Waaaai! Tena jinga la kiwango cha lami, zeee zima limekalia kulia lia tuuu, kutafuta huruma ya wananchi, mxiiuwww! Na shabiki zake ndio kutwa kumkatia kachumbari kunogesha ujinga wake.Kiba siyo mjinga kila siku analalamikia watu hawa tu, kuna kitu chin ya kapeti
Hivyo vijembe huwa vinamuhusu kiba? Kwanini?Alikiba amekosea kumtuhumu moja kwa moja huyu jamaa lakini ampi sababu ya Sallam kumtuhumu Kiba kuwa anachuki na Mondi. Kama ni chuki nadhani hata wao wanachuki, tena kubwa tu na Kiba!
Mnakumbuka baada ya show ya Mombasa Kiba kupanda jukwaani kama surprise artist jamaa aliongeaje? Post kibao insta kumdhihaki Kiba! ile itafsriwe nini kama sio chuki! wakati Mondi anafanya sijui remix anamdhihaki Jamaa anapost Tembo yeye anapost show ile ni nini? ni upendo ama? na huyu huyu jamaa sallama sijui nani ndiye aliyekuwa anasambaza clip huko insta! that is insane for a nigga who claims to be an international promoter!
Huyu jamaa ameacha majukumu yake ya msingi kama promoter na kugeuka kuwa mpiga zumari wa Mondi huku akiendekeza bifu na msanii mwengine. Ila akae akijua kuwa yeye ni muajiriwa tu! leo yuko kwa Mondi hawezi juwa kesho atakuwa wapi, anaweza kufanya na Kiba pia, haya ni maisha tu! Psquare walitaka kumtosa meneja wao ambaye ni kaka yao wa damu, Beyonce Kamtosa baba yake mzazi sembuse huyu! Ukisoma post zake insta ni zaidi ya kumpromot msanii wake, lazima aweke vijembe ambavyo ni unnecessary!
Aletoa order ya kuzima mic Ni meneja wa chriss and not sandesallam anasema alikua na mr sande na anasema mr sande ndiyo alitoa order jamaa azimiwe mic.
connect dot
Inawezekana kabisa ukawa na ugonjwa wa kutokuelewa.Issue siyo kuwa pale. Ila ni kwanini alikuwa BACK STAGE (Nyuma ya jukwaa)? Wakati sehemu hii ni maalum kwa maDJ na Mafundi miambo tu. Je ma manager wa SAUTISOL walikuwa Backstage?
Kama kahusika Mungu amulaani kabisa!! Kwani hajamudhalarisha Ally Kiba pekee,bali pia Tanzania kwa ujumla.
Usinambie Sallam ndo alimshauri kiba apande jukwaani baada ya wizy kidKwa ufupi huyu Salam ndio alie tengeneza hizo figisu figisu kwa Ali kiba n nothing else.
Mmmmmhh hebu skiliza video tena naona ushachanganya madesasallam anasema alikua na mr sande na anasema mr sande ndiyo alitoa order jamaa azimiwe mic.
connect dot
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] abaki huko huko kwa kweli.Afadhali umekuwa shabiki wa Alikiba..maana ungekuwa shabiki wa Diamond ungetutia aibu sana..
Mpaka leo unafananisha muziki na harusi?!baki huko huko kwa Alikiba[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa, hata darasani wanafunzi wanaweza wakaelewa 87% wengine wataelewa siku nyingine, au wasielewe kabisa, hawa ndo huwa tunawaita mbumbumbu.Kwa ufupi alietakiwa kupanda ni Wizkid kabla ya kiba nthen afuate Kiba ila Salam akamletea fitna Kiba ndio sababu ya kiba ku delay maana program haikuwa hivo halafu pia Salam na meneja wa wizkid ni marafiki na meneja wa wizkid ndio meneja wa Diamond upande wa west africa kwahiyo salam ulihhusika kumfitini kiba.shame on you.
aisee yaani huyu mtangazaji umfananishe na hawa wavuta bangi?Huwezi kumfananisha na B Dozen, Dulla, Millard ayo wala Sam missago, mkuu nazani useme kingine hyo ni kinda sana
Hapa umechemka mzee, Mr Sande ni meneja wa Wizkid, baada ya Wizkid ndio akapanda kiba sasa atatoaje order jamaa azimiwe mic wakat tayar msanii wake ameshaperform, hebu rudia kuangalia video tenasallam anasema alikua na mr sande na anasema mr sande ndiyo alitoa order jamaa azimiwe mic.
connect dot
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] abaki huko huko kwa kweli.
SK mendez huwa anasema hivi "Nisipokuwa upande wako ukinipenda we utakuwa malaika" Pengine jamaa anasura fulani hivi ya wizi wizi au fitna fitna, anasema hata wakati anaonana na Diamond kwa mara ya Kwanza Diamond alionesha "kutokumpenda". (Kutokupendezwa nae)
Nashindwa kuelewa kwanini kiba amhofie SK kila akikutana naye?
Najiuliza tu jamaa anavi nasaba vya Scorpion au Nyoso?
Binafsi I can relate anachokisema, kwasababu nina experience nacho, mara nyingi sana nikikutana na watu katika kazi mbalimbali za kijamii huwa hawaoneshi kunipenda, (hii nimeiona sana nilikopita shuleni, vyuoni, makazini kote nilikopita) baadae mtu anakiri mwenyewe kuwa nilikuwa nakuonaje sijui kumbe ni mtu poa hivi. Cha ajabu mi huwa nawapenda watu at first place labda nije niwaone waajabu baadae. I hope kuna watu washawahi kuona hichi kitu pia.
Wao waliona Kiba angepata status maana kupishana na Chriss brown jukwaani ndio sababu hiyo tu ni wivu tu unawasumbuaSK mendez huwa anasema hivi "Nisipokuwa upande wako ukinipenda we utakuwa malaika" Pengine jamaa anasura fulani hivi ya wizi wizi au fitna fitna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], anasema hata wakati anaonana na Diamond kwa mara ya Kwanza Diamond alionesha "kutokumpenda". (Kutokupendezwa nae)
Nashindwa kuelewa kwanini kiba amhofie SK kila akikutana naye?
Najiuliza tu jamaa anavi nasaba vya Scorpion au Nyoso?
Binafsi I can relate anachokisema, kwasababu nina experience nacho, mara nyingi sana nikikutana na watu katika kazi mbalimbali za kijamii huwa hawaoneshi kunipenda, (hii nimeiona sana nilikopita shuleni, vyuoni, makazini kote nilikopita) baadae mtu anakiri mwenyewe kuwa nilikuwa nakuonaje sijui kumbe ni mtu poa hivi. Cha ajabu mi huwa nawapenda watu at first place labda nije niwaone waajabu baadae. I hope kuna watu washawahi kuona hichi kitu pia.