Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Nilichojifunza hapa ni msanii akiwa na jina kubwa wengi wana relax wanajaa sifa ile njaa ya mafanikio wanakosa, lkn haitakiwi u relax hata kidogo, issue ile ilitakiwa king kiba afanye mambo asiseme yeye mkubwa kimuziki kuliko wiz! Mwisho wa siku yeye ndo ime m cost!
 
Nakupa pole ndugu ujinga janga la taifa...[emoji28] [emoji28] [emoji28]

Kuna beef kati ya AllyKiba na Sallam na siyo Diamond:

Nyie mburula mnaobisha bila kutafakari muwe na tabia ya kujisomea.
Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam.

1.Show ya Tigo Dar es salaam

mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya ile show ambayo Ali kama kawaida yake alikimbiza Sallam kesho yake alishinda huko Twitter akimkashifu na kumtukana Ali kuwa ni mchawi na muoga akitoa madai kuwa Ali na timu yake waliruka ukuta kuingia back stage na Ali akumsalimia msanii yoyote kule back stage japo walikuwepo wakina A.Y,Mwana da,Barnaba boy,Ben Pol,Ommy Dimpozi,Diamond na wasanii wengine Kibao.

Hapo ndio utashikwa na mshangao mambo ya Ali kuruka ukuta na kutomsalimia msanii yoyote ikiwa kweli au ni uongo yeye Sallam inamuhusu nini?!
Na mbona wasanii wengine au mameneja wao hawakuzungumzia ile kitu kwanini yeye imuume namna ile na kuropoka kwenye social network kwa kiasi kule??

2.Show ya ODM-Mombasa

Kukawa na Show nyingine Mombasa..Show ambayo haikuwa ya diamond lilikuwa ni Tamasha la Chama cha Siasa ODM cha bwana Raila Odinga na wasanii Kibao wa Mombasa walikuwepo na Diamond alienda pale kama msanii mualikwa.
Kumbuka kuwa Tamasha sio la Diamond ni la Chama cha ODM wenye tamasha Lao wakaamua kumualika na Ali kwa sababu Ali ndio msanii anaekubalika zaidi Kutoka afrika pale Mombasa.

Baada ya lile tamasha Sallam akulala alilalama usiku kucha kwanini hawakuambiwa kuwa Ali angekuwemo kwenye hilo tamasha..basi kama kawaida yake akamtukana Ali kumwita muoga mwenye kusafiria nyota ya Diamond na kusahau kabisa lile tamasha alikuwa la kwao wao bali ni Chama cha Siasa ODM na wote walikuwa waalikwa tu.

3.Coke Studio,Nairobi

Mwaka jana Ali alikuwa Coke studio na kina Neyo kule Kenya na Neyo alikuwa yupo tayari kufanya Solo project na Ali nje ya coke studio..Sallam akulala alifunga safari usiku usiku mpaka Nairobi akaenda kumtia maneno maneno Neyo na kuvuruga mipango yote ya Ali na Neyo...mwisho wa siku Neyo akafanya Solo project na Diamond badala na Ali Kiba kama Neyo mwenyewe alivyotaka.

4.Show ya Chriss Brown,Monbasa

Juzi tena show sio yake haimuhusu ila alishinda Back stage kutoa figisu figisu...Ali alitakiwa afanye live show..na kufunga vifaa vya live show ingechukua zaidi ya Dakika 30 pale jukwaani alafu Ali ndio apande na hilo alikuwa tatizo la Ali bali ni la waandaaji wa show na fundi mitambo walichelewa kufunga mitambo yao.

Wizkid afanyi live show Anafanya semi live show ambayo Inawekwa CD yenye beat tupu na yeye anaimba juu yake.
Ali akamshauri kwa kuwa kufunga mitambo itachukua muda mrefu basi ni bora Wizkid apande afanye semi live show kwa maana mpaka Wizkid akimaliza show yake wale mafundi watakuwa washamaliza kazi yao na Ali atapanda kupiga Live show sasa kilichotokea Sallam akamwambia Meneja wa Wizkid Mr.Sande kuwa asikubali hapo ndio ulipotokea mzozo kati ya Ali na Team ya wizkid wakiongozwa na mfitini Sallam.

Mwisho wa siku walipoteza zaidi ya Dakika 40 yote kutaka kumkomoa Ali kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa.

Mpaka Ali alipopanda muda ulikuwa ushapita na kupelekea kuzimiwa Mic na team ya Chris Brown kwa sababu ndege ulikuwa inawasubiri Airport kuwarudisha marekani.

Mwisho wa siku hakuna Bifu kati ya Ali na Naseeb ni washkaji ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam.
 
Mimi sio mshabiki wa muziki yao sina timu lakini madai anayolalamika Kiba kuhusu Diamond ni ya kitoto sana anatia aibu kibaaya zaidi hataki kubadilika.
Salam kazi yake inamruhusu kufika back stage,tuzo hazinunuliwi back stage

Mkuu uwe una pitia na hizi kukonecti Dots zako.

Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam. Kuna beef kati ya AllyKiba na Sallam na siyo Diamond.

1.Show ya Tigo Dar es salaam

mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya ile show ambayo Ali kama kawaida yake alikimbiza Sallam kesho yake alishinda huko Twitter akimkashifu na kumtukana Ali kuwa ni mchawi na muoga akitoa madai kuwa Ali na timu yake waliruka ukuta kuingia back stage na Ali akumsalimia msanii yoyote kule back stage japo walikuwepo wakina A.Y,Mwana da,Barnaba boy,Ben Pol,Ommy Dimpozi,Diamond na wasanii wengine Kibao.

Hapo ndio utashikwa na mshangao mambo ya Ali kuruka ukuta na kutomsalimia msanii yoyote ikiwa kweli au ni uongo yeye Sallam inamuhusu nini?!
Na mbona wasanii wengine au mameneja wao hawakuzungumzia ile kitu kwanini yeye imuume namna ile na kuropoka kwenye social network kwa kiasi kule??

2.Show ya ODM-Mombasa

Kukawa na Show nyingine Mombasa..Show ambayo haikuwa ya diamond lilikuwa ni Tamasha la Chama cha Siasa ODM cha bwana Raila Odinga na wasanii Kibao wa Mombasa walikuwepo na Diamond alienda pale kama msanii mualikwa.
Kumbuka kuwa Tamasha sio la Diamond ni la Chama cha ODM wenye tamasha Lao wakaamua kumualika na Ali kwa sababu Ali ndio msanii anaekubalika zaidi Kutoka afrika pale Mombasa.

Baada ya lile tamasha Sallam akulala alilalama usiku kucha kwanini hawakuambiwa kuwa Ali angekuwemo kwenye hilo tamasha..basi kama kawaida yake akamtukana Ali kumwita muoga mwenye kusafiria nyota ya Diamond na kusahau kabisa lile tamasha alikuwa la kwao wao bali ni Chama cha Siasa ODM na wote walikuwa waalikwa tu.

3.Coke Studio,Nairobi

Mwaka jana Ali alikuwa Coke studio na kina Neyo kule Kenya na Neyo alikuwa yupo tayari kufanya Solo project na Ali nje ya coke studio..Sallam akulala alifunga safari usiku usiku mpaka Nairobi akaenda kumtia maneno maneno Neyo na kuvuruga mipango yote ya Ali na Neyo...mwisho wa siku Neyo akafanya Solo project na Diamond badala na Ali Kiba kama Neyo mwenyewe alivyotaka.

4.Show ya Chriss Brown,Monbasa

Juzi tena show sio yake haimuhusu ila alishinda Back stage kutoa figisu figisu...Ali alitakiwa afanye live show..na kufunga vifaa vya live show ingechukua zaidi ya Dakika 30 pale jukwaani alafu Ali ndio apande na hilo alikuwa tatizo la Ali bali ni la waandaaji wa show na fundi mitambo walichelewa kufunga mitambo yao.

Wizkid afanyi live show Anafanya semi live show ambayo Inawekwa CD yenye beat tupu na yeye anaimba juu yake.
Ali akamshauri kwa kuwa kufunga mitambo itachukua muda mrefu basi ni bora Wizkid apande afanye semi live show kwa maana mpaka Wizkid akimaliza show yake wale mafundi watakuwa washamaliza kazi yao na Ali atapanda kupiga Live show sasa kilichotokea Sallam akamwambia Meneja wa Wizkid Mr.Sande kuwa asikubali hapo ndio ulipotokea mzozo kati ya Ali na Team ya wizkid wakiongozwa na mfitini Sallam.

Mwisho wa siku walipoteza zaidi ya Dakika 40 yote kutaka kumkomoa Ali kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa.

Mpaka Ali alipopanda muda ulikuwa ushapita na kupelekea kuzimiwa Mic na team ya Chris Brown kwa sababu ndege ulikuwa inawasubiri Airport kuwarudisha marekani.

Mwisho wa siku hakuna Bifu kati ya Ali na Naseeb ni washkaji ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam.
 
Ushabiki utakutoa roho[emoji28][emoji28]yaan hapo najua roho inakuuma sana haahaha meza panadol ulale fundi mitambo ameshawanyoosha nyie bushmen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu connect hizi Dots. Kuna beef kali kati ya AllyKiba na Sallam na siyo Diamond!!!

Hyo umetengeneza wewe ttzo mna judge kabl y kufikiria na kutafakar,alikiba awe na beef n salaam kisa nn?wote wawil wako kwny industry moja ushindan n lazm,shida yenu nyie team kiba mnapend kulalamika sana na kutafut mchawi,fanyen kazi mbon zamn hay mambo hayakuwepo?baad y alikiba kurud kaanz lawama,ila yote hyo n umaskin wa akil wa alikiba na nyie wafuasi wake wote!

Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
 
Mpinzani wake ni nani?
 
Acha uongo wewe kwa taarifa yako Wizkid show zake zote anafanya semi live hata show ya fiesta mwanza alifanya hivyo.
Hivi unadhani mr Sande ni mjinga mjinga kama walivyo mamenager wa kiba wanaomuogopa msanii wao.
Ujinga alifanya kiba mwenyewe mnataka kumsafisha
Huyu huyu kiba aliponda collabo ya diamond na davido my number one remix akasema yeye ni msanii mkubwa hawezi fanya collabo na davido backstage kama diamond
Apo napo sallam alimtuma kiba aseme?
Huyu huyu kiba kwa millard ayo alisema diamond ananunua tuzo hii nayo sallam alimtuma alikiba akamseme diamond?
Acheni kumsafisha alikiba kwa kumchafua sallam, mwambieni ukweli aache nyodo
 
sallam anasema alikua na mr sande na anasema mr sande ndiyo alitoa order jamaa azimiwe mic.
connect dot

Duh, kweli tunaweza kuwa na mwalimu mmoja na somo moja lakini siku ya Mtihani kunakuwa na mtu wa kwanza na wa mwisho
Sasa mkuu video iko hapo juu, hiyo sentesi ya kusema Mr. Sande ndio aliyetoa order kuwa jamaa azime mic wewe umeitoa kwenye interview gani ya Sallam?
 
Huyu jamaa hapo juu muongo sana eti coce studio sallam alienda kufanya figisu neyo asitoe preject na kiba, wakati chibu na neyo walikutana mtv kwanza ndo project zote zikaanzia hapo, Neyo amjulie wapi kiba kwa mfano?
 
Hivi ni nani aliyethibitisha kuwa Ally alikuwa akilazimisha Wizkid atangulie kwa madai ya ukubwa wake kimuziki?
Tuwekane sawa hapa kuna kitu mnatuficha.
 
Mkuu hiyo kauli ya kudai ni mkubwa kuliko Wizkid naisikia sikia tuu ina ukweli lakini ama ndo kamekuwa kamsemo ka kujiosha watu fulani?
 
Hivi ni nani aliyethibitisha kuwa Ally alikuwa akilazimisha Wizkid atangulie kwa madai ya ukubwa wake kimuziki?
Tuwekane sawa hapa kuna kitu mnatuficha.
Umwoni anavyo jiuma uma wakati wa kuojiwa arafu waandaaji wasingekubali MTU kumzimia mwanamusiki ili kuaribu tamasha lao huyo kazimiwa mic kwa sababu za msingi ilo tamasha akuiamdaa slm
 
Bado hisia hulisukuma hili jambo ila ni kweli Ally alichelewesha show kwa kisa cha kudai ukubwa? Tuwekane sawa hapa ndo tuendelee na mjadala
 
Mimi sina timu ndio maana natoa mawazo yangu kwa uhuru lakini uliyoandika yote hayo ni dhahiri kuwa uko timu Kiba.

Ally Kiba ana management lakini katika hayo yote unayozungumza hata siku moja Management ya Kiba haijawahi kuzungumza kila siku anayozungumza ni Ally Kiba.Kama una amini kuwa Salaam ndio alifanya Neyo na Kiba wasifanye kolabo ndugu yangu una matatizo sana.Ally Kiba ana matatizo hajua kuongea kwenye media na kibaya zaidi hata management yake imelala usingizi.Pitia interview zote za Ally Kiba utagundua ila wewe huwezi kugundua kabisa
 
Bado hisia hulisukuma hili jambo ila ni kweli Ally alichelewesha show kwa kisa cha kudai ukubwa? Tuwekane sawa hapa ndo tuendelee na mjadala
Ndo manake iwe ni kwa sababu yoyote ni lazima muda uzingatiwe kwenye matamasha kama hayo yenye kuusisha wasanihi wakubwa wa kimarekani kwa sababu wao wanafuata mikataba hiyo kama wangemwacha kiba jukwaani wakati muda wa mmarekani kuingia ushafika angeweza kugoma kutumbuiza na hela yake ingebidi alipwe kama kawa
 
Swali kubwa ni ukweli ya kauli ya "Ukubwa wa Ally kwa Wizkid" kauli hiyo ni kweli ilitoka? najua Ally amepuyanga mengi lakini kutoa kauli kama hiyo na kuharibu shoo kwa kisa hicho inahitaji Umbumbumbu wa hali ya juu ndiyo maana napata walakini wa kauli hiyo kutoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…