PreGE2025 Video: RC wa Manyara Queen Sendiga akaa chini kwenye majani na wanafunzi na kula nao makande shuleni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dogo acha ushamba huo ni mtoko tu. Wakati wa summer wazungu hukaa kwenye majani bustanini, watakula na kunywa

Acha kutetea ujinga.

Hao wazungu shule zao hata kama ni day kunakuwa na canteen au hall kwa ajili ya watoto kula. Na hizo picnics unazosema hazifanyikagi mashuleni, kuna sehemu special.

Mnatumia kodi vibaya mnaacha kuwajengea watoto canteen za kisasa, mnaanza kusingizia wazungu na wenyewe wanafanyia hivyo.

Mweupe kabisa
 
Hiyo ni shule ya bweni? Maana ndizo zina maholi ya chakula. Acha kulalamikia vitu vya kawaida

Ndo wale chini kwenye majani?

Kama shule inapika chakula cha wanafunzi maana yake inatakiwa ijiandae kutengeneza mazingira mazuri kwa wanafunzi kula chakula, sio kwenye majani kama Wahdazabe.
 
Sasa kuna uajabu gani mkuu?

1. Inakuwaje serikali inayotoa misaada kwa viongozi wa dini na kununua magoli inashindwa kujenga canteen na dining halls mpaka watoto wanakula kwenye majani?

2. Kwanini RC anaita mpaka media kuonesha kuwa anakula kwenye majani na wanafunzi na yeye ndo yuko kwenye level za juu ya maamuzi? Hiyo comfortability anatoa wapi?

Huo ndo uajabu niliouona
 
fundisha kwamba pesa si kitu,
Kwako japo najua ingizo lako kwa mwezi ukijumlisha na posho za vikao hukosi 8 M lkn staili yako ya kusuka umebaki na twende kilioni, najua wamiliki wa saloon hawakupendi lkn nasema shikilia hapo hapo na TWENDE KILIONI YETU
Hana mume wala watoto wala hawara asuke vizuri ma rasta kumpendezesha nani
 
Miaka 63 ya Uhuru tunaendelea kuona maigizo ya viongozi wetu!

Ndio maana wao na Wasanii wa Bongo ni marafiki sana.

WEWE MTANGANYIKA FANYA UHAMUZI WKO KWENYE SANDUKU LA KURA MWAKA HUU.
 
Wakuu,

Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.

Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?

CCM wako comfortable sana.

======================================

Mkuu wa Mkoa wa Manyara amejumuika na wanafunzi wa Shule ya Msingi Dumbeta wakati wa chakula cha mchana, ambapo alikula nao makande.

Ni sehemu ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Manyara, ikiwa inaongozwa na kauli mbiu "Sivui Buti Mpaka Kieleweke"

Hapa habar ni nini???
 
Inaonekana hapo Manyara hakuna kazi za kufanywa na RC.

Majuzi kati alivaa sare za shule. Au ana tatizo la akili?
 
Wakuu,

Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.

Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?

CCM wako comfortable sana.

======================================

Mkuu wa Mkoa wa Manyara amejumuika na wanafunzi wa Shule ya Msingi Dumbeta wakati wa chakula cha mchana, ambapo alikula nao makande.

Ni sehemu ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Manyara, ikiwa inaongozwa na kauli mbiu "Sivui Buti Mpaka Kieleweke"

Unafiki wa wanasiasa kipindi cha uchaguzi. Watadeki na vyoo pia
 
Mkuu WA mkoa anakula makande na wanafunzi WA Shule ya msingi.mama mitano tena
 
Back
Top Bottom