Video: Sabaya azomewa "mwiziiiii mwiziiiii!" Hakika cheo ni dhamana

Wamemuheshimu sana huyo ni JAMBAZI sio mwizi.

-Uhalifu/Uporaji wa kutumia silaha(jambazi)
-Kuendesha genge la uhalifu(Pablo escobar).
-Ubakaji.
 
Hata Sabaya alikuwa akimtaja sana Mungu..

I think hii notion ya Mungu is either misplaced or overrated...

watumishi wafate miiko tu ya kazi zao na mambo yataenda vizuri because ukisoma miiko na maadili ya uongozi, you don't need huyo Mungu....

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Duuh
 
Na wakijichanganya kumfutia kesi anauwawa mtaani labda akajifiche Libya
Hata wasipo muua huyu!! atakufa kisaikolojia anajiona hivi polepole!! Huko aliko wamemsaidia sana tena sana!!!! na hata yeye binafsi hatamani kukaa uraiani!! na familia zetu hizi za kiswahili heee!! ndg ndo kabisaa wata mnyanyasa kwanza, bora akitoka huko akae na marafiki!! kwanza huyu anaomba asitoke huko!
 
Mmh wabongo waoga mno, bashite mbona bado anadunda?[emoji848]
Yule mchawi si kitoto sasa wee mtaje taje upinde mavidole yako hapo!! Magu alianza kidoogo!! kumsema sema!! mara asimpe mkono, mara ayaongelee makonteina yake !! jiulize Magu yuko wapi leo??

Bashite hakumstua kuhusu hili la kifo na huyo huyo Bashite alimsaidia mara kibao ili asife!!! jiwe kazoea akaona ahaa!! ile ilikuwa tuu!! wala siyo bashite, yaliyompata jiwe mnajua leo anaozea ahera!!
usicheze na kijukuu cha mwanamarundi wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…