digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Wakuu, sina maneno mengi,nimefatilia video za kampeni za mgombea urais wa CCM na makamu wake inaonekana kabisa walijipanga Kwa mauji ya watanganyika ili malipo yake yawe maridhiano, walinuia kuharibu uchaguzi na kuwauwa watanganyika wakijua kuwa watanganyika ni wajinga watawahadaa Kwa maridhiano hewa.
Sishauri chama au taasisi iwayo kuingia maridhiano na CCM,damu za watoto wetu,wazazi wetu na ndugu zetu zitalipwa Kwa damu na si maridhiano.
Samia kama anataka maridhiano, aachie urais wa jamhuri ya Tanganyika kwanza.