Video shows Minneapolis cop with knee on neck of motionless, moaning man who later died

Sasa usije kusahau na kuanza kupiga picha za Askari wa bongo nawe ukaziweka mitandaoni. Utatafutwa na kushughulikiwa vilivyo.
 
Halafu kwenye hii video huyo askari kasimama tu,hata kumshauri mwenzie hamna,means anafurahia kinachoendelea.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Mjinga baba yako. Ungekuwaa na akili ungejua serikali ni watu na polisi ni sehemu ya hio serikali. Wewe kichwani uko sawa kabisa brainwashed idiot.
 
Mjinga baba yako. Ungekuwaa na akili ungejua serikali ni watu na polisi ni sehemu ya hio serikali. Wewe kichwani uko sawa kabisa brainwashed idiot.
Unaelewa maana ya serikali wewe !!! Ulisomea shule ipi wewe kichaa !! Ukisikia serikali ya magufuli unadhani na wewe uko included !!! Unaelewa serikali ni Nini kweli wewe mlugaluga !????


Au ukisikia kazi ya Bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali kule Bungeni unadhani serikali ni wewe ?!!!! Kichaa wewe ... Raia kichaa Kama wewe ndio mnadhani Tanzania inaifikia walau kwa asilimia 1 U.S.A mbwa wewe
 

Actually polisi wa Marekani huwa ni local. Hao polisi wanaotuhumiwa ni wa mji wa Minneapolis. Bosi wao ni meya wa mji wa Minneapolis na chief wa polisi wa mji huo.

Ndiyo, jambo limetokea Marekani. Lakini ni muhimu pia kuzingatia utofauti wa mifumo hapa.

Serikali kuu ya shirikisho [federal government] haihusiki kabisa hapo.

Labda inachoweza kufanya ni kuangalia kama civil rights za huyo marehemu zilikiukwa.

Zaidi ya hapo, hilo ni suala local tu.
 
Nilikuwa namjibu huyo mjinga hapo juu
 
Nilikuwa namjibu huyo mjinga hapo juu

Nimekupata.

Nami nilikuwa naongezea tu ufafanuzi kuwa Marekani system yao ya justice ipo tofauti na yetu.

Lililotokea Minneapolis kwa huyo bwana litakuwa handled locally na ndo maana hatua za awali zishachukuliwa [za kusimamishwa kazi na kufukuzwa kwa hao mapolisi walioshiriki].

Kifuatacho ni uchunguzi na hatimaye kesi.

Akina Mike Pompeo hawahusiki hapo 😁
 
Ubongo wako umejaa mavi bongo hapa askari anauwa mweusi mwenzake na mahakama zinamkingia kifua askari. Mijitu mingine bana yaani linalinganisha vitu haviendani kabisa
 
Alafu wewe unaongea nini wewe. hivi kama hata angekuwa mzungu amefanywa hivyo wewe mtu mweusi usingepinga hilo tukio. hilo tukio ni haya sana kwa kufanyiwa binadam yoyote.

Mkuu mbona iko wazi, baadhi/wazungu wengi wanawabagua watu weusi huko marekani.
 
Nasikia wamewafukuza kazi tu!

Hizo ni geresha tu, mbona wanaendelea kulipwa mishahara - halafu Viongozi wa Merikani walivyo wanafiki na wasanii mahili, kesho utamsikia Pompeo na Trump wakiwa shutumu Wachina eti ni wakihukaji wakubwa wa haki za binadamu pamoja na so called Police brutality in Hong Kong nk.
 
Hii ni moja kati ya nchi za hovyo sana duniani, halafj kuna wanaharakati wabongo wanataka hii ndio hiwe mfano kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Nchi za kiafrika, kesi kama hizi hutokea na kesi huwa zinayeyuka hazifiki popote. Ni vyema pia ulinganishe yale yanayotokea hapa kwetu
 
Unafi*wa,ms*g* mkubwa,hukustahili kuwasifia kwa chochote,kwa tukio Kama hili.Nyie ndiyo huwa mnaliwa mzigo na Mbwa wao kule Coco
 
Unaweza ukawa upo sahihi MKUU ila ishu nikwamba US haya matukio yapoyapo mnoo nahayajawahi kukoma

Je US wao kama wakiwa vinara wahaki zabina adamu kama wanavyojiita wanachukua hatua gani kali zakuzuia mambo kama haya

US haya matukio hua yakawaida sana ila yanafichwa sana sana sana kutokea kuyaona kama hivi nibahati nasibu tu...

Namaranyingi hata hizo hatua zinazochukuliwa hua zakimaonyeaho tu unahisi hapo jamaa kaua kwabahati mbaya ama kakusudia ?! Unahisi adhabu anayostahili mtu aloua makusudi ni kufutwa kazi ?!

US watuwanapiga sana kelele sababu tukio kama hili lingetokea katika taifa jengine especially UCHINA angeiaminisha DUNIA yakwamba yeye msafi ila CHINA kawaida shida ndio ina anzia hapa MKUU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…