RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Halafu hio anayosema no count hamaanish knock out kweli?!!!Ignoramus nincompoop!
Hawezi hata kutofautisha kati ya 'dha' na 'za'.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hio anayosema no count hamaanish knock out kweli?!!!Ignoramus nincompoop!
Hawezi hata kutofautisha kati ya 'dha' na 'za'.
Halafu hio anayosema no count hamaanish knock out kweli?!!!
Mkuu Mungu akupe maisha marefuKaka usishangae hao ndio walikuwa wanazunguka na mkuu wa sasa miezi miwili kufanya kampeni nchi nzima tumchague.
Na kwa vile hao ndio walitushawishi tumpigie kura muzee ya kazi basi tujiulize wa kupimwa akili ni hao au sisi tulio wasikiza hao?
Hivi vibinti vya bongo havina hata soni..
Unaweza ukavipitia na vikaja kutangaza hadharani vikakushushia utu wako.
Lkn mkuu usimbishie huyu kazoea hata akipigwa mande kwake haiwez kuwa tatizo..shida ni kwa mtu ka Mimi ndo naweza kua ktk hali km uliosemaHuyo ni muongo parcee aliyegongwa kwa muktadha wake hawezi kuwa na nguvu wala sauti kama hiyo....
Wanaogongwa kisawasawa huamka hoi bin taaban huyo kapapaswa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] basi mjuzi, unajua shida sio ile nje ndani..! nje ndani...! nje ndani....ndindindi......kifo cha mende!Lkn mkuu usimbishie huyu kazoea hata akipigwa mande kwake haiwez kuwa tatizo..shida ni kwa mtu ka Mimi ndo naweza kua ktk hali km uliosema
Wewe Zuwena Mohamed, huu si mwezi mtukufu jamani.
Katika pita pita zangu nimekutana na uchafu wa Shishi baby.
Kiki kama hii haikutakiwa kupostiwa mwezi huu ambao waislamu ulimwenguni kote wapo kwenye toba.
Hivi hawa wakina gigy shilole na snura hawana wazazi? Hawana watoto/
Wanae wakikuwa watajisikiaje sijui wakiyaona haya
NajjuuuutraHuyo ni muongo parcee aliyegongwa kwa muktadha wake hawezi kuwa na nguvu wala sauti kama hiyo....
Wanaogongwa kisawasawa huamka hoi bin taaban huyo kapapaswa
Bora zarina mara 200 sio huyu kahaba mzeeNa watoto wa zari wasemeje?
Alisema amewahi kupigwa mtungo na wanaume watatu!