Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Sio tu kumchafua Sallam, nia ni kuichafua wcb kwa ujumla, anapaswa kuwaomba radhi kwa kweli, hili sio jambo la kuchukulia poa kabisa, Kuijenga WCB hii tunayoiona sasa hivi watu wamevuja jasho, gharama kubwa imetumika, anapotokea mtu kwa sababu ya chuki na wivu wake akataka kuharibu image yao hatakiwi kuchekewa hata kidogo, yeye kwa sababu amelianzisha alimalize kwa kuomba radhi, vinginevyo tunae.
 
Mm huwa sielewi kwa nn watu husema Kiba ni mkali kuliko wote,kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na sauti nzr na kuimba mziki mzr utakaopendwa kusikilizwa na kibiashara,Kiba ana sauti but nna hofu kidg kuhus biashara yake ya muziki,Wanaomsifia ni wale wasiompenda Mondi,na ndio maana wanamsifia kwa kila kitu ili wamrudishe numa mondi,matokeo ndo haya kila afanyalo anawaza Mondi ananiangalia au anafanya fitina,Analewa sifa zisizo na msingi akat hamna anachofanya matokeo yake ndo hayo kawaboa watu mpk wakamzimia mic...Nna hofu pia km kulikuwa na marumbno kati ya wizzy na kiba mahusiano yao baada ya hapo.
 
Uwezo wako wa kufikiri ndiyo umeishia hapo, jenga hoja kijana hata kama ni la saba jaribu kuficha ujinga wako!
 
em muache Mr popiniii yooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wewe naona unatuaminisha kuwa uwezo wa kufikiri umeishia hapo fuata ushauri kama alilpewa jamaa anayeshadadia kuwaita wenzie papuchi sasa na wewe naona dumeshupa lipo mdomoni mwako.
Umekula kweli wewe Leo?!!!
 
Issue siyo kuwa pale. Ila ni kwanini alikuwa BACK STAGE (Nyuma ya jukwaa)? Wakati sehemu hii ni maalum kwa maDJ na Mafundi miambo tu. Je ma manager wa SAUTISOL walikuwa Backstage?

Kama kahusika Mungu amulaani kabisa!! Kwani hajamudhalarisha Ally Kiba pekee,bali pia Tanzania kwa ujumla.
 
Mkuu mtake radhi Tale. Bab tale na Fela ni mameneja wa Diamond ndani ya nchi, nje ni Salam.
Wanafanya nin huku ndani??? Nina mwaka sasa sijamuona diamond akiperform local shows ambazo zipo locally,... Kama unanielewa??? Babu tale anaweza Kuandaa corporate show ya diamond na office flani kubwa??? Arudi tip top,.. Anawaua njaa wale watoto,... They are of his league.
 
Muda wa kuingia mmarekani ulifika sasa ulitaka wafanyeje zaidi ya kuzima mk
 
Mbona hiko swali ata dj kamsaidia kua kipindi kibakuli ana perform salam hakuwepo backstage, na salam anasem walikua kny vyumba yy na meneja wa wizkid tena walkuta drinks zmeisha wakamuita muhudumu aje awaletee mpk pale wiz alivyomtxt meneja wake wakatoka nje.
Pia n yeye km meneja backstage ndo sehemu yake pia sio jukwaani akitoa single utamuona jukwaani. Alishushwa was hallucinating izo time
 
Kabisa over half an hour hataki kutumbuiza, kweli anachekesha. Shame on him kwa kutaka kuharibia wengine wanaotaka kuingia ktk biashara hii nchi za nje.

That is y hakusema vioja vyake vya kutotaka kupanda kutumbuiza.

Akalale sasa apumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…