Video: Sabaya azomewa "mwiziiiii mwiziiiii!" Hakika cheo ni dhamana

Video: Sabaya azomewa "mwiziiiii mwiziiiii!" Hakika cheo ni dhamana

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Hakika cheo ni dhamana. Tumia cheo kutenda haki, tenda kazi ya Mungu.

Hili ni funzo kubwa sana kwa wenzetu mnaoteuliwa na kuchaguliwa. Oneni mwenzenu anavyodhalilika. Hamjachelewa sana,huu ni wakati wa kulia na kutubu hadharani
 
Hivi anajitetea mwenyewe au anatumia wakili, huyo wakili atakuwa na kibarua kigumu sana kwa ushahidi ule wa video!
 
Mama Samia bado mmoja anakula na kunywa uraiani, tupatie na huyo iwe zawadi ya mwaka huu 2021...
 
Back
Top Bottom