Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Msikilize mwenyewe. Hii Nchi ishakuwa ngumu sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumbavu wa yanga hamuwezi kuelewa hili. GSM anayedhamini Yanga na kupigania Yanga atwae makombe Ndio huyo huyo anapeleka fedha za udhamini kwenye timu nyingine. Hapo tayari Kuna mgongano wa maslahi. Hiyo fursa anaweza itumia kupanga matokeo.Bongo watu wengi sana wana matatizk ya akili, na ndio wanaongoza kujikuta watu wa kutema facts. 🤣
Mo aturudishie timu yetu ili tupunguze kulialia.Saleh Jembe yuko sahihi kabisa na ndiyo kitu nilikuwa namwambia chura mmoja humu ndani juzi hadi akakimbia.
Shida siyo sana kudhamini timu nyingi ingawa mbele ya safari hili nalo linatakuwa kuangaliwa, shida huyu anayedhamini tayari ana timu yake ambayo ndiyo anatamani iwe na mafanikio zaidi. Kwa hiyo anatumia udhamini wake kwa timu zingine kama chaka la kufanikisha mafanikio ya timu yake mama. Hauhitaji D2 kulielewa hilo.
Huu Uzi mwisho wake makumbusho .sio dar yote hataHizi nyuzi za mwendo kasi hatari...
Yaani huyo saleh unamtaja kana kwamba hadi huku Murito mkoani Tarime tunamfaham....🤨
Kama hamtaki tusome nyuzi zenu, basi muwe mnaweka angalizo kwamba huu ni uzi wa daslam tu...😑
Saleh Jembe yuko sahihi kabisa na ndiyo kitu nilikuwa namwambia chura mmoja humu ndani juzi hadi akakimbia.
Shida siyo sana kudhamini timu nyingi ingawa mbele ya safari hili nalo linatakuwa kuangaliwa, shida huyu anayedhamini tayari ana timu yake ambayo ndiyo anatamani iwe na mafanikio zaidi. Kwa hiyo anatumia udhamini wake kwa timu zingine kama chaka la kufanikisha mafanikio ya timu yake mama. Hauhitaji D2 kulielewa hilo.
Mtu'mbavuMsikilize mwenyewe. Hii Nchi ishakuwa ngumu sasa.
View attachment 3245221
Na form six alitwanga zero, chezea elimu ya uzeeni weweHuyo ni zero brain kama wanahabari wengine wa Tanzania
Dah, umeandika kama huna PUMBU vile, sasa aliyesema mimi ni UTOPOLO nani?Wapumbavu wa yanga hamuwezi kuelewa hili. GSM anayedhamini Yanga na kupigania Yanga atwae makombe Ndio huyo huyo anapeleka fedha za udhamini kwenye timu nyingine. Hapo tayari Kuna mgongano wa maslahi. Hiyo fursa anaweza itumia kupanga matokeo.
Hakuna timu inayocheza Ligi Kuu ya Ujerumani "Bundes Liga" ambayo inamilikiwa na wamiliki wa Bayern Munich nje ya Bayern Munich yenyewe. Hakuna. Haipo na wala haitakaa itokee. Elewe neno ligi Kuu. Usije ukaleta timu za madaraja ya chini, kama kule Hispania ambako kuna Barcelona Ndogo inayocheza ligi ya chini na haipandi kwenda Ligi Kuu hata kama wakitwaa ubingwa. Nasubiri utaje hiyo timu ya wamiliki wa Bayern.Unajua Beyern Munich inamilikiwa na Nani? Sio udhamini Bali umiliki, na je hao wanaomiliki Bayern wanamiliki na timu gani zingine? Nakupa home work fanyia kazi hii Kolo
Kuna naibu Waziri yule Mwanamuziki , alitwanga Form Six Zero. Lakini alijiendeleza. Kwa hiyo hapo hauna hoja. Cha msingi ameongea ukweli. Ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama waongo na wazandiki hamuupendi.Na form six alitwanga zero, chezea elimu ya uzeeni wewe
Kweli sina Pumbu, si ndio maana uliponipa nilishindwa kukugonga.Dah, umeandika kama huna PUMBU vile, sasa aliyesema mimi ni UTOPOLO nani?
FC Bayern München AG was founded in 2001 and its founder and main shareholder is FC Bayern München e.V. Other shareholders include Audi, Adidas and Allianz SE. FC Bayern München AG operates the professional football department of FC Bayern.Hakuna timu inayocheza Ligi Kuu ya Ujerumani "Bundes Liga" ambayo inamilikiwa na wamiliki wa Bayern Munich nje ya Bayern Munich yenyewe. Hakuna. Haipo na wala haitakaa itokee. Elewe neno ligi Kuu. Usije ukaleta timu za madaraja ya chini, kama kule Hispania ambako kuna Barcelona Ndogo inayocheza ligi ya chini na haipandi kwenda Ligi Kuu hata kama wakitwaa ubingwa. Nasubiri utaje hiyo timu ya wamiliki wa Bayern.
Inaonekana unajua ku_google, ila hujataja timu inayomilikiwa na Wamiliki wa Bayern Munich nje ya Bayern yenyewe. Nasubiri utaje jina la hiyo timu! Soma vizuri post yako wewe mwenyewe namba 10. Maana umejaribu kudai kuna timu nyingine inayomilikiwa na wamiliki wa Bayern Munich nje ya bayern yenyewe. Itaje.FC Bayern München AG was founded in 2001 and its founder and main shareholder is FC Bayern München e.V. Other shareholders include Audi, Adidas and Allianz SE. FC Bayern München AG operates the professional football department of FC Bayern.