Dogo acha ushamba huo ni mtoko tu. Wakati wa summer wazungu hukaa kwenye majani bustanini, watakula na kunywa
Hiyo ni shule ya bweni? Maana ndizo zina maholi ya chakula. Acha kulalamikia vitu vya kawaida
Sasa kuna uajabu gani mkuu?
Hana mume wala watoto wala hawara asuke vizuri ma rasta kumpendezesha nanifundisha kwamba pesa si kitu,
Kwako japo najua ingizo lako kwa mwezi ukijumlisha na posho za vikao hukosi 8 M lkn staili yako ya kusuka umebaki na twende kilioni, najua wamiliki wa saloon hawakupendi lkn nasema shikilia hapo hapo na TWENDE KILIONI YETU
Hapa habar ni nini???Wakuu,
Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.
Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?
CCM wako comfortable sana.
======================================
Mkuu wa Mkoa wa Manyara amejumuika na wanafunzi wa Shule ya Msingi Dumbeta wakati wa chakula cha mchana, ambapo alikula nao makande.
Ni sehemu ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Manyara, ikiwa inaongozwa na kauli mbiu "Sivui Buti Mpaka Kieleweke"
Hapo anawaza cheo kuliko maendeleo yoyoteMiaka 63 ya Uhuru tunaendelea kuona maigizo ya viongozi wetu!
Ndio maana wao na Wasanii wa Bongo ni marafiki sana.
WEWE MTANGANYIKA FANYA UHAMUZI WKO KWENYE SANDUKU LA KURA MWAKA HUU.
Inaonekana hapo Manyara hakuna kazi za kufanywa na RC.Wakuu,
Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.
Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote? RC na yeye haoni haibu anajiunga nao hapohapo?
CCM wako comfortable sana.
======================================
Mkuu wa Mkoa wa Manyara amejumuika na wanafunzi wa Shule ya Msingi Dumbeta wakati wa chakula cha mchana, ambapo alikula nao makande.
Ni sehemu ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Manyara, ikiwa inaongozwa na kauli mbiu "Sivui Buti Mpaka Kieleweke"
Unafiki wa wanasiasa kipindi cha uchaguzi. Watadeki na vyoo piaWakuu,