Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Alikiba amekosea kumtuhumu moja kwa moja huyu jamaa lakini ampi sababu ya Sallam kumtuhumu Kiba kuwa anachuki na Mondi. Kama ni chuki nadhani hata wao wanachuki, tena kubwa tu na Kiba!

Mnakumbuka baada ya show ya Mombasa Kiba kupanda jukwaani kama surprise artist jamaa aliongeaje? Post kibao insta kumdhihaki Kiba! ile itafsriwe nini kama sio chuki! wakati Mondi anafanya sijui remix anamdhihaki Jamaa anapost Tembo yeye anapost show ile ni nini? ni upendo ama? na huyu huyu jamaa sallama sijui nani ndiye aliyekuwa anasambaza clip huko insta! that is insane for a nigga who claims to be an international promoter!

Huyu jamaa ameacha majukumu yake ya msingi kama promoter na kugeuka kuwa mpiga zumari wa Mondi huku akiendekeza bifu na msanii mwengine. Ila akae akijua kuwa yeye ni muajiriwa tu! leo yuko kwa Mondi hawezi juwa kesho atakuwa wapi, anaweza kufanya na Kiba pia, haya ni maisha tu! Psquare walitaka kumtosa meneja wao ambaye ni kaka yao wa damu, Beyonce Kamtosa baba yake mzazi sembuse huyu! Ukisoma post zake insta ni zaidi ya kumpromot msanii wake, lazima aweke vijembe ambavyo ni unnecessary!
Hivyo vijembe huwa vinamuhusu kiba? Kwanini?
 
Issue siyo kuwa pale. Ila ni kwanini alikuwa BACK STAGE (Nyuma ya jukwaa)? Wakati sehemu hii ni maalum kwa maDJ na Mafundi miambo tu. Je ma manager wa SAUTISOL walikuwa Backstage?

Kama kahusika Mungu amulaani kabisa!! Kwani hajamudhalarisha Ally Kiba pekee,bali pia Tanzania kwa ujumla.
Inawezekana kabisa ukawa na ugonjwa wa kutokuelewa.
 
Kuna mambo mengine ni kutumia tu common sense, bila hata kuzunguka saaana...Criss amelipwa kiasi gani na Kiba amelipwa kiasi gani kwenye show hiyo hiyo?

Sasa ni kwa vipi Waandaaji/Watu wa CB watamsubiri Ally amalize anachofanya alafu ndio CB (ambaye kwa vyovyote ndiye mgeni rasmi kwa show ile) aje apande stejini?

Kama hao Waandaaji/Watu wa CB walimsikiliza Sallam alipoagiza mic izimwe...je wangemsikiliza pia kama angeagiza iwe kinyume chake...yaani Kiba aachiwe aendelee kutumbuiza?
 
Afadhali umekuwa shabiki wa Alikiba..maana ungekuwa shabiki wa Diamond ungetutia aibu sana..

Mpaka leo unafananisha muziki na harusi?!baki huko huko kwa Alikiba[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] abaki huko huko kwa kweli.
 
Kwa ufupi alietakiwa kupanda ni Wizkid kabla ya kiba nthen afuate Kiba ila Salam akamletea fitna Kiba ndio sababu ya kiba ku delay maana program haikuwa hivo halafu pia Salam na meneja wa wizkid ni marafiki na meneja wa wizkid ndio meneja wa Diamond upande wa west africa kwahiyo salam ulihhusika kumfitini kiba.shame on you.
 
Kweli kabisa, hata darasani wanafunzi wanaweza wakaelewa 87% wengine wataelewa siku nyingine, au wasielewe kabisa, hawa ndo huwa tunawaita mbumbumbu.
 
kumbe mameneja wa diamond walikuwa wawili huko Backstage? Sasa kwanini ammind salam peke yake?
 
SK mendez huwa anasema hivi "Nisipokuwa upande wako ukinipenda we utakuwa malaika" Pengine jamaa anasura fulani hivi ya wizi wizi au fitna fitna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], anasema hata wakati anaonana na Diamond kwa mara ya Kwanza Diamond alionesha "kutokumpenda". (Kutokupendezwa nae)
Nashindwa kuelewa kwanini kiba amhofie SK kila akikutana naye?
Najiuliza tu jamaa anavi nasaba vya Scorpion au Nyoso?

Binafsi I can relate anachokisema, kwasababu nina experience nacho, mara nyingi sana nikikutana na watu katika kazi mbalimbali za kijamii huwa hawaoneshi kunipenda, (hii nimeiona sana nilikopita shuleni, vyuoni, makazini kote nilikopita) baadae mtu anakiri mwenyewe kuwa nilikuwa nakuonaje sijui kumbe ni mtu poa hivi. Cha ajabu mi huwa nawapenda watu at first place labda nije niwaone waajabu baadae. I hope kuna watu washawahi kuona hichi kitu pia.
 
SK mendez huwa anasema hivi "Nisipokuwa upande wako ukinipenda we utakuwa malaika" Pengine jamaa anasura fulani hivi ya wizi wizi au fitna fitna
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
, anasema hata wakati anaonana na Diamond kwa mara ya Kwanza Diamond alionesha "kutokumpenda". (Kutokupendezwa nae)
Nashindwa kuelewa kwanini kiba amhofie SK kila akikutana naye?
Najiuliza tu jamaa anavi nasaba vya Scorpion au Nyoso?

Binafsi I can relate anachokisema, kwasababu nina experience nacho, mara nyingi sana nikikutana na watu katika kazi mbalimbali za kijamii huwa hawaoneshi kunipenda, (hii nimeiona sana nilikopita shuleni, vyuoni, makazini kote nilikopita) baadae mtu anakiri mwenyewe kuwa nilikuwa nakuonaje sijui kumbe ni mtu poa hivi. Cha ajabu mi huwa nawapenda watu at first place labda nije niwaone waajabu baadae. I hope kuna watu washawahi kuona hichi kitu pia.
SK mendez huwa anasema hivi "Nisipokuwa upande wako ukinipenda we utakuwa malaika" Pengine jamaa anasura fulani hivi ya wizi wizi au fitna fitna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], anasema hata wakati anaonana na Diamond kwa mara ya Kwanza Diamond alionesha "kutokumpenda". (Kutokupendezwa nae)
Nashindwa kuelewa kwanini kiba amhofie SK kila akikutana naye?
Najiuliza tu jamaa anavi nasaba vya Scorpion au Nyoso?

Binafsi I can relate anachokisema, kwasababu nina experience nacho, mara nyingi sana nikikutana na watu katika kazi mbalimbali za kijamii huwa hawaoneshi kunipenda, (hii nimeiona sana nilikopita shuleni, vyuoni, makazini kote nilikopita) baadae mtu anakiri mwenyewe kuwa nilikuwa nakuonaje sijui kumbe ni mtu poa hivi. Cha ajabu mi huwa nawapenda watu at first place labda nije niwaone waajabu baadae. I hope kuna watu washawahi kuona hichi kitu pia.
Wao waliona Kiba angepata status maana kupishana na Chriss brown jukwaani ndio sababu hiyo tu ni wivu tu unawasumbua
 
Back
Top Bottom