Video: Shabiki wa Simba achoma moto jezi zote, pole Vunja Bei vichaa wameharibu sana

Video: Shabiki wa Simba achoma moto jezi zote, pole Vunja Bei vichaa wameharibu sana

Kazi ipoo..simba nguvu moja hatukamatiki hatushikiki
 
una hakika mzigo unaokuja kutakuwa na misururu ya kugombania jezi?
Misururu ya kugombania jezi ilitokana na jezi kufika chache na kupatikana sehemu moja ila kama jezi zitafika za kutosha na kupatikana kila mahali kuna haja gani tena ya kuweka msururu pale Sinza kwa Vunja bei

NB:Jezi zitaendelea kuuzika kama kawaida na tunausubiri huo mzigo kwa hamu huwezi kuichukia timu yako kwa kufungwa mechi moja hiyo ni mentality ya kijima sana na ingekuwa hivyo kuna vilabu duniani vingekuwa hii biashara ya jezi wameshaachana nayo kwa kukosa wateja
 
WAKATI wanachama na mashabiki wa Simba wakianza kusahau machungu ya pilikapilika za kugombea jezi mpya za klabu hiyo, mwenye dili na uzi za Simba, Fred Ngajiro ‘Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua hasara ya kupoteza Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni).

Vunjabei alisema hasara hiyo imetokana na kubadilisha mfumo wa jezi za awali baada ya kubadilishwa kwa mdhamini kutoka SportPesa na kuwa M-Bet.

Mfanyabiashara huyo alisema, mkataba mpya ulipokuja alikuwa ameshadizaini jezi za mdhamini wa awali, hivyo kumtia hasara ya kiasi hicho cha fedha za kuweka mdhamini mpya.

“Simba waliponipigia simu kuniambia juu ya kusitisha uzalishaji wa jezi kutokana na mkataba mpya basi ikanibidi na mimi nipige simu zoezi lisitishwe jambo ambalo limefanya jezi zichelewe,” alisema Vunjabei na kuongeza;
 
Nyie Makolo tatizo lenu kwenu tokeo ni moja tu nalo ni kushinda.

Hamuamini na hamtaki kuamini kua yanga ni bora kuliko nyie na wamesajili kimkakati.

Haya ya jana yameshaisa kikubwa 'fokasini' mbele.
Kwa tz yanga ipo vzr, ila caf namungo ni bora hata kuliko yanga
 
Huyo ni shabiki mandazi sisi tupo man united na Simba na tunalizika
 
Misururu ya kugombania jezi ilitokana na jezi kufika chache na kupatikana sehemu moja ila kama jezi zitafika za kutosha na kupatikana kila mahali kuna haja gani tena ya kuweka msururu pale Sinza kwa Vunja bei

NB:Jezi zitaendelea kuuzika kama kawaida na tunausubiri huo mzigo kwa hamu huwezi kuichukia timu yako kwa kufungwa mechi moja hiyo ni mentality ya kijima sana na ingekuwa hivyo kuna vilabu duniani vingekuwa hii biashara ya jezi wameshaachana nayo kwa kukosa wateja
 
Mlifungwa na vipers 2-0.
Na msisahau mechi ya just nyie ndo mliochomoa.
Mkuu usikae Peke y'ako, jitahidi ukae kwenye kundi la watu maana kuna dalili ya kujinyonga naiona wazi kabisa

Yanga alichomoa na kukuongeza, vipers ilikuwa mazoezi tu mlete kwenye mashindano utamkataaa
 
Mashabiki wa Simba wanamatatizo ya akili wengi wao

Hebu fikiri utulivu wa mashabiki wa Yanga, Simba mjifunze siyo Kila ck nyie mshinde tu
 
Kwa tz yanga ipo vzr, ila caf namungo ni bora hata kuliko yanga
"..Ila CAF Namungo ni bora kuliko yanga".

Hapa umetumia criteria gani kuwapa ubora namungo dhidi ya yanga?

Nijibu kwanza hili swali kabla ya jingine.
 
Mlifungwa na vipers 2-0.
Na msisahau mechi ya just nyie ndo mliochomoa.
Kiukweli Ismail Aden Rage atabaki kua kiongozi wa juu wa heshima wa simba kwa miaka mingi sana kwa maana aliwajua watu ambao anaowaongoza ni watu wa aina gani.

Just imagine 'mjingawewe' umeshindwa hata kutofautisha kati ya friend match na competition match.
 
matola anasubiri nini?aondoke,inonga aache kucheza na jukwaa simba itoe hela isajili namba 9 ni tatizo,kakolanya aongee na walinzi wake
 
Back
Top Bottom