Video: Shabiki wa Simba achoma moto jezi zote, pole Vunja Bei vichaa wameharibu sana

Video: Shabiki wa Simba achoma moto jezi zote, pole Vunja Bei vichaa wameharibu sana

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Sisi ni mashahidi tu acha tuitwe majina ya kila aina maana hata tukipiga kelele mazoezi ya Bunju yasiwe ya wazi tunaitwa washamba.

Narudia tena hiyo october wakati simba anafumuliwa 4-0 na yanga patatokea vurugu kubwa sana hapo taifa kubwa mno kiasi kwamba viongozi wa simba na wachezaji watajiuliza hivi yale mazoba tunayoyatulizaga na maneno matamu ndiyo haya au la

Hata hiyo october ni mbali kwa mizaha hii inayoendela usishangae hata geita gold wakatukanda vizuri na shughuli ikaanza keshokutwa tu hapo full FFU kuingilia kati

Pole bwana vunjabei pole sana usitarajie kuona tena ile misurururu ya watu kugombania jezi hizo zinazokuja kwa mafungu maana watu walinunua hadi laki moja, vichaa jana walikuwa wanakimbiza mapumbu tu uwanjani wamekuuulia biashara yako



moto.JPG
 
This thing is going too damn serious![emoji174]
 
Sisi hatutakubali uongozi ubaki pale kwa hali hii wanatutumia kufanya biashara huku matokeo yetu ya hovyo wote waondoke
 
Nyie Makolo tatizo lenu kwenu tokeo ni moja tu nalo ni kushinda.

Hamuamini na hamtaki kuamini kua yanga ni bora kuliko nyie na wamesajili kimkakati.

Haya ya jana yameshaisa kikubwa 'fokasini' mbele.
Uchawi wao wa kutofungwa Lupaso hata na Bacelona ulivunjwa rasmi na Yanga.
Kwahiyo lazima wapoteane
 
Back
Top Bottom