Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Inaonekana unajua ku_google, ila hujataja timu inayomilikiwa na Wamiliki wa Bayern Munich nje ya Bayern yenyewe. Nasubiri utaje jina la hiyo timu! Soma vizuri post yako wewe mwenyewe namba 10. Maana umejaribu kudai kuna timu nyingine inayomilikiwa na wamiliki wa Bayern Munich nje ya bayern yenyewe. Itaje.
Wewe usinichoshe, umesema Bayern inamilikiwa na Bayern wenywe, mimi nmekuonesha watu nje ya Bayern ambao ni Audi, Allianz, na Adidas pia wanamiliki Bayern Munich? Unakubaliana na hao wamiliki kwanza? Ili nikupeleke kwenye point yangu?