Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Wangemshusha na mateke kabisaaaa... I hate biff za kipuuzi na matimu yasiyo na tija. Hivi menejiment ya kiba ni akina nani??? Na wanajua kuwa wanampoteza huyu dogo??? DAFAK
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umejua kunichekesha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sallam yupo vizuri kichwani NA Inaonekana naenda vidato..Team Kina hapo Mmenoa.Halafu Mbona Kina hapendi Diamond ivyoo...Anajikosesha Macconection ya Maana kwa Chuki Binafsi.Kisa alianza Yeye Mziki Tz Alikuwa anatamba Yeye Enzi hizo ana ndoto awe Yeye tu.Kiba Hata Mimi nilikuwa upande wako but Man you are hater and full if Jealous
 
Kaimba na R.kelly kipindi wizkid yupo nasarry uko ogjuoleba[emoji1] [emoji1]
Sikia wewe.Pale alipoimba NA R.Kelly Sio Ndo ukuubwa..Walichaguliwa waimbaji kadhaa Africa bila kujari nini wala nini.hapo Zamani Kiba Ndo Alikuwa anavuma NA alianzisha yy ule wimbo.Hatukatai Kiba ana sauti Taaamu sana NA hapo Kale wengi wetu tulikuwa tunamkubaligii but As days goes On Akazaliwa Chatuu mwingine mwenye kujua zaidi .Watz wanaitaji nini akausoma mchezo akaja NA mbinu yake Akampindua Kiba akiwa amesimama Kiba Mpaka Leo Haamini Kimbunga kilichomkutaa .Chuki Uzandiki Kila uchao.Mara aseme ananunua mataji..Haya akajaga kushindaga Kirimanjaro Awads 5 Yeye Kimyaa.Jamani Kiba Sisi Watanzania Sio kwamba tuna kuchukua Hapana pengine niseme both you and Nasib you are most Loved by us.Lakini unaanza kujitenga NA Mioyo ya wengi Baada ya kuanzisha Chuki binafsi Kazi zako zinaonekana za Nasib zinajulikana Washabiki tunaona..Hata ukodishe wahuni wa Buguruni nzima wamzomee Kwenye Steji Nyota ya Diamond itaendelea kuwaka Jana Leo NA kesho kwanza Ni mbunifu..Ana Upendo NA wewe Ni Hapa majuzi katoka kukuombea Kura angeweza kunyamaza tu but Alithubutu kwani Hata yet ana fan base kuubwa..But wewe chuki yako kwake IPO wazi simply because Zamani ulikuwa unawika wewe why aje ghafra unaanza kutafuta mchawi.Acha masengenyo Badilika NA uwe mbunifu.
 
Ivi wewe umeiaikiliza vizuri Iyo video NA ushahidi.Eti Alikuwa nyuma NA Backstage.. unaambiwaa Sio Backstage as Backstage Alikuwa mbali ya upo.akiwa NA meneja wa Wizkid wakipanga mipango After all Mbona mameneja wengine kama wa Sautsoul nao walikuwepo??au unapenda tukugeukie NA wewe..Kaa mbali Na Baba Tee.
 
Pleaseeeee!!!!! Acha kuongopa alifanya collabo .Jamani Acha kimkuza ..Ni Kweli wimbo ule NA R Kelly aliimba.but was kama wa kuchangiaa ishu.Fulani NA alialika wasanii wengi toka Africa.Sijui utanielewa
 
Huyu jamaa naonq hata hyo video ya sallam hajaicheki....
Yaani ujinga Ni mzigoo.Nae ameona Achangie tu kwa mapenzi.bila kujua anaongea nini Maana Boss wake amezidiwa.
 
Pleaseeeee!!!!! Acha kuongopa alifanya collabo .Jamani Acha kimkuza ..Ni Kweli wimbo ule NA R Kelly aliimba.but was kama wa kuchangiaa ishu.Fulani NA alialika wasanii wengi toka Africa.Sijui utanielewa
nimekuelewa mkuu ! ahsante kwa kuniweka sawa!
Nilichotaka kusema ni alikiba wa kipindi kile alikua bize kwenye muziki kuliko hivi sasa naona kama drama zimekuwa nyingi sana!!
 
Acha utoto ww!! Unigeukie ww ni mke wangu? Ma Manager wa Sautsol na Navy Kenzo walikwambia walipanda Backstage?
 
Acha utoto ww!! Unigeukie ww ni mke wangu? Ma Manager wa Sautsol na Navy Kenzo walikwambia walipanda Backstage?
mashabiki wa Alikiba bwana................hembu acheni kumpoteza msanii wenu watanzania bado tunamuhitaji lakini asijifananishe na watu kama diamond na wizikid..........
 
Pleaseeeee!!!!! Acha kuongopa alifanya collabo .Jamani Acha kimkuza ..Ni Kweli wimbo ule NA R Kelly aliimba.but was kama wa kuchangiaa ishu.Fulani NA alialika wasanii wengi toka Africa.Sijui utanielewa
Ukiwa mshabiki wa kiba lazma uwe na dawa z presha mana hatabiriki.hiyo collabo hata amani wa kenya na nevykenzo wa uganda walikuepo.....wakati hawakua n majina makubwa ni bahati tu iliwapitia

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa kariakoo lazma awe n tabia hizo...hushangai mpka leo anaishi kwao kma hela kapata sana maendeleo hayaonekani kazi kumsema mwanaume mwenzake.iko siku atasema anamimba ya chibude[emoji3] [emoji3]

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mwanaume mzima anamuogopa Sallam [emoji2][emoji2][emoji2]!yaani akimuona Sallam hana amani kabisaaa!roho inamruka sana!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mwanaume mzima anamuogopa Sallam [emoji2][emoji2][emoji2]!yaani akimuona Sallam hana amani kabisaaa!roho inamruka sana!!
Huyo kashazoea fitina z kiswahili instead afanye maendeleo yeye anafanya fitna...ndio mana mpka leo anaisha kwa wazazi sijui hela anapeleka wapi hatuoni hata maendeleo yke

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Sallam yupo makini sana, anaangalia opportunity, ndio maana Mond anatoboa aisee, tujiandae kusikia collabo Mond/Wizkid soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…