Video: Shilole asema amepata bwana mpya lakini "anamgonga" mpaka basi

Hzi media nazo zinawabeba sana hakuna hata wanachokiimba halaf akija kuumwa utaskia watanzania mnichangie
 
hahahaaa wanasemaga wadada (mnisamehe lakini) wanapenda kusimuliana kale kamchezo,ndio hiii sasa.
 
Kaka usishangae hao ndio walikuwa wanazunguka na mkuu wa sasa miezi miwili kufanya kampeni nchi nzima tumchague.
Na kwa vile hao ndio walitushawishi tumpigie kura muzee ya kazi basi tujiulize wa kupimwa akili ni hao au sisi tulio wasikiza hao?
Mkuu Mungu akupe maisha marefu
 
Aaah tafadhali watake radhi wabinti hao uliowakusudia wewe kuwaponda ni wamama wabishi wasiojua miaka inasogea mbele
Hivi vibinti vya bongo havina hata soni..
Unaweza ukavipitia na vikaja kutangaza hadharani vikakushushia utu wako.
 
Huyo ni muongo parcee aliyegongwa kwa muktadha wake hawezi kuwa na nguvu wala sauti kama hiyo....
Wanaogongwa kisawasawa huamka hoi bin taaban huyo kapapaswa
Lkn mkuu usimbishie huyu kazoea hata akipigwa mande kwake haiwez kuwa tatizo..shida ni kwa mtu ka Mimi ndo naweza kua ktk hali km uliosema
 
Lkn mkuu usimbishie huyu kazoea hata akipigwa mande kwake haiwez kuwa tatizo..shida ni kwa mtu ka Mimi ndo naweza kua ktk hali km uliosema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] basi mjuzi, unajua shida sio ile nje ndani..! nje ndani...! nje ndani....ndindindi......kifo cha mende!
Kuna kukunjwa kubinuliwa kukaliwa kutanuliwa kushikishwa kiti au meza...unafiligiswa mpaka unaziona nyota zilee wakati uko chumbani
Huyu hajapata hii suluba basi tu wengine tumeacha zambi
 
Mleta mada ...

Kama ni uchafu, kwanini umeuleta humu?
 
Biashara matangazo, mnabishana weeeee!, mhusika roho kwatu, lengo limetimia.
 
Hii video ange-post uyo mvulana kua KAMGONGA sana Shishi basi waziri mwenye dhamana angekimbilia kwenye media house kulialia na umu wadada wangelalama wamevunjiwa utu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…