Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Kwa hiyo katika video nzima hicho tu wewe ndicho umekinasa?!
Kwanza inatakiwa ujue kwamba sio kosa kisheria Kwa sallam kukaa nyuma ya jukwaa lolote lile..na kwa wakati wowote ule na kwamsanii yeyote yule anapopafomu..

Inaelekea Huelewi na wala hujawahi kukaa backstage ndio maana unaongea usichokijua!!Backstage kwa kiswahili cha kueleweka ni NYUMA YA JUKWAA!!Halafu ile haikuwa Show ya Alikiba,ilikuwa Show ya CB na WizKid.Alikiba alikuwa msindikizaji tu kama walivyokuwa kina Vanessa na wengineo..

Ni Cokestudio na sio tamasha..Cokestudio inafanyika ukumbini na sio uwanjani...hebu jaribu kuangalia Cokestudio uone watu wanafanyaje kazi maana unatia aibu!!

Alikiba hajawahi kuwa na show ya pekeyake halafu sallam akaenda backstage...

Muziki ni biashara...Sallam hawezi kuacha kutafuta connection na wasanii eti kisa tu Alikiba yuko jukwaani anapafomu,kwani Alikiba yeye ni nani mpaka watu wengine wasiende Backstage?!
Ataendela kumuona Sallam Backstage kila siku..
Tuna angalia "The Possible Remote Cause of the Problem". Mm nadhani Tz hii haitatangazwa na AllyKiba au Diamond pekee yao. Bwana Samatta yupo, na wengine wengi sana.

Connection ndio Backstage? Saa 6 za usiku? Acheni kutetea vitu vya ajabu.

Sasa huu ujinga wa kuhudhuria harusi isiyo yako wakati muolewaji hajakuchagua siyo mzr.
 
Hujo jamaa ana fedha kiasi gani kwenda kuhonga hadi Kenya?

Chris Brown aliwasili Kenya siku ile ya show na perfomance yake illikuwa aanze saa tano usiku na saa saba usiku anaondoka kurudi US
Ulikuwa na ratiba yake mkuu? Kuhonga alikuwa anahonga raia wote wa Kenya au?
 
Inawezkana Ratiba alikuwa nayo before!! Au alisense something not Good wakati tamasha linaendelea!! Afu hawa wanaowafanyia interview. Kwann wasiwalete wote 3 kwa pamoja ndio uwa interview? Huyo DJ, kaja na huyo Manager wa Diamond. Do you think watapingana?

Sasa kama Kiba anamuogopa Salam kwenye stage sasa akikutana nae live kwenye radio si atazimia kabisa
 
Wewe uczunguke jibu maswali hayo nlokuulza. Salam kapanda jukwaan saa ngaoi huko msa mm cjaona lete picha. Khs shule wapo kibao hawajasoma na wako mbali
Mwandiko wako unanichanganya, ni Kiswahili au? Angalia na sikiliza Video.
 
Huyu Sallam siyo smart kama baadhi wanavyodai. Anauteam sana! Kulikuwa na ulazima gani wa kusema Kiba kafanya shoo mbaya hivyo anatakiwa ajipange next time? Jinsi alivyoongelea issue ya Wizkid ni ushahidi mwingine tosha! kwamba alikiba alikuwa na mvutano na Wizzy akidai yeye ni mkubwa zaidi, huu ni uchonganishi! anasema kama hana uhakika lakini anataka wasikilizaji waamini ni kweli!
 
Kwahiyo ww unajua kuliko anacho kieleza kwenye video yy?
A mesema stage ni wasanii na watu kama sisi tusiyo perform tunakaa Backstage, huenda siku nikitoa single ndio nitakuwa on Stage!!

Issue hapa ni kwann anapenda kupanda jukwaani mara kwa mara siku ambayo mpinzani wake ana perform? Ili hali Diamond hapa perform? Kuna uwezakano mkubwa wa yy kuchochea Bifu au hata kuonga maDJ wakati yupo Backstage.
We ndio wale wale
 
Unaishi dunia gani ndugu yetu?
Mchawi wa Ally Kiba ni yeye mwenyewe na ataendelea kulialia kila siku
Ww mm siko hivyo. AllyKiba na Diamond wote ni tunu kwa TZ. Tusiendekeze umimi ktk kulitangaza Taifa, Diamond wala AllyKiba si chochote kwa Tanzania. Tuitangaze Tz kwa pamoja siyo kwa uchawi kama huu tena wa hadharani na wa kijinga.

Huyo Meneja iwe mara ya Mwisho kupanda jukwaa asilokuwepo Diamond. Business deals has its official time!!
 
tamasha la kiba?
nitajie concert za kiba ambazo sallam sk amewahi kupanda back stage
Ndio Allykiba, Chris Brown, Wizkid, Vanessa, etc.
Kwenye hiyo video kakili. Na muendesha kipindi kamuuliza inonesha unapenda sana Backstage!!
 
Tuna angalia "The Possible Remote Cause of the Problem". Mm nadhani Tz hii haitatangazwa na AllyKiba au Diamond pekee yao. Bwana Samatta yupo, na wengine wengi sana.

Connection ndio Backstage? Saa 6 za usiku? Acheni kutetea vitu vya ajabu.

Sasa huu ujinga wa kuhudhuria harusi isiyo yako wakati muolewaji hajakuchagua siyo mzr.
Afadhali umekuwa shabiki wa Alikiba..maana ungekuwa shabiki wa Diamond ungetutia aibu sana..

Mpaka leo unafananisha muziki na harusi?!baki huko huko kwa Alikiba[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom