Video : Sheikh Sule Majin wanafundishwa Uislamu Msikitini

Video : Sheikh Sule Majin wanafundishwa Uislamu Msikitini

Hivi kwanini mnapenda sanaa mambo yanao tugawa ya dini leteni mada zingine zinazo tuunganisha.
Zinazowaunganisha wapi?katika nini?vitu vikishakuwa viwili ni tayari vimegawanyika. Watu tunapata Elimu ya Dini. Wewe leta mada za kuwaunganisha
 
Waislamu wengi wameshindwa kufuata kanuni na maelekezo ya mtume Muhammad SWS wamebaki kuwa wafuga majini Kwa kujipatia hela, wanga, wasoma Dua na visomo vibaya.

Nawashauri warudi ktk misingi na maelekezo ya Bwana Mtume na ya Muumba kwani Bado Hawajachelewa.
 
Kama Majini walisilimu na kuwa Waislamu nyumba yao ya Ibada ni ipi ?
Shehe Sule yuko sahihi kabisa.
Jami` at-Tirmidhi 18
Abdullah bin Mas'ud narrated that :
Allah's Messenger said: "Do not perform Istinja, with dung, nor with bones. For indeed it is provisions for your brothers among the Jinn."
 
Nini weweee
Usilamu sio ugalatia ambao hauna misingi ya kielimu kiasi ambacho hata Scumbag like you na uchizi wako unaweza kushika Bible na kuusemea Ugalatia .

Uislamu hakuna kuzungumza Wala dini pasi na elimu , ndio maana jitu likileta uzushi linakamatwa kama Zombi.
 
Back
Top Bottom