MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Madalali wa Siasa Mbowe na makala kutumia pesa za walipa kodi kuwanunua G55 kwa njia haramu za kishetani kuwapeleka Chaumaccm ni matumizi mabaya ya pesa za ummaShamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na Mwenyekiti wa chama hicho akiongozana na viongozi waandamizi wa chama hicho.
View attachment 3340731
Wananchi walisha azimia No Reforms No Elections! Kikwazo ni wanasiasa malaya na madalali!Zamani wananchi wanaochukua kadinza kura alafu hawapigi kura nilikua nawaona wanamtazamo wa chini sana
Madalali wa Siasa Mbowe na makala wazitumia kuwanunua G55 kwa njia haramu za kishetani na kuwapachika Chaumaccm chama cha uvunguni mwa ccmFedha za walipakodi masikini wa nchi hii zilizopaswa kuhakikisha wanapata maji safi na salama na madawa hospitalini zinatumika kwa mambo ya kishenzi na kipuuzi kwa maslahi ya wajinga masikini.
Mungu tupatie Traole wetu Tanzania.
Makala na mbowe wanapiga udalali mkubwa kwa sasa ndiyo viumbe Hatari kwa usitawi wa NchiWananchi walisha azimia No Reforms No Elections! Kikwazo ni wanasiasa malaya na madalali!
Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na Mwenyekiti wa chama hicho akiongozana na viongozi waandamizi wa chama hicho.
View attachment 3340731
TAKUKURU Ebu acheni kusubiri hadi mpewe maelekezo na viongozi wa kisiasa.Takukuru huwezi kuona wanachunguza vyanzo vya fedha za Chauma hii nchi mifumo yote imeoza wakati huu wa kampeni Takukuru ilitakia kua Active hizo ni kodi za Watanzania
CHAUMMA ni mpango wa MunguShamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na Mwenyekiti wa chama hicho akiongozana na viongozi waandamizi wa chama hicho.
View attachment 3340731
Mifumo yote ipo chini ya CCM ndio maana hii nchi haisongi mbele kamweTakukuru huwezi kuona wanachunguza vyanzo vya fedha za Chauma hii nchi mifumo yote imeoza wakati huu wa kampeni Takukuru ilitakia kua Active hizo ni kodi za Watanzania
Pesa ya serikali inatumika, ila bongo tuna akili ndogo Sana, yaani hii ndio igizo kaandaa samia kuismbia jumuia ya kimataifa, kuwa chama cha upinzani kikuu ni chakuma, ohhhh sory chaumma!mnataka kuwaigizia wazungu, mzungu aliyekutengrnezea simu, gari, nk! Mzungu anajua mpaka harufu na rangi ya makimba ya maraisi wote wa Africa, ndio unamfanyia michezo hii ya kitotoShamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na Mwenyekiti wa chama hicho akiongozana na viongozi waandamizi wa chama hicho.
View attachment 3340731
Nasiki Mbowe soon kuwa mgombea urais kupitia Chauma. Je tutarajie Mwenyekiti mstaafu kuwa the next PM under looming Goverment of National Unity (GNU).Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na Mwenyekiti wa chama hicho akiongozana na viongozi waandamizi wa chama hicho.
View attachment 3340731
Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na Mwenyekiti wa chama hicho akiongozana na viongozi waandamizi wa chama hicho.
View attachment 3340731
Za tone tone zinafanya kazi ya kuwalisha akina Heche na Lema na hujapiga kelele. Nyambafu!!Fedha za walipakodi masikini wa nchi hii zilizopaswa kuhakikisha wanapata maji safi na salama na madawa hospitalini zinatumika kwa mambo ya kishenzi na kipuuzi kwa maslahi ya wajinga masikini.
Mungu tupatie Traole wetu Tanzania.
Huu ujinga utamgharimu mama Abdul mpaka kaburiniPesa ya serikali inatumika, ila bongo tuna akili ndogo Sana, yaani hii ndio igizo kaandaa samia kuismbia jumuia ya kimataifa, kuwa chama cha upinzani kikuu ni chakuma, ohhhh sory chaumma!mnataka kuwaigizia wazungu, mzungu aliyekutengrnezea simu, gari, nk! Mzungu anajua mpaka harufu na rangi ya makimba ya maraisi wote wa Africa, ndio unamfanyia michezo hii ya kitoto