Acha ukora wa kijinga, wewe umechangia shilingi ngapi?Wakuu,
Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.
Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?
Mkuu mbona povuu sanaaaa ,mwanachi anatakiwa kulipa kodi tuu ili serikali iweze kujiendeshaaa na sio vinginevyo mkuuu Jidu La Mabambasi analipa kodi na ndicho kinachotakiwaa na kitumike kuboresha maisha sio kuwapeleka wasaniii Korea zeara isyo na tija yoyote kwa wananchi wakawaida walipa kodiiAcha ukora wa kijinga, wewe umechangia shilingi ngapi?
Daaah! Mbavu sina mkuu!😄😄Nawaza huyo mwanafunzi aliyedhulumiwa makande yake kwa show offs za Camera, alifidiwa au akaondoka hajashiba?
Huyu RC, YULE WA DODOMA, YULE MD WA Moshi manispaa,ni wasanii 100%Wakuu,
Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.
Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?
CCM wako comfortable sana.
======================================
Mkuu wa Mkoa wa Manyara amejumuika na wanafunzi wa Shule ya Msingi Dumbeta wakati wa chakula cha mchana, ambapo alikula nao makande.
Ni sehemu ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Manyara, ikiwa inaongozwa na kauli mbiu "Sivui Buti Mpaka Kieleweke"
Kaja nayo toka nyumbani kwake. Hapo anaigiza ni mtu anayejali wanyonge, hajui ni kama anaimirisha dhana ya kujivunia umasikini.Nijuavyo kuna makande ya staff na ya wanafunzi, yeye alikula makande gani, ni hayo ya wanafunzi yanayopikwa chini ya kiwango?
Huyu mama sasa ukimuomba chochote,atakupa,ilimradi ateuliwe TenaKila mwasiasa ana huruma na wananchi kipindi hiki.
Hiyo ni shule ya bweni? Maana ndizo zina maholi ya chakula. Acha kulalamikia vitu vya kawaidaWakuu,
Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.
Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?
CCM wako comfortable sana.
======================================
Mkuu wa Mkoa wa Manyara amejumuika na wanafunzi wa Shule ya Msingi Dumbeta wakati wa chakula cha mchana, ambapo alikula nao makande.
Ni sehemu ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Manyara, ikiwa inaongozwa na kauli mbiu "Sivui Buti Mpaka Kieleweke"
Waiteni Kaole sanaa group wachukue Mtu wao.Wakuu,

Dogo acha ushamba huo ni mtoko tu. Wakati wa summer wazungu hukaa kwenye majani bustanini, watakula na kunywaWakuu,