Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Wangemshusha na mateke kabisaaaa... I hate biff za kipuuzi na matimu yasiyo na tija. Hivi menejiment ya kiba ni akina nani??? Na wanajua kuwa wanampoteza huyu dogo??? DAFAK
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umejua kunichekesha
 
Kwa kuwa mitandao imeripot ndo unakuwa ukweli? kwani haiwezekani aliyezusha kuwa chanzo cha habari hiyo na mitandao/blogs kuiandika? Bado ni ngumu kuamini kuwa Tanzania tuna mwanamuziki aliyefikia kiwango hicho cha uzuzu eti kumzidi Wizkid kimuziki labda Wizkid wa Matarawe huko Songea ama wa Mombasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sallam yupo vizuri kichwani NA Inaonekana naenda vidato..Team Kina hapo Mmenoa.Halafu Mbona Kina hapendi Diamond ivyoo...Anajikosesha Macconection ya Maana kwa Chuki Binafsi.Kisa alianza Yeye Mziki Tz Alikuwa anatamba Yeye Enzi hizo ana ndoto awe Yeye tu.Kiba Hata Mimi nilikuwa upande wako but Man you are hater and full if Jealous
 
Kaimba na R.kelly kipindi wizkid yupo nasarry uko ogjuoleba[emoji1] [emoji1]
Sikia wewe.Pale alipoimba NA R.Kelly Sio Ndo ukuubwa..Walichaguliwa waimbaji kadhaa Africa bila kujari nini wala nini.hapo Zamani Kiba Ndo Alikuwa anavuma NA alianzisha yy ule wimbo.Hatukatai Kiba ana sauti Taaamu sana NA hapo Kale wengi wetu tulikuwa tunamkubaligii but As days goes On Akazaliwa Chatuu mwingine mwenye kujua zaidi .Watz wanaitaji nini akausoma mchezo akaja NA mbinu yake Akampindua Kiba akiwa amesimama Kiba Mpaka Leo Haamini Kimbunga kilichomkutaa .Chuki Uzandiki Kila uchao.Mara aseme ananunua mataji..Haya akajaga kushindaga Kirimanjaro Awads 5 Yeye Kimyaa.Jamani Kiba Sisi Watanzania Sio kwamba tuna kuchukua Hapana pengine niseme both you and Nasib you are most Loved by us.Lakini unaanza kujitenga NA Mioyo ya wengi Baada ya kuanzisha Chuki binafsi Kazi zako zinaonekana za Nasib zinajulikana Washabiki tunaona..Hata ukodishe wahuni wa Buguruni nzima wamzomee Kwenye Steji Nyota ya Diamond itaendelea kuwaka Jana Leo NA kesho kwanza Ni mbunifu..Ana Upendo NA wewe Ni Hapa majuzi katoka kukuombea Kura angeweza kunyamaza tu but Alithubutu kwani Hata yet ana fan base kuubwa..But wewe chuki yako kwake IPO wazi simply because Zamani ulikuwa unawika wewe why aje ghafra unaanza kutafuta mchawi.Acha masengenyo Badilika NA uwe mbunifu.
 
Issue siyo kuwa pale. Ila ni kwanini alikuwa BACK STAGE (Nyuma ya jukwaa)? Wakati sehemu hii ni maalum kwa maDJ na Mafundi miambo tu. Je ma manager wa SAUTISOL walikuwa Backstage?

Kama kahusika Mungu amulaani kabisa!! Kwani hajamudhalarisha Ally Kiba pekee,bali pia Tanzania kwa ujumla.
Ivi wewe umeiaikiliza vizuri Iyo video NA ushahidi.Eti Alikuwa nyuma NA Backstage.. unaambiwaa Sio Backstage as Backstage Alikuwa mbali ya upo.akiwa NA meneja wa Wizkid wakipanga mipango After all Mbona mameneja wengine kama wa Sautsoul nao walikuwepo??au unapenda tukugeukie NA wewe..Kaa mbali Na Baba Tee.
 
Nafikiri timu zitampoteza kiba! ajifunze kwa mwenzie mond kipindi kile zile timu wema,timu joketi,timu kiba walipoungana kumshusha, jamaa alikomaa ile mbaya sijui zile timu ziliishia wapi!......mshikaji alizidi kuchanja mbuga bila kumshutumu mtu.......

Kiba hebu awe serious kama kipindi anafanya collabo na r- kelly atatoboa sana.....
Vilevile kama ulizungumzia hasira za kushushwa sio vibaya ukaomba radhi ingawa timu yako watakubeza
Pleaseeeee!!!!! Acha kuongopa alifanya collabo .Jamani Acha kimkuza ..Ni Kweli wimbo ule NA R Kelly aliimba.but was kama wa kuchangiaa ishu.Fulani NA alialika wasanii wengi toka Africa.Sijui utanielewa
 
nimekuelewa mkuu ! ahsante kwa kuniweka sawa!
Nilichotaka kusema ni alikiba wa kipindi kile alikua bize kwenye muziki kuliko hivi sasa naona kama drama zimekuwa nyingi sana!!
 
Acha utoto ww!! Unigeukie ww ni mke wangu? Ma Manager wa Sautsol na Navy Kenzo walikwambia walipanda Backstage?
Ivi wewe umeiaikiliza vizuri Iyo video NA ushahidi.Eti Alikuwa nyuma NA Backstage.. unaambiwaa Sio Backstage as Backstage Alikuwa mbali ya upo.akiwa NA meneja wa Wizkid wakipanga mipango After all Mbona mameneja wengine kama wa Sautsoul nao walikuwepo??au unapenda tukugeukie NA wewe..Kaa mbali Na Baba Tee.
 
Acha utoto ww!! Unigeukie ww ni mke wangu? Ma Manager wa Sautsol na Navy Kenzo walikwambia walipanda Backstage?
mashabiki wa Alikiba bwana................hembu acheni kumpoteza msanii wenu watanzania bado tunamuhitaji lakini asijifananishe na watu kama diamond na wizikid..........
 
Pleaseeeee!!!!! Acha kuongopa alifanya collabo .Jamani Acha kimkuza ..Ni Kweli wimbo ule NA R Kelly aliimba.but was kama wa kuchangiaa ishu.Fulani NA alialika wasanii wengi toka Africa.Sijui utanielewa
Ukiwa mshabiki wa kiba lazma uwe na dawa z presha mana hatabiriki.hiyo collabo hata amani wa kenya na nevykenzo wa uganda walikuepo.....wakati hawakua n majina makubwa ni bahati tu iliwapitia

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Unakumbuka ile mkutano wa chama cha odm ya juzi kati Mombasa matangazo yote yalisema kwenye huwo mkutano na diamond atakuwepo lakini cha ajabu diamond kamaliza kupaform akijua ndo kamaliza kila ktu shitukia kiba anapanda kama sapraiz artist kitu ambacho kiliikera sana mgt ya domo.......so ukiangalia apo ndo utagundua kuwa kiba anapenda sana umwiny coz ilijulikana kabisa kuwa angpangwa kwny ratiba asingekubali apande kabla ya mond coz pale Mombasa anajiona yy ndo anakubalika kuliko msanii yyt
Mtoto wa kariakoo lazma awe n tabia hizo...hushangai mpka leo anaishi kwao kma hela kapata sana maendeleo hayaonekani kazi kumsema mwanaume mwenzake.iko siku atasema anamimba ya chibude[emoji3] [emoji3]

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa kariakoo lazma awe n tabia hizo...hushangai mpka leo anaishi kwao kma hela kapata sana maendeleo hayaonekani kazi kumsema mwanaume mwenzake.iko siku atasema anamimba ya chibude[emoji3] [emoji3]

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mwanaume mzima anamuogopa Sallam [emoji2][emoji2][emoji2]!yaani akimuona Sallam hana amani kabisaaa!roho inamruka sana!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mwanaume mzima anamuogopa Sallam [emoji2][emoji2][emoji2]!yaani akimuona Sallam hana amani kabisaaa!roho inamruka sana!!
Huyo kashazoea fitina z kiswahili instead afanye maendeleo yeye anafanya fitna...ndio mana mpka leo anaisha kwa wazazi sijui hela anapeleka wapi hatuoni hata maendeleo yke

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Sallam yupo makini sana, anaangalia opportunity, ndio maana Mond anatoboa aisee, tujiandae kusikia collabo Mond/Wizkid soon
 
Back
Top Bottom