SK mendez huwa anasema hivi "Nisipokuwa upande wako ukinipenda we utakuwa malaika" Pengine jamaa anasura fulani hivi ya wizi wizi au fitna fitna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], anasema hata wakati anaonana na Diamond kwa mara ya Kwanza Diamond alionesha "kutokumpenda". (Kutokupendezwa nae)
Nashindwa kuelewa kwanini kiba amhofie SK kila akikutana naye?
Najiuliza tu jamaa anavi nasaba vya Scorpion au Nyoso?
Binafsi I can relate anachokisema, kwasababu nina experience nacho, mara nyingi sana nikikutana na watu katika kazi mbalimbali za kijamii huwa hawaoneshi kunipenda, (hii nimeiona sana nilikopita shuleni, vyuoni, makazini kote nilikopita) baadae mtu anakiri mwenyewe kuwa nilikuwa nakuonaje sijui kumbe ni mtu poa hivi. Cha ajabu mi huwa nawapenda watu at first place labda nije niwaone waajabu baadae. I hope kuna watu washawahi kuona hichi kitu pia.