Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Afadhali umekuwa shabiki wa Alikiba..maana ungekuwa shabiki wa Diamond ungetutia aibu sana..

Mpaka leo unafananisha muziki na harusi?!baki huko huko kwa Alikiba[emoji23][emoji23][emoji23]
Brain ndio mhimu, hasa inayo fanya kazi. Hapa naongea kwa manufaa ya Tz siyo Diamond wala AllyKiba.
 
Mimi sio mshabiki wa muziki yao sina timu lakini madai anayolalamika Kiba kuhusu Diamond ni ya kitoto sana anatia aibu kibaaya zaidi hataki kubadilika.
Salam kazi yake inamruhusu kufika back stage,tuzo hazinunuliwi back stage
 
Wanasema JEURI dawa yake ni KUSUDI!!sasa we umeshamzushia mtu uzushi ambao dunia nzima imejua kama umesema uongo!!halafu ulitegemea Sallam amsifie alikiba kwamba amefanya vizuri?!hajafanya vizuri hata hivyo
 
Yaani kwa vile Kiba yupo kwenye show ya kualikwa basi wengine wasifanye deal zao? Kiba ni kiburi nadhani hata meneja wake hawezi kummanage. Hili swala lingekuwa handled at management level yasingetokea yote. Seven Mosha alitakiwa aratibu mambo yote tokea kwenye contract stage. Huwezi kuingia mkataba ambao masharti yake huyajui labda kama umekuwa chief mangungo.
Ilitakiwa ajue anapanda stejini kwa ratiba ipi sio kulazimisha kupanda asipotakiwa. Kama nchi ametudhalilisha. Ingekuwa kwa Mugabe angekuwa jela muda huu kwa kuharibu sifa ya nchi yetu.
 
Mimi sio mshabiki wa muziki yao sina timu lakini madai anayolalamika Kiba kuhusu Diamond ni ya kitoto sana anatia aibu kibaaya zaidi hataki kubadilika.
Salam kazi yake inamruhusu kufika back stage,tuzo hazinunuliwi back stage
Anafuata nn hasa Backstage hasa show za AllyKiba wakati Diamond hayupo?
Business deals has Official time.
 
Umeenza vizuri umemaliza kwa ugoro!!
Sio meneja wa diamond pekee alie kuwepo pale
Wacheni upuuzi
Kiba kama kaboronga niheri atulie tu
 
Umeenza vizuri umemaliza kwa ugoro!!
Sio meneja wa diamond pekee alie kuwepo pale
Wacheni upuuzi
Kiba kama kaboronga niheri atulie tu
Ma manager wengine hawakuwa Backstage. Ni wageni na seat zao.
 
Wanasema JEURI dawa yake ni KUSUDI!!sasa we umeshamzushia mtu uzushi ambao dunia nzima imejua kama umesema uongo!!halafu ulitegemea Sallam amsifie alikiba kwamba amefanya vizuri?!hajafanya vizuri hata hivyo
Ndo uone ajabu hapo walichotaka wakione ni sallam akiomba msamaha kwa kukaa backstage wakati bushman akipeform uwiii kama sio upupu ni nin
 
Official time ni muda gani? Muda wowote mtu unaweza kumake deal. Sasa na muda wa kazi we unapangia watu?
 
Ushabiki utakutoa roho[emoji28][emoji28]yaan hapo najua roho inakuuma sana haahaha meza panadol ulale fundi mitambo ameshawanyoosha nyie bushmen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tofautisha backstage na stage mkuu.
 
Wewe ndio huelewi kabisa rudia kusikiliza video amesema wakt ali kiba anaperfom yeye hakuwepo alikua kwnye rooms na wakaagiza kinywaji
Uchawi umewarudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…