Video: Shilole asema amepata bwana mpya lakini "anamgonga" mpaka basi

Video: Shilole asema amepata bwana mpya lakini "anamgonga" mpaka basi

Ukiwa ndugu yake wa damu kwa kweli ni mbaya kuiona na kuisikia video hiyo.
 
Unajua Tatzo Kubwa Ni Kukosa Directory Manager Anaeelewa Vzur Njia Za Kumpa Msanii Stunt Na Akawa Kwenye Chati Bila Kujidharaulsha Kama Wafanyavyo Hao Wabongo Wenzangu. Ndio Maana Imekua Ngumu Kwa MaKampuni MaKubwa Ya Kibiashara Kuwapa Fursa Za Kuwaandalia Matangazo Kwa Kushndwa Kujielewa Kwao, Hii Inatengeneza Tafsiri Ya Haraka Kua Ile Ni Industry Ya Waliokata Tamaa Ya Maisha..
 
Hivi vibinti vya bongo havina hata soni..
Unaweza ukavipitia na vikaja kutangaza hadharani vikakushushia utu wako.
 
Hahahahaaha kijana mwenyewe hana hata Pesa ya hotel? Hadi room kalipiwa hahahahaa hii Bongo hii kazi ipo aiaseeee
Kaka usishangae hao ndio walikuwa wanazunguka na mkuu wa sasa miezi miwili kufanya kampeni nchi nzima tumchague.
Na kwa vile hao ndio walitushawishi tumpigie kura muzee ya kazi basi tujiulize wa kupimwa akili ni hao au sisi tulio wasikiza hao?
 
Staha na heshima nikitu cha buree Siokisa ni maarufundio ufanye unachotaka huyu mdada anawatoto sasa wakijaona mambo yanayofanywa na mama yao unadhani inawajengea picha gani
 
Wapo wengi tu kama yeye ambao wanavaa baibui mchana alaff usiku wanafanya uchafu mwez huu huu
 


Katika pita pita zangu you tobe nimekutana na uchafu wa shishi bby.kiki kama hii haikutakiwa kupostiwa mwezi huu ambao waislamu ulimwwnguni kote wapo kwwnye toba.

Huyo ni muongo parcee aliyegongwa kwa muktadha wake hawezi kuwa na nguvu wala sauti kama hiyo....
Wanaogongwa kisawasawa huamka hoi bin taaban huyo kapapaswa
 
Kaka usishangae hao ndio walikuwa wanazunguka na mkuu wa sasa miezi miwili kufanya kampeni nchi nzima tumchague.
Na kwa vile hao ndio walitushawishi tumpigie kura muzee ya kazi basi tujiulize wa kupimwa akili ni hao au sisi tulio wasikiza hao?
Hahahahhhaaa kamam ni hivyo basi acha tu sukari iadimike
 
yaani mpaka sasa hivi sijamwelewa anatafuta kiki au kichwani hamnazo/mwezi mchanga? hivi Vanesa alipotengeneza skendo na huyu shilole alifikiria nini hasa? na yeye tumweleweje sasa? yaani kama angekuwa ndugu yangu huyu walahi ningehama ukoo. ki ukweli elimu ni muhimu sana kwa watoto wetu waweze kujitambua walau kidogo maishani mwao. tuwape watoto wetu elimu kwa gharama yoyote ile. mimi sijawahi kusikia wimbo wake hata mmoja mzuri sijui hata huwa anaimba nini nafikiri pia hilo linachangia kumfanya awe hivyo alivyo.
 
Back
Top Bottom