Video: Sabaya azomewa "mwiziiiii mwiziiiii!" Hakika cheo ni dhamana

Hao wamenunuliwa na chadema waje kuzomea hapo lakini haitawasaidia kitu.
Kuna wakuu wa wilaya wangapi Tanzania ,, kwanini Sabaya??

Chadema wapo Tanzania nzima, kwanini chadema wa kwa Sabaya peke yake?
 
Mbona makonda mlisema hivi hivi na yupo?

Mashindwa kuwaua mafisadi wanaachiwa hovyo na DPP mtabaki na umasikini wenu
Kumbe wanaachiwa hovyo hovyo, basi serikali ya CCM ni ya hovyo sana.
 
Tambua kwamba anatuhumiwa.. na ujue kwenye tuhuma kuna ukweli au usio ukweli..

Je siku asipopatikana na hatia bado utamwita mwizi?
 
Huyu ndugu yetu inabidi atunzwe hukohuko akija mtaa raia wanaweza mgeuza ndafu chaaap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…