Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Umesema kitu cha kweli kabisa
 
Nimesikiliza mahojiano ya meneja wa Kiba amplifier mida hii, anakanusha issue ya Kiba na Wizkid kuvutana kuhusu nani apande jukwaani, kitu ambacho kwa mtu yeyote anafikiria barabara atagundua kuwa ni propaganda tu, jamaa wameongea fleshi, wakapiga picha hadi Wizzy akamwambia Kiba haondoki hadi ashuhudie shoo yake. Sallam ni mchochezi na mtu anapenda bifu!
 
Kweli kabisa, hata darasani wanafunzi wanaweza wakaelewa 87% wengine wataelewa siku nyingine, au wasielewe kabisa, hawa ndo huwa tunawaita mbumbumbu.
Kale ka utafiti mi nafikir ni watu 6 kati ya 10 wanakichaa,kwahiyo usishangee hata humu jf wamoo,huo sio umbumbumbu ni ukichaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sasa nimeamini Alikiba ni mgonjwa
Na nina wasi wasi sana kama ugonjwa wake una tiba.. Maana kitu cha kwanza Kiba hajitambui yeye yupo level gani.. Angejitambua yeye ni wa level gani haya ya Mombasa yasingemkuta.
Mfano ni ukweli ulio wazi Wizkid yupo juu ya Kiba kulikuwa na haja gani ya kubisha aanze kuimba Wizkid??
West Africa yote Wanajua mwanamuziki mkali Tanzania na East Africa ni Diamond.. Full stop.
Shame on you Kiba..
This is a big lesson to you.
 

Kweli wewe hauna tofauti na uyo Kiba
 
Huyu kiba anazeeka vibaya aisee...inasikitisha sana,,anaongea kama mtoto wa nasare..
 
Reactions: irk
Kwa hiyo hapo ni chriss alikua anaenda na muda [emoji23][emoji23][emoji23],ila Kiba kapata kiki bana si kwa kuongelewa huko
 
Wakubwa wazima unatutuma Facebook! Kuwa serious bwana.
Tusijidanganye! Fb remains on top. If u really want to get the real picture, uv got 2 dig deep, no matter how. Exhaust all avenues, u may learn a lesson or 2. Mchagua jembe so mkulima. E&O.E
 
Nakupa pole ndugu ujinga janga la taifa...[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Reactions: irk
kwa nini show ilisimama kwa zaidi ya saa moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…