Sasa usije kusahau na kuanza kupiga picha za Askari wa bongo nawe ukaziweka mitandaoni. Utatafutwa na kushughulikiwa vilivyo.US haya matukio wanayaficha Sana,ila mwisho wa siku social media zina waumbua matatizo haya ya polisi kuwa nyanyasa watu weusi na mauaji ya kibaguzi yapo kibao.Nawaona mara kibao akina Snoop,TI,Eddie Griffin,Mike Epps nk huwa wana ya post sana kwenye account zao.