Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha[emoji23] [emoji23]Hahahahaaha kijana mwenyewe hana hata Pesa ya hotel? Hadi room kalipiwa hahahahaa hii Bongo hii kazi ipo aiaseeee
Kaka usishangae hao ndio walikuwa wanazunguka na mkuu wa sasa miezi miwili kufanya kampeni nchi nzima tumchague.Hahahahaaha kijana mwenyewe hana hata Pesa ya hotel? Hadi room kalipiwa hahahahaa hii Bongo hii kazi ipo aiaseeee
Ndugu zake wote wapo Igunga huko hata internet hamna ya kuwezesha kuingia youtube ndo mana anatamba tu hapa mjiniInasikitisha sana,anawaaibisha nduguze yeye anafikiri anamchoma nuhu lahasha anaaibisha family yake.
Katika pita pita zangu you tobe nimekutana na uchafu wa shishi bby.kiki kama hii haikutakiwa kupostiwa mwezi huu ambao waislamu ulimwwnguni kote wapo kwwnye toba.
Wewe Zuwena Mohamed, huu si mwezi mtukufu jamani.
Na watoto wa zari wasemeje?Staha na heshima nikitu cha buree Siokisa ni maarufundio ufanye unachotaka huyu mdada anawatoto sasa wakijaona mambo yanayofanywa na mama yao unadhani inawajengea picha gani
Hahahahhhaaa kamam ni hivyo basi acha tu sukari iadimikeKaka usishangae hao ndio walikuwa wanazunguka na mkuu wa sasa miezi miwili kufanya kampeni nchi nzima tumchague.
Na kwa vile hao ndio walitushawishi tumpigie kura muzee ya kazi basi tujiulize wa kupimwa akili ni hao au sisi tulio wasikiza hao?
Katika pita pita zangu nimekutana na uchafu wa Shishi baby.
Kiki kama hii haikutakiwa kupostiwa mwezi huu ambao waislamu ulimwenguni kote wapo kwenye toba.