Video shows Minneapolis cop with knee on neck of motionless, moaning man who later died

Video shows Minneapolis cop with knee on neck of motionless, moaning man who later died

Umeongea point ya maana sana! Watu wanaleta ushabiki as if wametumwa na serikali au wanatekeleza sheria! Ni wapuuzi hao askari na kitanzi watakula. Ingekuwa China na shitholes nyingine wala hata hizo habari zisinge-leak.

Bwana Utam na STRUGGLE MAN mnakumbuka yaliyotokea ubalozi wa Saudia binadamu kukatwakatwa vipande vya nyama? Kuna ukatili zaidi ya ule uliofanyika ndani ya afisi rasmi ya serikali?
Kwahio huu uliofanywa sio ukatili [emoji23][emoji23][emoji23] yaani US sijui wamewapa nini asee....

kuua kutabakia kuua tu hatakama utatumia njia ipi.
 
Unaweza ukawa upo sahihi MKUU ila ishu nikwamba US haya matukio yapoyapo mnoo nahayajawahi kukoma

Je US wao kama wakiwa vinara wahaki zabina adamu kama wanavyojiita wanachukua hatua gani kali zakuzuia mambo kama haya

US haya matukio hua yakawaida sana ila yanafichwa sana sana sana kutokea kuyaona kama hivi nibahati nasibu tu...

Namaranyingi hata hizo hatua zinazochukuliwa hua zakimaonyeaho tu unahisi hapo jamaa kaua kwabahati mbaya ama kakusudia ?! Unahisi adhabu anayostahili mtu aloua makusudi ni kufutwa kazi ?!

US watuwanapiga sana kelele sababu tukio kama hili lingetokea katika taifa jengine especially UCHINA angeiaminisha DUNIA yakwamba yeye msafi ila CHINA kawaida shida ndio ina anzia hapa MKUU...
Kwanza, hua haiwezekani kuendelea na mashtaka wakati mtu yupo kazini bado.

Hivyo kama ametolewa kazini hiyo inamaanisha mashtaka yanamngoja.

Pili, ni kweli hayo matukio yapo mengi lakini katika kila tukio kwa kila aliyehusika lazima tutasikia kilichofuatia baada ya hilo swala. South Africa wamekua na mashambulizi ya kibaguzi mara kwa mara, umewahi kusikia wangapi wamefikishwa mahakamani?

Askari walioua raia hapa Tz umesikia wangapi wamehukumiwa? Hapa namaanisha wale wameua in broad daylight.

Ni kweli hawa watu ni wabaguzi lakini kuna member humu aliwahi kusema katika mataifa yote makubwa ya nje taja taifa ambalo lina majenerali wa jeshi weusi au mawaziri au wawakilishi au Rais.
 
Unahisi kua nahawa watu ndio kunabadilisha mwenendo ama muelekeo wa namna yauendeshaji wanchi ?!

hamna taifa lamtu MKUU unaweza ukawa mweusi ukawa wewe binafsi ndio hupati madhara wanayoyapata weusi wasiokua namamlaka kama ulokua nayo wewe ila taabu wanaipata

Kama uliwahi fatilia kipindi cha OBAMA ubaguzi warangi ulikua mkubwa mno hata huyu Trump anaenyifanya anawabagua watu weusi sidhanii kama kafikia kipindi kile cha Obama

Nahapa lengo wala sio kuonesha kama kuna viongozi mawaziri ama wakina nani weusi lengo ni je hao watu wamefanya juhudi gani kuzuia hivyo vitendo visiwepo

US inawatu mchanganyiko napengine ndio nchi inayo ongoza DUNIANI kwakua nawatu mchanganyiko Ila US suala laubaguzi nilakiwango chajuu kabisa sio kwaweusi tu hata wa ASIA wanakiona hasa Ila watu weusi ndio kuzidi tu

:-US ndio hua wanajifanya kupiga kelel eulimwenguni kama watetezi wahaki zabina adamu wao kwamatukio kama haya wanataka wawe mfano wakuigwa nanani tukio kama hili lingetokea UCHINA... ?!
 
Kilichonisikitisha ni kuona wachukua video wako busy ku-shoot badala ya kutoa msaada kwa marehemu kabla hajafa (wakati anasrubiwa).
 
IMG_4257.jpg
 
Ndoo maana Mimi naipenda Corona kwa kuwa inawanyosha hao wazungu,wabaguzi wakubwa,naomba MUNGU awaachie hiyo Corona hapo marekani iwe ya kudum Kama tulivyo dum na ukimwi
 
Ndoo maana Mimi naipenda Corona kwa kuwa inawanyosha hao wazungu,wabaguzi wakubwa,naomba MUNGU awaachie hiyo Corona hapo marekani iwe ya kudum Kama tulivyo dum na ukimwi

Hahahaa!

Akili zingine bana...

Kwa hiyo wewe kwa akili yako unadhani hiyo Corona huko Marekani inawaathiri Wazungu tu?

Kaazi kweli kweli!!!
 
CALL IT WHAT IT IS. THAT WAS A BROAD DAYLIGHT LYNCHING BY THOSE HEARTLESS POLICE OFFICERS.
JUSTICE FOR HIM.
R.I.P.
 
Tuwe wakweli.

US askari akishafanya hivi atashtakiwa, kisha kutokana na ushahidi uliopo na sheria zao atahukumiwa mfano kesi ya Rodney King.

Nchi za Afrika askari akiua tarajia atakingiwa kifua na hata mahakamani asifike.

So in Us hakuna aliye juu ya sheria (ingredient muhimu ya demokrasia) kwa bara letu ni kinyume chake. Hivyo ni sawa tu kusema wapo mbele kutuzidi kidemokrasia.
Acha ujinga wewe makosa ya wachache yasichafue wote, hao polisi nakuhakikishia watachukuliwa hatua za kisheria, ila bongo tungeambiwa mtuhumiwa kajinyonga akiwa selo
Umeongea point ya maana sana! Watu wanaleta ushabiki as if wametumwa na serikali au wanatekeleza sheria! Ni wapuuzi hao askari na kitanzi watakula. Ingekuwa China na shitholes nyingine wala hata hizo habari zisinge-leak.
Bwana Utam na STRUGGLE MAN mnakumbuka yaliyotokea ubalozi wa Saudia binadamu kukatwakatwa vipande vya nyama? Kuna ukatili zaidi ya ule uliofanyika ndani ya afisi rasmi ya serikali?
Acha ujinga wewe kwani hilo tukio limefanywa na Serikali ya Marekani? Unashindwa kutofautisha Jambo linalofanywa na Serikali ya Marekani na Jambo kufanywa na mmarekani.

Hilo Jambo limefanywa na Askari wa kimarekani na ameshafukuzwa kazi for further steps. Bongo mangapi yanafanywa na watu wapo kitaa.

Acha kulinganisha United States na takataka utakuwa kichwani hauko sawa.
You guys have any idea what lynching is? Well, this is a modern day lynching.
 
You guys have any idea what lynching is? Well, this is a modern day lynching.
Modern day lynching? Do you know lynching is a method of execution? Are you saying there is major project of executing black masses?
 
Kwahio huu uliofanywa sio ukatili [emoji23][emoji23][emoji23] yaani US sijui wamewapa nini asee....

kuua kutabakia kuua tu hatakama utatumia njia ipi.
... umeambiwa hao wapuuzi watashitakiwa na adhabu wanayostahili watapatiwa tena kwa uwazi kabisa bila kificho. Hiyo ndio Marekani! Tuambie wauwaji wa Jamal Khashogi ndani ya ofisi ya serikali wako wapi? Nani aliyewatuma? Kafanywa nini?
 
Modern day lynching? Do you know lynching is a method of execution? Are you saying there is major project of executing black masses?
You got that right, after lynching was outlawed, it became infiltrated by the police and I wanna be clear here, not all of them are on this, it's just a few but they have unions which protect them.
 
Minneapolis: Protesters smash police cars
 
... umeambiwa hao wapuuzi watashitakiwa na adhabu wanayostahili watapatiwa tena kwa uwazi kabisa bila kificho. Hiyo ndio Marekani! Tuambie wauwaji wa Jamal Khashogi ndani ya ofisi ya serikali wako wapi? Nani aliyewatuma? Kafanywa nini?
ulitaka wahukumiwe nanani Uturuki wakati hawaja wapata ?!
Ama ulitaka wahukumiwe na SAUDI ARABIA wakati ndio walio watuma ?!

Khashogi haikua ishu yabahati mbaya walitumwa watu maalum wakafanye kazi maalum

Unataka kusema nahawa polisi walitumwa waue kwamakusudi ama ndio wameua katika kukabiliana nawatu weusi kama ilivuokawaida yao

Kufananisha mauaji ya khashogi na huyu mwamba nimatumizi mabaya ya fikra khashogi nimauaji yakisiasa nawala sio wamwanzo kufanyiwa hv ila huyu jamaa nimauaji yalioambatana na ubaguzi warangi wadhahiri kabisa.....
 
New video appears to show George Floyd kneeled on by 3 officers

posted on social media appears to show three Minneapolis Police Department officers kneeling on George Floyd during his arrest.

Previous video from eyewitness Darnella Frazier shows Floyd being kneeled on by one officer — Derek Chauvin. The new video, from a different angle, appears to show Chauvin and two other officers kneeling on Floyd.

"I can't breathe, man," Floyd says in the new video. "Please, let me stand. Please, man."

This new video appears to have been taken before the Frazier video.

CNN has reached out to the Minneapolis Police Department for comment, and to verify its authenticity, but has not received a response.

CNN has also reached out to Floyd family attorney Ben Crump about the video but has not yet received a response.

CNN has not been able to locate the person that took the video. NBC News has previously reported an 18 second portion of the video; CNN has obtained a minute long version of that video.
Kuna yamkini walikuwa wanamjua au alishiriki ulinzi /ubaunsa na muuwaji wake (Derek Chauvin) waliajiriwa wote kwenye Club ya usiku
George Floyd And Derek Chauvin Worked At The Same Nightclub—But May Not Have Known Each Other, Owner Says
 
Hata hapa kwetu Tanzania polisi kuua watu mbona ni kawaida sana na ilivyo kawaida yao watachukulia hili tukio la Marekani kama kisingizio cha kufanya mauaji kwa wafuasi wa vyama vya upinzani hasa wakati wa uchaguzi ujao.
 
Back
Top Bottom