Hahahah... usinifanishe na mambo ya kipumbavu(reprofeseli)Kiba anaweza asiwe mjinga ila mjinga ni yule ambaye amewekewa mtiririko wa inshu nzima na bado haelewi upande upi ni pumba kama za reprofeseli wa buguruni.
ahahahahhahahhahaahahahahhahahahaahahahahahhahahaha uuuuuwih!Ali Kiba ni mkubwa kuliko wizkid?? Au waliangalia umri
ah huyu mjinga ni kifaaa!Huyu mazafanta anajua kazi yake,.... Diamond amuheshimu sana huyu bwege.
Kumbe na wewe umeliona hilo , kipindi kimekuwa cha kibaKitu gani chini ya kapeti, zaidi ya kuamini imani za kishirikina, na tatizo jingine mashabiki wa kiba wanamponza sana, wamemfanya aamini yeye ni mkali sana kuliko wote Africa, kitu ambacho sio cha kweli kabisa, eti leo anataka wizkid apande kwanza stageni, kama sio upuuzi ni nini, sifa za kina Diva zinamvimbisha kichwa, maana kipindi kizima ni anasifiwa Kiba tuu
We unataka aongee kilugha??Kwa jinsi anavyo ongea inaonekana kabisa yuko kishari, huyu meneja amehusika kabisa mi nahisi kwa kweli
Wakuu ebu nipeni ujanja wa kudaunlod hii video
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we jamaa bhana jaani kuelezewa kila kitu lakini bado mbishiKiba anaweza asiwe mjinga ila mjinga ni yule ambaye amewekewa mtiririko wa inshu nzima na bado haelewi upande upi ni pumba kama za reprofeseli wa buguruni.
Umeukosha moyo wangu hebu kunywa soda kwa mangi nitakuja kulipa baadae[emoji7] [emoji8]Mfalme juaha kaumbuka aibu yake hii anatamaini kurudisha tapishi lake mdomoni ila ndio hivo neno likishatamkwa halirudi mdomoni nimeamini maneno ya kale fikiri kabla ya kutenda ,
Roho mbaya chuki wivu imani za kishirikina na kutafuta sympathy kwa watu na mashabiki ndio kifo cha carrier yako mfalme **** kibakuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa mishtusho mkurupukaji hayo matusi yenu na timu zenu mkanywee chai na mfalme **** wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu yao pakuficha sura za aibu hawana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti mkubwa kuliko wizkid labda ki umri , East Arika tu bado hujatoboa unajifananisha level za wizkid ,
Aibu kubwa ugomvi wa nyumbani kuupeleka kwa majirani nia yako ilikua umchafue sallam sk au umtafutie maadui chibu kibakuli unaroho ya paka ptuuuu.
Najutia kujifanya mzalendo kura niliyo kupigia kumbe chizi ivo? kuanzia leo nita wa pigia kina veemoney tu. Wanao msubiri mond ashuke kama wamesimama wachukue viti wakae ndio waendelee kumsubir lasivo watachoka
Huu mchezo hautaki hasira[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
Alisema kwa kinywa chake kabisa "Salam ameenda kumzimia mic"?
Marhabaaaa wewe apo!ahahahahhahahhahaahahahahhahahahaahahahahahhahahaha uuuuuwih!
shikamooo wewe apo!
Kaimba na R.kelly kipindi wizkid yupo nasarry uko ogjuoleba[emoji1] [emoji1]Alikiba ni mkubwa kuliko wizkid kiumri? Au ukubwa gani?
teh tehAlikiba ni mkubwa kuliko wizkid kiumri? Au ukubwa gani?
Mkuu mtake radhi Tale. Bab tale na Fela ni mameneja wa Diamond ndani ya nchi, nje ni Salam.Ninachojua babu tale ni potter (mbeba mabegi) japo anapata za kumtosha.
Mimi nilielewa kiba anaongea pumba kabla hata ya kumsikiliza sallam. Nawasaidia hao wanaozidi kumharibu kiba kwa kumsapoti hata pale anapokosea pasipo kumuambia ukweli.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we jamaa bhana jaani kuelezewa kila kitu lakini bado mbishi