BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Mzee wa backstage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ukubwa wa bichwa kamzidiAlikiba ni mkubwa kuliko wizkid kiumri? Au ukubwa gani?
Na kweli jamaa ana bonge la bichwa cyo kitotoLabda ukubwa wa bichwa kamzidi
Nakupa pole ndugu ujinga janga la taifa...[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mimi sio mshabiki wa muziki yao sina timu lakini madai anayolalamika Kiba kuhusu Diamond ni ya kitoto sana anatia aibu kibaaya zaidi hataki kubadilika.
Salam kazi yake inamruhusu kufika back stage,tuzo hazinunuliwi back stage
Ushabiki utakutoa roho[emoji28][emoji28]yaan hapo najua roho inakuuma sana haahaha meza panadol ulale fundi mitambo ameshawanyoosha nyie bushmen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hyo umetengeneza wewe ttzo mna judge kabl y kufikiria na kutafakar,alikiba awe na beef n salaam kisa nn?wote wawil wako kwny industry moja ushindan n lazm,shida yenu nyie team kiba mnapend kulalamika sana na kutafut mchawi,fanyen kazi mbon zamn hay mambo hayakuwepo?baad y alikiba kurud kaanz lawama,ila yote hyo n umaskin wa akil wa alikiba na nyie wafuasi wake wote!Mkuu connect hizi Dots. Kuna beef kali kati ya AllyKiba na Sallam na siyo Diamond!!!
Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam.
1.Show ya Tigo Dar es salaam
mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya ile show ambayo Ali kama kawaida yake alikimbiza Sallam kesho yake alishinda huko Twitter akimkashifu na kumtukana Ali kuwa ni mchawi na muoga akitoa madai kuwa Ali na timu yake waliruka ukuta kuingia back stage na Ali akumsalimia msanii yoyote kule back stage japo walikuwepo wakina A.Y,Mwana da,Barnaba boy,Ben Pol,Ommy Dimpozi,Diamond na wasanii wengine Kibao.
Hapo ndio utashikwa na mshangao mambo ya Ali kuruka ukuta na kutomsalimia msanii yoyote ikiwa kweli au ni uongo yeye Sallam inamuhusu nini?!
Na mbona wasanii wengine au mameneja wao hawakuzungumzia ile kitu kwanini yeye imuume namna ile na kuropoka kwenye social network kwa kiasi kule??
2.Show ya ODM-Mombasa
Kukawa na Show nyingine Mombasa..Show ambayo haikuwa ya diamond lilikuwa ni Tamasha la Chama cha Siasa ODM cha bwana Raila Odinga na wasanii Kibao wa Mombasa walikuwepo na Diamond alienda pale kama msanii mualikwa.
Kumbuka kuwa Tamasha sio la Diamond ni la Chama cha ODM wenye tamasha Lao wakaamua kumualika na Ali kwa sababu Ali ndio msanii anaekubalika zaidi Kutoka afrika pale Mombasa.
Baada ya lile tamasha Sallam akulala alilalama usiku kucha kwanini hawakuambiwa kuwa Ali angekuwemo kwenye hilo tamasha..basi kama kawaida yake akamtukana Ali kumwita muoga mwenye kusafiria nyota ya Diamond na kusahau kabisa lile tamasha alikuwa la kwao wao bali ni Chama cha Siasa ODM na wote walikuwa waalikwa tu.
3.Coke Studio,Nairobi
Mwaka jana Ali alikuwa Coke studio na kina Neyo kule Kenya na Neyo alikuwa yupo tayari kufanya Solo project na Ali nje ya coke studio..Sallam akulala alifunga safari usiku usiku mpaka Nairobi akaenda kumtia maneno maneno Neyo na kuvuruga mipango yote ya Ali na Neyo...mwisho wa siku Neyo akafanya Solo project na Diamond badala na Ali Kiba kama Neyo mwenyewe alivyotaka.
4.Show ya Chriss Brown,Monbasa
Juzi tena show sio yake haimuhusu ila alishinda Back stage kutoa figisu figisu...Ali alitakiwa afanye live show..na kufunga vifaa vya live show ingechukua zaidi ya Dakika 30 pale jukwaani alafu Ali ndio apande na hilo alikuwa tatizo la Ali bali ni la waandaaji wa show na fundi mitambo walichelewa kufunga mitambo yao.
Wizkid afanyi live show Anafanya semi live show ambayo Inawekwa CD yenye beat tupu na yeye anaimba juu yake.
Ali akamshauri kwa kuwa kufunga mitambo itachukua muda mrefu basi ni bora Wizkid apande afanye semi live show kwa maana mpaka Wizkid akimaliza show yake wale mafundi watakuwa washamaliza kazi yao na Ali atapanda kupiga Live show sasa kilichotokea Sallam akamwambia Meneja wa Wizkid Mr.Sande kuwa asikubali hapo ndio ulipotokea mzozo kati ya Ali na Team ya wizkid wakiongozwa na mfitini Sallam.
Mwisho wa siku walipoteza zaidi ya Dakika 40 yote kutaka kumkomoa Ali kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa.
Mpaka Ali alipopanda muda ulikuwa ushapita na kupelekea kuzimiwa Mic na team ya Chris Brown kwa sababu ndege ulikuwa inawasubiri Airport kuwarudisha marekani.
Mwisho wa siku hakuna Bifu kati ya Ali na Naseeb ni washkaji ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam.
Mpinzani wake ni nani?Sikiliza video usiwe unakurupuka kuandika bila kutafakari kwanza. Yy mwenyewe kasema kapanda mara 2 (Wizkid na Chris Brown) Backstage ila siyo on stage!! Huenda atakapo toa single yake atapanda on stage.
Issue hapa siyo kuwa either on stage or Backsatge. Issue hapa ni kwann anapenda sana kupanda Backstage hasa wakati mpinzani wake anapokuwa anaperform make amewahi kufanya tena Kenya!! Rushwa siyo lazima ushiriki on stage au kwa kuclick kitu. Mazingira yake yanatia shaka. Kama ni business issue huwezi fanyia mazingira hayo.
Acha uongo wewe kwa taarifa yako Wizkid show zake zote anafanya semi live hata show ya fiesta mwanza alifanya hivyo.Mkuu connect hizi Dots. Kuna beef kali kati ya AllyKiba na Sallam na siyo Diamond!!!
Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam.
1.Show ya Tigo Dar es salaam
mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya ile show ambayo Ali kama kawaida yake alikimbiza Sallam kesho yake alishinda huko Twitter akimkashifu na kumtukana Ali kuwa ni mchawi na muoga akitoa madai kuwa Ali na timu yake waliruka ukuta kuingia back stage na Ali akumsalimia msanii yoyote kule back stage japo walikuwepo wakina A.Y,Mwana da,Barnaba boy,Ben Pol,Ommy Dimpozi,Diamond na wasanii wengine Kibao.
Hapo ndio utashikwa na mshangao mambo ya Ali kuruka ukuta na kutomsalimia msanii yoyote ikiwa kweli au ni uongo yeye Sallam inamuhusu nini?!
Na mbona wasanii wengine au mameneja wao hawakuzungumzia ile kitu kwanini yeye imuume namna ile na kuropoka kwenye social network kwa kiasi kule??
2.Show ya ODM-Mombasa
Kukawa na Show nyingine Mombasa..Show ambayo haikuwa ya diamond lilikuwa ni Tamasha la Chama cha Siasa ODM cha bwana Raila Odinga na wasanii Kibao wa Mombasa walikuwepo na Diamond alienda pale kama msanii mualikwa.
Kumbuka kuwa Tamasha sio la Diamond ni la Chama cha ODM wenye tamasha Lao wakaamua kumualika na Ali kwa sababu Ali ndio msanii anaekubalika zaidi Kutoka afrika pale Mombasa.
Baada ya lile tamasha Sallam akulala alilalama usiku kucha kwanini hawakuambiwa kuwa Ali angekuwemo kwenye hilo tamasha..basi kama kawaida yake akamtukana Ali kumwita muoga mwenye kusafiria nyota ya Diamond na kusahau kabisa lile tamasha alikuwa la kwao wao bali ni Chama cha Siasa ODM na wote walikuwa waalikwa tu.
3.Coke Studio,Nairobi
Mwaka jana Ali alikuwa Coke studio na kina Neyo kule Kenya na Neyo alikuwa yupo tayari kufanya Solo project na Ali nje ya coke studio..Sallam akulala alifunga safari usiku usiku mpaka Nairobi akaenda kumtia maneno maneno Neyo na kuvuruga mipango yote ya Ali na Neyo...mwisho wa siku Neyo akafanya Solo project na Diamond badala na Ali Kiba kama Neyo mwenyewe alivyotaka.
4.Show ya Chriss Brown,Monbasa
Juzi tena show sio yake haimuhusu ila alishinda Back stage kutoa figisu figisu...Ali alitakiwa afanye live show..na kufunga vifaa vya live show ingechukua zaidi ya Dakika 30 pale jukwaani alafu Ali ndio apande na hilo alikuwa tatizo la Ali bali ni la waandaaji wa show na fundi mitambo walichelewa kufunga mitambo yao.
Wizkid afanyi live show Anafanya semi live show ambayo Inawekwa CD yenye beat tupu na yeye anaimba juu yake.
Ali akamshauri kwa kuwa kufunga mitambo itachukua muda mrefu basi ni bora Wizkid apande afanye semi live show kwa maana mpaka Wizkid akimaliza show yake wale mafundi watakuwa washamaliza kazi yao na Ali atapanda kupiga Live show sasa kilichotokea Sallam akamwambia Meneja wa Wizkid Mr.Sande kuwa asikubali hapo ndio ulipotokea mzozo kati ya Ali na Team ya wizkid wakiongozwa na mfitini Sallam.
Mwisho wa siku walipoteza zaidi ya Dakika 40 yote kutaka kumkomoa Ali kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa.
Mpaka Ali alipopanda muda ulikuwa ushapita na kupelekea kuzimiwa Mic na team ya Chris Brown kwa sababu ndege ulikuwa inawasubiri Airport kuwarudisha marekani.
Mwisho wa siku hakuna Bifu kati ya Ali na Naseeb ni washkaji ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam.
sallam anasema alikua na mr sande na anasema mr sande ndiyo alitoa order jamaa azimiwe mic.
connect dot
Sema hapo kiba alitumia akili za pro lipumba pia anaojiwa kajikunyata kama siyo kidume anatakiwa kujiamini kama king majuto anapoigiza akiendelea na mambo ya kipuuzi asishangae kupotea kimziki wakenya wametoa hela zao wewe unaanza malumbano ya nani apandekwanza jukwaani kwani ukitangulia upati hela yako Leo nimekutoa thamani sana
Nilichojifunza hapa ni msanii akiwa na jina kubwa wengi wana relax wanajaa sifa ile njaa ya mafanikio wanakosa, lkn haitakiwi u relax hata kidogo, issue ile ilitakiwa king kiba afanye mambo asiseme yeye mkubwa kimuziki kuliko wiz! Mwisho wa siku yeye ndo ime m cost!
Umwoni anavyo jiuma uma wakati wa kuojiwa arafu waandaaji wasingekubali MTU kumzimia mwanamusiki ili kuaribu tamasha lao huyo kazimiwa mic kwa sababu za msingi ilo tamasha akuiamdaa slmHivi ni nani aliyethibitisha kuwa Ally alikuwa akilazimisha Wizkid atangulie kwa madai ya ukubwa wake kimuziki?
Tuwekane sawa hapa kuna kitu mnatuficha.
Umwoni anavyo jiuma uma wakati wa kuojiwa arafu waandaaji wasingekubali MTU kumzimia mwanamusiki ili kuaribu tamasha lao huyo kazimiwa mic kwa sababu za msingi ilo tamasha akuiamdaa slm
Mkuu uwe una pitia na hizi kukonecti Dots zako.
Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam. Kuna beef kati ya AllyKiba na Sallam na siyo Diamond.
1.Show ya Tigo Dar es salaam
mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya ile show ambayo Ali kama kawaida yake alikimbiza Sallam kesho yake alishinda huko Twitter akimkashifu na kumtukana Ali kuwa ni mchawi na muoga akitoa madai kuwa Ali na timu yake waliruka ukuta kuingia back stage na Ali akumsalimia msanii yoyote kule back stage japo walikuwepo wakina A.Y,Mwana da,Barnaba boy,Ben Pol,Ommy Dimpozi,Diamond na wasanii wengine Kibao.
Hapo ndio utashikwa na mshangao mambo ya Ali kuruka ukuta na kutomsalimia msanii yoyote ikiwa kweli au ni uongo yeye Sallam inamuhusu nini?!
Na mbona wasanii wengine au mameneja wao hawakuzungumzia ile kitu kwanini yeye imuume namna ile na kuropoka kwenye social network kwa kiasi kule??
2.Show ya ODM-Mombasa
Kukawa na Show nyingine Mombasa..Show ambayo haikuwa ya diamond lilikuwa ni Tamasha la Chama cha Siasa ODM cha bwana Raila Odinga na wasanii Kibao wa Mombasa walikuwepo na Diamond alienda pale kama msanii mualikwa.
Kumbuka kuwa Tamasha sio la Diamond ni la Chama cha ODM wenye tamasha Lao wakaamua kumualika na Ali kwa sababu Ali ndio msanii anaekubalika zaidi Kutoka afrika pale Mombasa.
Baada ya lile tamasha Sallam akulala alilalama usiku kucha kwanini hawakuambiwa kuwa Ali angekuwemo kwenye hilo tamasha..basi kama kawaida yake akamtukana Ali kumwita muoga mwenye kusafiria nyota ya Diamond na kusahau kabisa lile tamasha alikuwa la kwao wao bali ni Chama cha Siasa ODM na wote walikuwa waalikwa tu.
3.Coke Studio,Nairobi
Mwaka jana Ali alikuwa Coke studio na kina Neyo kule Kenya na Neyo alikuwa yupo tayari kufanya Solo project na Ali nje ya coke studio..Sallam akulala alifunga safari usiku usiku mpaka Nairobi akaenda kumtia maneno maneno Neyo na kuvuruga mipango yote ya Ali na Neyo...mwisho wa siku Neyo akafanya Solo project na Diamond badala na Ali Kiba kama Neyo mwenyewe alivyotaka.
4.Show ya Chriss Brown,Monbasa
Juzi tena show sio yake haimuhusu ila alishinda Back stage kutoa figisu figisu...Ali alitakiwa afanye live show..na kufunga vifaa vya live show ingechukua zaidi ya Dakika 30 pale jukwaani alafu Ali ndio apande na hilo alikuwa tatizo la Ali bali ni la waandaaji wa show na fundi mitambo walichelewa kufunga mitambo yao.
Wizkid afanyi live show Anafanya semi live show ambayo Inawekwa CD yenye beat tupu na yeye anaimba juu yake.
Ali akamshauri kwa kuwa kufunga mitambo itachukua muda mrefu basi ni bora Wizkid apande afanye semi live show kwa maana mpaka Wizkid akimaliza show yake wale mafundi watakuwa washamaliza kazi yao na Ali atapanda kupiga Live show sasa kilichotokea Sallam akamwambia Meneja wa Wizkid Mr.Sande kuwa asikubali hapo ndio ulipotokea mzozo kati ya Ali na Team ya wizkid wakiongozwa na mfitini Sallam.
Mwisho wa siku walipoteza zaidi ya Dakika 40 yote kutaka kumkomoa Ali kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa.
Mpaka Ali alipopanda muda ulikuwa ushapita na kupelekea kuzimiwa Mic na team ya Chris Brown kwa sababu ndege ulikuwa inawasubiri Airport kuwarudisha marekani.
Mwisho wa siku hakuna Bifu kati ya Ali na Naseeb ni washkaji ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam.
Ndo manake iwe ni kwa sababu yoyote ni lazima muda uzingatiwe kwenye matamasha kama hayo yenye kuusisha wasanihi wakubwa wa kimarekani kwa sababu wao wanafuata mikataba hiyo kama wangemwacha kiba jukwaani wakati muda wa mmarekani kuingia ushafika angeweza kugoma kutumbuiza na hela yake ingebidi alipwe kama kawaBado hisia hulisukuma hili jambo ila ni kweli Ally alichelewesha show kwa kisa cha kudai ukubwa? Tuwekane sawa hapa ndo tuendelee na mjadala
Swali kubwa ni ukweli ya kauli ya "Ukubwa wa Ally kwa Wizkid" kauli hiyo ni kweli ilitoka? najua Ally amepuyanga mengi lakini kutoa kauli kama hiyo na kuharibu shoo kwa kisa hicho inahitaji Umbumbumbu wa hali ya juu ndiyo maana napata walakini wa kauli hiyo kutoka.Ndo manake iwe ni kwa sababu yoyote ni lazima muda uzingatiwe kwenye matamasha kama hayo yenye kuusisha wasanihi wakubwa wa kimarekani kwa sababu wao wanafuata mikataba hiyo kama wangemwacha kiba jukwaani wakati muda wa mmarekani kuingia ushafika angeweza kugoma kutumbuiza na hela yake ingebidi alipwe kama kawa