Video: Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda

1744292003918.png
 
Leta hoja nzito , hizi hoja zako hauwezi kuitikisa uislamu ..Wenzio wana bajeti ya Trillion of Money kuangusha dini ila bado watu wanaongezeka ...Soma uislamu usifuate matamko ya watu sio kampeni za siasa hizo .

Fuatilia video kuanzia mwanzo mpaka mwisho .

Hamna hoja ya kuweza kumtikisa shetani na mifumo yake hiyo, mavitu yake ya freemason, illuminati na uislamu vinakua kwa kasi sana maana ilishatabiriwa na ndio kinachotendeka leo, watu wengi wanashindwa kwenye safari na kujiunga kwenye hayo mavitu ya kwenda jehanamu.
 
Kwani usiseme ukristo wako 🤣🤣we jamaa utakonda maana hata huku Ulaya waislamu wamekuwa wengi sana....Dini ya uislamu inakuwa kwa kasi Mangi ....Acha jazba .

Hapo ulaya kwa vile hujui kitu wanawake wanalipwa pesa pungufu dhidi ya wanaume hata kama wako cheo na levl moja...Ulishawahi kusikia watu wakidiscuss hizi mambo?
 
Unataka kututoa kwenye reli? Au wewe unafanya TAQIYYAH?
Mimi Mkristo, kwenye Ukristo ni DHAMBI kubwa mno kuongea UONGO, hata kama ukweli utagharimu maisha yako so sina sababu hata 1 ya kumtetea huyo jamaa wa Kenya but again kwenye ukristo ni dhambi kubwa sana kumsingizia mtu. Lazima niwe na uhakika na nijiridhishe ndio niweze ku comment. By now sina uhakika
 
Kwani usiseme ukristo wako 🤣🤣we jamaa utakonda maana hata huku Ulaya waislamu wamekuwa wengi sana....Dini ya uislamu inakuwa kwa kasi Mangi ....Acha jazba .

Hapo ulaya kwa vile hujui kitu wanawake wanalipwa pesa pungufu dhidi ya wanaume hata kama wako cheo na levl moja...Ulishawahi kusikia watu wakidiscuss hizi mambo?

Nimekuambia haya yalitabiriwa kabla Yesu kuondoka, aliacha amesema atakuja mpinga Kristo atakayebuni mifumo itakayosababisha Wakristo wengi wamfuate, wewe jiulize palikua na ulazima gani huyo muarabu wenu kuanzisha dini inayopingana na kila kitu kilichohubiriwa na Yesu, tena kaanzisha miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, dini ambayo imesababisha maafa makubwa duniani na bado mpaka leo mnaendelea hata kuchinja watu.

Hayo mavitu yatawavutia sana Wakristo dhaifu, kuanzia freemason, illuminati, uislamu na mengine yote, ila atakayevumilia hadi mwisho ndiye ataokoka. Njia ya jehanamu ni pana, huko kwenye uislamu kunavutia sana maana mnaendekeza mavitu kama ngono mara sijui mabikira 72, ndio hivyo hata kule kwa freemason na wao ngono na pesa ndio kete yao, mtawapata wengi sana kwa mbinu hizo.
 
Kumbe wewe unamuamini Yesu kwa nn usidili sana na ;wachungaji wanaouza mafuta ,wanaonyonya matiti ili kutoa mapepo , waliogeuza kanisa ni sehemu za mziki.

Kiufupi unaumia sana dini yake inaperish na uislamu unakua kwa sana🤣🤣
 
Mimi Mkristo, kwenye Ukristo ni DHAMBI kubwa mno kuongea UONGO, hata kama ukweli utagharimu maisha yako so sina sababu hata 1 ya kumtetea huyo jamaa wa Kenya but again kwenye ukristo ni dhambi kubwa sana kumsingizia mtu. Lazima niwe na uhakika na nijiridhishe ndio niweze ku comment. By now sina uhakika
Wacha kujifanya Mkristo wakati hujui kinacho endelea:
Hivi hapa uliandika wewe ?
Hiyo Jamii inaijali Dini kupita watu.
Mwanamke ni wa kufananishwa na mbwa mweusi kweli?
Au Punda ?
Au hapa aliandika Papa Paulo?

Sunan Ibn Majah 952
It was narrated from ‘Abdullah bin Samit from Abu Dharr, that the Prophet (ﷺ) said:
“The prayer is severed by a woman, a donkey, and a black dog, if there is not something like the handle of a saddle in front of a man.” I (‘Abdullah) said: “What is wrong with a black dog and not a red one?” He (Abu Dharr) said: ‘I asked the Messenger of Allah (ﷺ) the same question, and he said: “The black dog is a Shaitan (satan).”

Wewe unaamini kuwa Mbwa mweusi ni Shetani?
Acha kabisa kuitetea hiyo imani:
Kuna siku wa siasa kali watakata kichwa chako kwa kujiita tu kuwa ni Mkristo ndipo utakapo pata fahamu:
 
Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda
Hivi kwenye waislamu kuna watetea haki za kibinadamu na haki za watoto, wao huona vipi hizi sheria za dini yao.

Huwa siwaelewi wanawake waislamu humu JF namna hushupaza shingo na kutokwa mishipa wakitetea dini ambayo huwaona kama takataka.

Japo dini nyingi ni mifumo dume, hata mila zetu Afrika hunyanyasa sana wanawake ila kwa waislamu hupitiliza aisie.

Ukizingatia muasisi wa uislamu mohamad mwenyewe alifanya unyanyasaji wa kingono kwa katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, nilishangaa sana akina FaizaFoxy wanatetea eti alikua sahihi kufanya hivyo maana enzi hizo iliruhusiwa kugegeda vitoto.

Hata alipouza watoto wa Wayahudi mateka bado wanaona poa tu

View attachment 3297908
Kama kuna dini ya, hovyo ni hii,
 
Kiukweli hizi n propaganda za kuuchafua uislam na huyo shekh ana mamlaka gani kutoa agizo hilo coz hata angekuwa shekh mkuu hawez toa tamko hilo kwa kuwa halina hoja ya msingi halafu kuhusu suala la mtume kufanya mapenz na bi Aisha ni propaganda za kumchafua Aisha nakushauri ukipata time kaa chin soma hiii dini utajua kipi n kipi co kwa kuwa unaweza kuandika bac unaandika wazungu wanasemaje no research no right to speak kwo soma uislam halafu njoo uandike hicho ulichokiandika tena
 
Wacha kujifanya Mkristo wakati hujui kinacho endelea:
Hivi hapa uliandika wewe ?
Hiyo Jamii inaijali Dini kupita watu.
Mwanamke ni wa kufananishwa na mbwa mweusi kweli?
Au Punda ?
Au hapa aliandika Papa Paulo?

Sunan Ibn Majah 952
It was narrated from ‘Abdullah bin Samit from Abu Dharr, that the Prophet (ﷺ) said:
“The prayer is severed by a woman, a donkey, and a black dog, if there is not something like the handle of a saddle in front of a man.” I (‘Abdullah) said: “What is wrong with a black dog and not a red one?” He (Abu Dharr) said: ‘I asked the Messenger of Allah (ﷺ) the same question, and he said: “The black dog is a Shaitan (satan).”

Wewe unaamini kuwa Mbwa mweusi ni Shetani?
Acha kabisa kuitetea hiyo imani:
Kuna siku wa siasa kali watakata kichwa chako kwa kujiita tu kuwa ni Mkristo ndipo utakapo pata fahamu:
Atapata ufahamu baada ya kukatwa kichwa - Du!
 
Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda
Hivi kwenye waislamu kuna watetea haki za kibinadamu na haki za watoto, wao huona vipi hizi sheria za dini yao.

Huwa siwaelewi wanawake waislamu humu JF namna hushupaza shingo na kutokwa mishipa wakitetea dini ambayo huwaona kama takataka.

Japo dini nyingi ni mifumo dume, hata mila zetu Afrika hunyanyasa sana wanawake ila kwa waislamu hupitiliza aisie.

Ukizingatia muasisi wa uislamu mohamad mwenyewe alifanya unyanyasaji wa kingono kwa katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, nilishangaa sana akina FaizaFoxy wanatetea eti alikua sahihi kufanya hivyo maana enzi hizo iliruhusiwa kugegeda vitoto.

Hata alipouza watoto wa Wayahudi mateka bado wanaona poa tu

View attachment 3297908
Eti hawa nao wapo EAC !.
 
Leta hoja nzito , hizi hoja zako hauwezi kuitikisa uislamu ..Wenzio wana bajeti ya Trillion of Money kuangusha dini ila bado watu wanaongezeka ...Soma uislamu usifuate matamko ya watu sio kampeni za siasa hizo .

Fuatilia video kuanzia mwanzo mpaka mwisho .
Uisilam ni dini ya haqi
 
Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda
Hivi kwenye waislamu kuna watetea haki za kibinadamu na haki za watoto, wao huona vipi hizi sheria za dini yao.

Huwa siwaelewi wanawake waislamu humu JF namna hushupaza shingo na kutokwa mishipa wakitetea dini ambayo huwaona kama takataka.

Japo dini nyingi ni mifumo dume, hata mila zetu Afrika hunyanyasa sana wanawake ila kwa waislamu hupitiliza aisie.

Ukizingatia muasisi wa uislamu mohamad mwenyewe alifanya unyanyasaji wa kingono kwa katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, nilishangaa sana akina FaizaFoxy wanatetea eti alikua sahihi kufanya hivyo maana enzi hizo iliruhusiwa kugegeda vitoto.

Hata alipouza watoto wa Wayahudi mateka bado wanaona poa tu

View attachment 3297908
Hawa Wasomali watawasumbua sana. Sijui mtafanyaje
 
Walichogundua bodaboda wanahusika sana kwenye kuchapiwa wake na binti zao
 
Nimekuambia haya yalitabiriwa kabla Yesu kuondoka, aliacha amesema atakuja mpinga Kristo atakayebuni mifumo itakayosababisha Wakristo wengi wamfuate, wewe jiulize palikua na ulazima gani huyo muarabu wenu kuanzisha dini inayopingana na kila kitu kilichohubiriwa na Yesu, tena kaanzisha miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, dini ambayo imesababisha maafa makubwa duniani na bado mpaka leo mnaendelea hata kuchinja watu.

Hayo mavitu yatawavutia sana Wakristo dhaifu, kuanzia freemason, illuminati, uislamu na mengine yote, ila atakayevumilia hadi mwisho ndiye ataokoka. Njia ya jehanamu ni pana, huko kwenye uislamu kunavutia sana maana mnaendekeza mavitu kama ngono mara sijui mabikira 72, ndio hivyo hata kule kwa freemason na wao ngono na pesa ndio kete yao, mtawapata wengi sana kwa mbinu hizo.
Uislam ulianzisha mwaka 666
Kama ilivyoandikwa
 
Wacha kujifanya Mkristo wakati hujui kinacho endelea:
Hivi hapa uliandika wewe ?
Hiyo Jamii inaijali Dini kupita watu.
Mwanamke ni wa kufananishwa na mbwa mweusi kweli?
Au Punda ?
Au hapa aliandika Papa Paulo?

Sunan Ibn Majah 952
It was narrated from ‘Abdullah bin Samit from Abu Dharr, that the Prophet (ﷺ) said:
“The prayer is severed by a woman, a donkey, and a black dog, if there is not something like the handle of a saddle in front of a man.” I (‘Abdullah) said: “What is wrong with a black dog and not a red one?” He (Abu Dharr) said: ‘I asked the Messenger of Allah (ﷺ) the same question, and he said: “The black dog is a Shaitan (satan).”

Wewe unaamini kuwa Mbwa mweusi ni Shetani?
Acha kabisa kuitetea hiyo imani:
Kuna siku wa siasa kali watakata kichwa chako kwa kujiita tu kuwa ni Mkristo ndipo utakapo pata fahamu:
Bro, umebadiri topic? Tunajadiri hiyo video na sio uzuri au ubaya wa Uislam. Naendelea kusisitiza tu, huwezi kufanya hitimisho la video ya sekunde 14, it is unfair judgment. Kwenye ukristo kuna vitu viwili, "usimshuhudie jirani yako uongo" hilo la kuwashuhudia jirani uongo, tuwaachie Waislamu, wao kumsingizia mtu uongo ambaye sio wa imani yake, kwao ni sawa, sisi HAPANA, ni dhambi, tena kubwa sana
 
Back
Top Bottom