Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Inaonekana unajua ku_google, ila hujataja timu inayomilikiwa na Wamiliki wa Bayern Munich nje ya Bayern yenyewe. Nasubiri utaje jina la hiyo timu! Soma vizuri post yako wewe mwenyewe namba 10. Maana umejaribu kudai kuna timu nyingine inayomilikiwa na wamiliki wa Bayern Munich nje ya bayern yenyewe. Itaje.
Taja timu acha kuzunguka kama pia!Wewe usinichoshe, umesema Bayern inamilikiwa na Bayern wenywe, mimi nmekuonesha watu nje ya Bayern ambao ni Audi, Allianz, na Adidas pia wanamiliki Bayern Munich? Unakubaliana na hao wamiliki kwanza? Ili nikupeleke kwenye point yangu?
Unataka kutafuniwa fanya mwenyewe utafiti. Unabisha vitu usivyovijua poleTaja timu acha kuzunguka kama pia!
Huna ulijualo. Post yako namba 10 umeandika mwenyewe kumbe utopolo mtupu.Unataka kutafuniwa fanya mwenyewe utafiti. Unabisha vitu usivyovijua pole
Pole sana, tatizo lenu mnakaa vijiweni mnajiona wachambuzi alafu Dunia hamuijui.Huna uliju
Huna ulijualo. Post yako namba 10 umeandika mwenyewe kumbe utopolo mtupu.
Wewe unayeijua dunia, mbona umeshindwa kuitetea post yako namba 10!? Au unaandika andika tu bila kusoma unachoandika!?Pole sana, tatizo lenu mnakaa vijiweni mnajiona wachambuzi alafu Dunia hamuijui.
Simba hawawezi kwenda popote kwakua kabla ya apo GSM wali ingia mkataba na Tff ili kudhamini vilabu vyote vya ligi kuu kwa thamani ya Billion moja kama wafanyavyo NBC.Kwanini Simba SC wako kimya hawaenda mahakama za mpira na CAF? Kitendo cha uongozi wa Simba SC kukaa kimya ni tatizo kubwa