spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Haitoshi kwa kweli. Sheria ichukue mkondo wake.Nasikia wamewafukuza kazi tu!
Acha ujinga wewe makosa ya wachache yasichafue wote, hao polisi nakuhakikishia watachukuliwa hatua za kisheria, ila bongo tungeambiwa mtuhumiwa kajinyonga akiwa seloHii ni moja kati ya nchi za hovyo sana duniani, halafj kuna wanaharakati wabongo wanataka hii ndio hiwe mfano kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilicho wakubal Wana umoja weupe kwa weusi wameandamana.
Kwetu hata hao waliochukua video wangechezea mabom ya machozi kabla ya kygawiwa ulemavu.
Umeongea point ya maana sana! Watu wanaleta ushabiki as if wametumwa na serikali au wanatekeleza sheria! Ni wapuuzi hao askari na kitanzi watakula. Ingekuwa China na shitholes nyingine wala hata hizo habari zisinge-leak.Tuwe wakweli.
US askari akishafanya hivi atashtakiwa, kisha kutokana na ushahidi uliopo na sheria zao atahukumiwa mfano kesi ya Rodney King.
Nchi za Afrika askari akiua tarajia atakingiwa kifua na hata mahakamani asifike.
So in Us hakuna aliye juu ya sheria (ingredient muhimu ya demokrasia) kwa bara letu ni kinyume chake. Hivyo ni sawa tu kusema wapo mbele kutuzidi kidemokrasia.
Acha ujinga wewe kwani hilo tukio limefanywa na Serikali ya Marekani? Unashindwa kutofautisha Jambo linalofanywa na Serikali ya Marekani na Jambo kufanywa na mmarekani.Kuna mtu humu anaitwa Erythrocyte hawa wamarekani wakitoa kauli zao kwa serikali yetu utamsikia eti mungu wabariki Wamarekani. Huwa namsoma huyu mtu anavyowapapatikia wamarekani najua siasa zinamtoa akili. Haya ndio mambo ya kawaida wamarekani weupe wanafanyia watu weusi huko kwao halafu unajidanganya wanakupenda wewe mwafrika!
Alafu wewe unaongea nini wewe. hivi kama hata angekuwa mzungu amefanywa hivyo wewe mtu mweusi usingepinga hilo tukio. hilo tukio ni haya sana kwa kufanyiwa binadam yoyote.Mi mwenyewe nimeshangaabkweli yani vita ya mtu mweusi ila weupe nao wapo wanasaidia duh.. wenzetu wako mbali sana aisee.