MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Sina namnaa nzuri ya kueleza ila itoshe kusema naweka stethoscope chini rasmi naingia kwenye siasa ,siwezi kufa masikini ilihali uhuni wote wa hivyo hapo zamani ulifanyika sebuleni kwetu .
Nishauri lolote ila sio kurudi nyuma juu lengo langu hili ,kwaheri nesi kabugomoya ,kwaheri dokta mnjaro panapo majaaliwa nitarudi kuja kuwaahidi kuwajengea choo cha mlinzi hapo hospitalini
Nishauri lolote ila sio kurudi nyuma juu lengo langu hili ,kwaheri nesi kabugomoya ,kwaheri dokta mnjaro panapo majaaliwa nitarudi kuja kuwaahidi kuwajengea choo cha mlinzi hapo hospitalini