Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,013
Tuna angalia "The Possible Remote Cause of the Problem". Mm nadhani Tz hii haitatangazwa na AllyKiba au Diamond pekee yao. Bwana Samatta yupo, na wengine wengi sana.Kwa hiyo katika video nzima hicho tu wewe ndicho umekinasa?!
Kwanza inatakiwa ujue kwamba sio kosa kisheria Kwa sallam kukaa nyuma ya jukwaa lolote lile..na kwa wakati wowote ule na kwamsanii yeyote yule anapopafomu..
Inaelekea Huelewi na wala hujawahi kukaa backstage ndio maana unaongea usichokijua!!Backstage kwa kiswahili cha kueleweka ni NYUMA YA JUKWAA!!Halafu ile haikuwa Show ya Alikiba,ilikuwa Show ya CB na WizKid.Alikiba alikuwa msindikizaji tu kama walivyokuwa kina Vanessa na wengineo..
Ni Cokestudio na sio tamasha..Cokestudio inafanyika ukumbini na sio uwanjani...hebu jaribu kuangalia Cokestudio uone watu wanafanyaje kazi maana unatia aibu!!
Alikiba hajawahi kuwa na show ya pekeyake halafu sallam akaenda backstage...
Muziki ni biashara...Sallam hawezi kuacha kutafuta connection na wasanii eti kisa tu Alikiba yuko jukwaani anapafomu,kwani Alikiba yeye ni nani mpaka watu wengine wasiende Backstage?!
Ataendela kumuona Sallam Backstage kila siku..
Connection ndio Backstage? Saa 6 za usiku? Acheni kutetea vitu vya ajabu.
Sasa huu ujinga wa kuhudhuria harusi isiyo yako wakati muolewaji hajakuchagua siyo mzr.