Manyara Queen Sendiga akaa chini kwenye majani na wanafunzi na kula nao makande shuleni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.

Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?

CCM wako comfortable sana.

======================================

Mkuu wa Mkoa wa Manyara amejumuika na wanafunzi wa Shule ya Msingi Dumbeta wakati wa chakula cha mchana, ambapo alikula nao makande.

Ni sehemu ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Manyara, ikiwa inaongozwa na kauli mbiu "Sivui Buti Mpaka Kieleweke"

Acha ukora wa kijinga, wewe umechangia shilingi ngapi?
 
Mkuu mbona povuu sanaaaa ,mwanachi anatakiwa kulipa kodi tuu ili serikali iweze kujiendeshaaa na sio vinginevyo mkuuu Jidu La Mabambasi analipa kodi na ndicho kinachotakiwaa na kitumike kuboresha maisha sio kuwapeleka wasaniii Korea zeara isyo na tija yoyote kwa wananchi wakawaida walipa kodii
 
Nijuavyo kuna makande ya staff na ya wanafunzi, yeye alikula makande gani, ni hayo ya wanafunzi yanayopikwa chini ya kiwango?
 
Mngewapenda hawa watoto msingemuongezea Mwarabu wa OBC eneo kule Loliondo na Ngorongoro. Watoto wanakosa maziwa kwakua eneo la ufugaji hawaruhusiwi tena kufuga mifugo yao.
 
We know how you was appointed to be a Regional Commissioner by the late JPM, hatujasahau but my sister kazi zako za u RC unazitendea kazi, huyo Ole Sanduku asikutishe wewe ndio serikali yeye ni mwakilishi tu. Piga kazi mama lkn ukumbuke na chama kilichokutoa, usitupe jongoo na mti wake
 
You are my role model na nimejifunza vitu vingi sana kwako , kama kuna mapungufu hiyo ni suala la ubinadamu tu. Umenifundisha kwamba pesa si kitu,
Kwako japo najua ingizo lako kwa mwezi ukijumlisha na posho za vikao hukosi 8 M lkn staili yako ya kusuka umebaki na twende kilioni, najua wamiliki wa saloon hawakupendi lkn nasema shikilia hapo hapo na TWENDE KILIONI YETU
 
Wakuu,

Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.

Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?

CCM wako comfortable sana.

======================================

Mkuu wa Mkoa wa Manyara amejumuika na wanafunzi wa Shule ya Msingi Dumbeta wakati wa chakula cha mchana, ambapo alikula nao makande.

Ni sehemu ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Manyara, ikiwa inaongozwa na kauli mbiu "Sivui Buti Mpaka Kieleweke"

Huyu RC, YULE WA DODOMA, YULE MD WA Moshi manispaa,ni wasanii 100%
 
Nijuavyo kuna makande ya staff na ya wanafunzi, yeye alikula makande gani, ni hayo ya wanafunzi yanayopikwa chini ya kiwango?
Kaja nayo toka nyumbani kwake. Hapo anaigiza ni mtu anayejali wanyonge, hajui ni kama anaimirisha dhana ya kujivunia umasikini.
 
Wakuu,

Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.

Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?

CCM wako comfortable sana.

======================================

Mkuu wa Mkoa wa Manyara amejumuika na wanafunzi wa Shule ya Msingi Dumbeta wakati wa chakula cha mchana, ambapo alikula nao makande.

Ni sehemu ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Manyara, ikiwa inaongozwa na kauli mbiu "Sivui Buti Mpaka Kieleweke"

Hiyo ni shule ya bweni? Maana ndizo zina maholi ya chakula. Acha kulalamikia vitu vya kawaida
 
Wakuu,

Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.

Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?

CCM wako comfortable sana.

======================================

Mkuu wa Mkoa wa Manyara amejumuika na wanafunzi wa Shule ya Msingi Dumbeta wakati wa chakula cha mchana, ambapo alikula nao makande.

Ni sehemu ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Manyara, ikiwa inaongozwa na kauli mbiu "Sivui Buti Mpaka Kieleweke"

Waiteni Kaole sanaa group wachukue Mtu wao.
 
Dogo acha ushamba huo ni mtoko tu. Wakati wa summer wazungu hukaa kwenye majani bustanini, watakula na kunywa
 
Back
Top Bottom